Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Wakatoliki hatuna utamaduni wakutukuza nchi hayo ni mambo ya walokole.Mguse Izrael muone waliopo nyumba yake.
Mmejitahidi kumpakazia mpaka mkaita jina lake kuwa eti ni Mtoa ROHO eti ndio anayenyofoa roho za watu na eti ndio anachapa viboko maiti makaburini😄😄😄
Sisi tunatekeleza agizo la Mwenye Enzi Mungu (na sio Mnyanzi) kuwa IZRAEL ni Taifa teule na Takatifu la Mungu, ama wanatutambua ama hawatutbui sio letu. Mungu akiishasema Mimi ni nani nisimheshimu?
Kwani mkatoliki haamini kuwa IZRAEL ni Taifa teule na Takatifu la Mungu, litende kosa, litubu bado ni NDOIGE kwaungu analipenda tuu?Wakatoliki hatuna utamaduni wakutukuza nchi hayo ni mambo ya walokole.
Wapi nimeandika Allah (the exalted one) anazungumza kiarabu? Unaweza ukaionesha labda?[emoji23][emoji23][emoji23] Alaa kumbe Allah anazungumza kiarabu?
Ipo hivi ,hii diji haiongozwi kwa hisia za fulani wala fulani ,kila kinachoongelewa huwa kinatolewa dalili NINGEPENDA UWEKE USHAHIDI WA HAYO ULIYOYAELEZWA HAPO JUU.Uislamu halisi ni kuzini na wanawake 1000 kwa usiku mmoja uislamu halisi ni kuua wengine uislamu halisi ni kudanganya wengine kwamba allah hasikii lugha zaidi ya kiarabu. Acheni ujinga wavaa kobasi mnakwama wapi
Ni Kweli Mkuu inaweza kuwa waisrael hawamtambui yesu ila ssi shida na watu tunashida na taifa teule ambalo ndio Israel watu wake ,wayahudi siiyo ishu Sana ishu Ni taifa Hilo la mungu
Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha,
Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k.
Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu kwao hawamtambui, ila nguvu wanayotumia wakristo kulazimisha ukaribu na wayahudi inashangaza sana kiasi cha kuonekana wazi wakristo wanajipendekeza maana wao wayahudi hawautambui ukristo
Mjumuisho wa dini ya kikristo israel ni kwamba asilimia 1 tu ni wakristo, yani hapa katika waisrael 100 kuna mkristo moja tu.
Kwao hawamtambui Yesu kwamba alikidhi vigezo vyao kwahio hawautambui ukristo lakini hali ilivyo kwa mataifa ya kikristo ni kama wanajipendekeza sana kuwa karibu na waisrael ambao wao hawautambui ukristo .
Kwanza hakuna sehemu nimesema ukristo ni dini ya wazungu kama ipo unaweza kuonesha pia.Sasa kama allah hasikii ligha zaidi ya kiarabu waliokuletea dini ni waarabu mtume alikua muarabu mnavaa kanzu ni vazi la tamaduni ya kiarabu sasa iweje useme uislamu sio wa waarabu mbona unasema ukristo ni dini ya wazungu. Kibaya zaidi mnaenda kuhiji kwa waarabu mkidanganywa kupiga mawe shetani😂😂😂😂 na nyie mnaamini mnarusha mawe mpka mnauana
Unaheshimu hilo tu?? Mbona Mungu amesema mangapna huyaheshimu ?Mguse Izrael muone waliopo nyumba yake.
Mmejitahidi kumpakazia mpaka mkaita jina lake kuwa eti ni Mtoa ROHO eti ndio anayenyofoa roho za watu na eti ndio anachapa viboko maiti makaburini😄😄😄
Sisi tunatekeleza agizo la Mwenye Enzi Mungu (na sio Mnyanzi) kuwa IZRAEL ni Taifa teule na Takatifu la Mungu, ama wanatutambua ama hawatutbui sio letu. Mungu akiishasema Mimi ni nani nisimheshimu?
Hayo ni maoni yako na walokole wengi hutoa mifano hiyo. Wale wengi ni wazungu wahamiaji wanaojinasibu na asili ya hapo.tabia na tamaduni ZAO ni za kizungu Kila wanachofanya western country kinafanyika pale. Kuansia ushoga, ulevi ubaguzi wa rangi vyote wanafanya .Kwa kifupi ni taifa la wazungu linalolindwa na wazungu.aslimia kubwa Wana uraia wa nchi za magharibi. Marekani na ulaya ndio waloanzisha lie taifa kupitia umoja wa mataifa wakaiua Parestina. Israel pale na itakuwepo pale kulinda Maslahi ya magharibi.Wayahudi nibwatu wenye heshima kubwa mno Happ duniani na ndio maana marekani siyo uchina Wala urusi hWajawai kuwainulia au kuwakemea taifa Hilo pindi wakianzisha vurugu ktk ukanda huo wa gaza
Ogopa Sana kataifa kdg ambako kina jeur na wakubwa wanamuogopa ogopa sana
TrueSio wakristo wote. Huwezi kuta RC au SDA kabeba bendera ya Israel. Ni wapumbavu wachache wanaojiita makanisa ya kiroho ndo wana huo ushenzi wa kujipendekeza kwa waisrael. Kuna sumu wamelishwa kuwa Israel ni taifa teule. Hawana tofauti na wateja wa Kalynda.
Tumia akili kidogo tuu BIBLIA haiku andikwa kiswahilli Bali ime tafsiriwa kwa lugha zote za mataifa ikiwemo kiswahilli na hata kiarabu piaBaadhi ya waarabu ni waisilamu pia kitabu chetu kimeandikwa kwa kiarabu hata mtume wetu alikuwa muarabu hata biblia ilitolewa kwenye lugha yake ya asili na kuandikwa kwa kiswahili ifahamike lugha ya kiswahili maneno yake mengi ni ya kiarabu hata biblia maneno yake mengi yametoka kwenye kiarabu ni ngumu mkiristo kuamini lakini ndio ukweli heti lugha ya kiarabu ya majini huku biblia imeandikwa kwa lugha hiyo mnayo ita ya majini hata lugha mnayo itumia kila siku imetokana na lugha ya kiarabu wakirito wengi hananazo[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mkuu hii dunia imejaa watu wajinga wengi sana. Upuuzi ni mwingi mpaka unashangaa. Sasa hiyo ni half the story. Waafrica wakiwa wanashoboke hizi dini(na ndo wanaongoza) huwa inashangaza sana.
Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha,
Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k.
Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu kwao hawamtambui, ila nguvu wanayotumia wakristo kulazimisha ukaribu na wayahudi inashangaza sana kiasi cha kuonekana wazi wakristo wanajipendekeza maana wao wayahudi hawautambui ukristo
Mjumuisho wa dini ya kikristo israel ni kwamba asilimia 1 tu ni wakristo, yani hapa katika waisrael 100 kuna mkristo moja tu.
Kwao hawamtambui Yesu kwamba alikidhi vigezo vyao kwahio hawautambui ukristo lakini hali ilivyo kwa mataifa ya kikristo ni kama wanajipendekeza sana kuwa karibu na waisrael ambao wao hawautambui ukristo .
Kasome history vizuri utaelewaMi naleta dacts, kama zinakuuma usianze visingizio bali leta facts kupinga ama kuzikubali ujifunze,
Wakristo ngome zao zipo huko Italia na Vatican nchi za Ulaya.
Huko Israel kuhitaji ukaribu nao wakati wao hawautambui ni nini kama sio kujipendekeza sehemu usiyohitajika ?
Ukirsto halisi upo kwa wakatoriki, ukiona jambo hilo wakatoriki hawana muda nalo ujue halina connection yoyote na ukristo, usidanganyike
Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha,
Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k.
Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu kwao hawamtambui, ila nguvu wanayotumia wakristo kulazimisha ukaribu na wayahudi inashangaza sana kiasi cha kuonekana wazi wakristo wanajipendekeza maana wao wayahudi hawautambui ukristo
Mjumuisho wa dini ya kikristo israel ni kwamba asilimia 1 tu ni wakristo, yani hapa katika waisrael 100 kuna mkristo moja tu.
Kwao hawamtambui Yesu kwamba alikidhi vigezo vyao kwahio hawautambui ukristo lakini hali ilivyo kwa mataifa ya kikristo ni kama wanajipendekeza sana kuwa karibu na waisrael ambao wao hawautambui ukristo .
Israel ni chimbuko la Ukristo,wao Wana enzi chimbuko lao na sio kujipendekeza KWA hao waabudu shetaniMi naleta dacts, kama zinakuuma usianze visingizio bali leta facts kupinga ama kuzikubali ujifunze,
Wakristo ngome zao zipo huko Italia na Vatican nchi za Ulaya.
Huko Israel kuhitaji ukaribu nao wakati wao hawautambui ni nini kama sio kujipendekeza sehemu usiyohitajika ?