Ni kujipendekeza? Ni kwanini wakristo wengi wanapenda ukaribu wa Israel wakati waisrael hawautaki ukristo?

Ni kujipendekeza? Ni kwanini wakristo wengi wanapenda ukaribu wa Israel wakati waisrael hawautaki ukristo?

Mguse Izrael muone waliopo nyumba yake.

Mmejitahidi kumpakazia mpaka mkaita jina lake kuwa eti ni Mtoa ROHO eti ndio anayenyofoa roho za watu na eti ndio anachapa viboko maiti makaburini😄😄😄

Sisi tunatekeleza agizo la Mwenye Enzi Mungu (na sio Mnyanzi) kuwa IZRAEL ni Taifa teule na Takatifu la Mungu, ama wanatutambua ama hawatutbui sio letu. Mungu akiishasema Mimi ni nani nisimheshimu?
Wakatoliki hatuna utamaduni wakutukuza nchi hayo ni mambo ya walokole.
 
Niijuavyo Biblia, wafuasi halisi wa Neno la Mungu, hawajipendekezi kwa Wayahudi bali wanamtii Mungu alichosema kuhusu Wayahudi - taifa la Israeli. Na kwa kusema hivyo wanaheshimu maagizo ya Mungu ya kulibariki taifa la Israeli. Tukumbuke kuwa hata Yesu tunayemfuata ni Myahudi (mtu) kamili na Mungu kamili.
 
Embu siku mtu mmoja aende Israeli akiwa kwenye mitaa ya kule awe na nembo kama hii hapa chini inaitwa swastika

swastika.png
 
Wakatoliki hatuna utamaduni wakutukuza nchi hayo ni mambo ya walokole.
Kwani mkatoliki haamini kuwa IZRAEL ni Taifa teule na Takatifu la Mungu, litende kosa, litubu bado ni NDOIGE kwaungu analipenda tuu?
 
Hatuna hayo mafundisho. nimezalliwa mkatoliki na ninaendelea kuwa mkatoliki sijawahi kufundishwa kuwa Ili ni pate baraka lazima niwaombee watu Fulani au niibariki lsrael. Nasisitiza sisi ni wateule kupitia kristo aliyekufa msalabani. Hakuna kikundi Cha watu au nchi teule. Msamaha utanapatikana Kwa kupitia kristo kama wewe humkubali Yesu kuwa ni mwokozii huwezi kuuona ufalme wa mbinguni. NAMBARIKI VIPI MTU AMBAE ANAMKANA KRISTO. Kuwa hakuwahi kuwepo. Tumeletewa maandiko na wazungu ambao walitumia maandiko hayohayo kuharalisha Utumwa. Na maandiko Yana sema mtii bwana wako na YEYE anapaswa kumtendea vema mtumwa WAKE. Je nidhambi kuupingana Utumwa?.Wanzetu wanatumia maandiko,au wameyatafsili kuwapendelea wao.
 
Uislamu halisi ni kuzini na wanawake 1000 kwa usiku mmoja uislamu halisi ni kuua wengine uislamu halisi ni kudanganya wengine kwamba allah hasikii lugha zaidi ya kiarabu. Acheni ujinga wavaa kobasi mnakwama wapi
Ipo hivi ,hii diji haiongozwi kwa hisia za fulani wala fulani ,kila kinachoongelewa huwa kinatolewa dalili NINGEPENDA UWEKE USHAHIDI WA HAYO ULIYOYAELEZWA HAPO JUU.

1. uislamu unapinga zina na hili lipo wazi kwenye quran kuna aya nyingi tu zinaelezea haya haitoleta mantiki "KUZINI" na wanawake 1000 hili umelishwa tango pori na ukalimeza bila hata kuchunguza ushahidi wa hili tunaupata kwente surat israa .

{ وَلَا تَقۡرَبُواْ ٱلزِّنَىٰٓۖ إِنَّهُۥ كَانَ فَٰحِشَةٗ وَسَآءَ سَبِيلٗا }
[Surah Al-Isrâ’: 32]

Ali Muhsin Al-Barwani:
Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya.

2. Kusema Uislamu ni kudanga watu kwamba Allah (the exalted one) hasikii lugha nyengine zaidi ya kiarabu ni uongi na uzushi mkubwa mno hakuna ushahidi wowote juu ya hili si kwenye quran wala hadith kama upo ningependa uweke hapa kutokea kwenye quran na hadith.

3. Unaposema uislamu ni kuuwa wengine sijajua hii umeipatia wapi ila kwenye uislamu anayeuliwa ni yule ambaye Allah (the exalted one ) amehukumu auliwe na si vinginevyo maana kuuwa nafsi nje ya ile Allah (the exalted one) aliyoihukumu ni dhambi kubwa kati ya madhambi makubwa mfano tunachinia mbuzi, ng'ombe, kuku na wengineo pale tunauwa lakini haupati madhambi ni kwa sababu hao wanyama wamehalalishiswa kwetu kuwachinja/kuuwa kama vitoweo ,pia ikatokea mtu amekuvamia anataka kukuuwa mfano jambazi katika kujitetea ukamuuwa pia hakuna dhambi hapo mifano ipo mingi mnoo ila hakuna sehemu umeambiwa uuwe tu kila kitu kama ipo weka ushahidi.

Sijajua hizi habari za uzushi huwa mnazitolea wapi ila nikushauri yu usome kwanza kitabi cha dini yako ukielewe maana laiti ingekuwa umekisoma chote basi usingebakia humo.
 
000_Nic6479399-1-e1440587373884.jpg

Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha,

Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k.

Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu kwao hawamtambui, ila nguvu wanayotumia wakristo kulazimisha ukaribu na wayahudi inashangaza sana kiasi cha kuonekana wazi wakristo wanajipendekeza maana wao wayahudi hawautambui ukristo

Mjumuisho wa dini ya kikristo israel ni kwamba asilimia 1 tu ni wakristo, yani hapa katika waisrael 100 kuna mkristo moja tu.

Kwao hawamtambui Yesu kwamba alikidhi vigezo vyao kwahio hawautambui ukristo lakini hali ilivyo kwa mataifa ya kikristo ni kama wanajipendekeza sana kuwa karibu na waisrael ambao wao hawautambui ukristo .
Ni Kweli Mkuu inaweza kuwa waisrael hawamtambui yesu ila ssi shida na watu tunashida na taifa teule ambalo ndio Israel watu wake ,wayahudi siiyo ishu Sana ishu Ni taifa Hilo la mungu

Kwamba inatupasa kujiweka kujiattach na Israel na kuzipata baraka kwani imeandikwa amelahaniwa alahaniae taifa la israel
 
Sasa kama allah hasikii ligha zaidi ya kiarabu waliokuletea dini ni waarabu mtume alikua muarabu mnavaa kanzu ni vazi la tamaduni ya kiarabu sasa iweje useme uislamu sio wa waarabu mbona unasema ukristo ni dini ya wazungu. Kibaya zaidi mnaenda kuhiji kwa waarabu mkidanganywa kupiga mawe shetani😂😂😂😂 na nyie mnaamini mnarusha mawe mpka mnauana
Kwanza hakuna sehemu nimesema ukristo ni dini ya wazungu kama ipo unaweza kuonesha pia.

Pili kwenye uislamu tunafuata quran na sunna kama muongozo wetu , ikiwa quran ni maneno ya Allah (the exalted one) na sunna ni maisha aliyoyaishi mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) na yeye ndiye kiigizo chema kwetu hatufuati waarabu sisi .

Nashangaa mtu unayeandika haya unaisoma biblia ambayo ilinukuliwa kutoka kwenye kiebrania , kisha ikapelekwa kwenye koinee greek kisha kilatini kisha kiingereza hapa akatoke a freemason mmoja (king james) akaitafsiri kabisa anavyojua yeye kisha ndo ikatafsiriwa kwa lugha nyenginezo ikiwemo kiswahili na huko pia wakapunguza ukali wa maneno na kuweka ya kwao sitoshangaa yesu kuwa na ndevu halafu mfuasi wake akakwangua zote nikiomba ushahidi wa kukwangua zote sitopewa hata aya moja kwenye bible.

INAHITAJIKA ELIMU USILAMU SI KUKURUPUKA TU
 
Wayahudi nibwatu wenye heshima kubwa mno Happ duniani na ndio maana marekani siyo uchina Wala urusi hWajawai kuwainulia au kuwakemea taifa Hilo pindi wakianzisha vurugu ktk ukanda huo wa gaza

Ogopa Sana kataifa kdg ambako kina jeur na wakubwa wanamuogopa ogopa sana
 
Mguse Izrael muone waliopo nyumba yake.

Mmejitahidi kumpakazia mpaka mkaita jina lake kuwa eti ni Mtoa ROHO eti ndio anayenyofoa roho za watu na eti ndio anachapa viboko maiti makaburini😄😄😄

Sisi tunatekeleza agizo la Mwenye Enzi Mungu (na sio Mnyanzi) kuwa IZRAEL ni Taifa teule na Takatifu la Mungu, ama wanatutambua ama hawatutbui sio letu. Mungu akiishasema Mimi ni nani nisimheshimu?
Unaheshimu hilo tu?? Mbona Mungu amesema mangapna huyaheshimu ?
 
Hi
Wayahudi nibwatu wenye heshima kubwa mno Happ duniani na ndio maana marekani siyo uchina Wala urusi hWajawai kuwainulia au kuwakemea taifa Hilo pindi wakianzisha vurugu ktk ukanda huo wa gaza

Ogopa Sana kataifa kdg ambako kina jeur na wakubwa wanamuogopa ogopa sana
Hayo ni maoni yako na walokole wengi hutoa mifano hiyo. Wale wengi ni wazungu wahamiaji wanaojinasibu na asili ya hapo.tabia na tamaduni ZAO ni za kizungu Kila wanachofanya western country kinafanyika pale. Kuansia ushoga, ulevi ubaguzi wa rangi vyote wanafanya .Kwa kifupi ni taifa la wazungu linalolindwa na wazungu.aslimia kubwa Wana uraia wa nchi za magharibi. Marekani na ulaya ndio waloanzisha lie taifa kupitia umoja wa mataifa wakaiua Parestina. Israel pale na itakuwepo pale kulinda Maslahi ya magharibi.
 
Sio wakristo wote. Huwezi kuta RC au SDA kabeba bendera ya Israel. Ni wapumbavu wachache wanaojiita makanisa ya kiroho ndo wana huo ushenzi wa kujipendekeza kwa waisrael. Kuna sumu wamelishwa kuwa Israel ni taifa teule. Hawana tofauti na wateja wa Kalynda.
True
 
Baadhi ya waarabu ni waisilamu pia kitabu chetu kimeandikwa kwa kiarabu hata mtume wetu alikuwa muarabu hata biblia ilitolewa kwenye lugha yake ya asili na kuandikwa kwa kiswahili ifahamike lugha ya kiswahili maneno yake mengi ni ya kiarabu hata biblia maneno yake mengi yametoka kwenye kiarabu ni ngumu mkiristo kuamini lakini ndio ukweli heti lugha ya kiarabu ya majini huku biblia imeandikwa kwa lugha hiyo mnayo ita ya majini hata lugha mnayo itumia kila siku imetokana na lugha ya kiarabu wakirito wengi hananazo[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Tumia akili kidogo tuu BIBLIA haiku andikwa kiswahilli Bali ime tafsiriwa kwa lugha zote za mataifa ikiwemo kiswahilli na hata kiarabu pia
 
Hii aya Huwa inanishangaza sana.

2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NI SHETANI.
ADUI WA MUNGU NI IBILISI.

QURAN IMEANDIKWA NA ADUI WA MALAIKA GABLIEL AMBAYE NI SHETANI.
FULL STOP.
 
000_Nic6479399-1-e1440587373884.jpg

Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha,

Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k.

Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu kwao hawamtambui, ila nguvu wanayotumia wakristo kulazimisha ukaribu na wayahudi inashangaza sana kiasi cha kuonekana wazi wakristo wanajipendekeza maana wao wayahudi hawautambui ukristo

Mjumuisho wa dini ya kikristo israel ni kwamba asilimia 1 tu ni wakristo, yani hapa katika waisrael 100 kuna mkristo moja tu.

Kwao hawamtambui Yesu kwamba alikidhi vigezo vyao kwahio hawautambui ukristo lakini hali ilivyo kwa mataifa ya kikristo ni kama wanajipendekeza sana kuwa karibu na waisrael ambao wao hawautambui ukristo .
Mkuu hii dunia imejaa watu wajinga wengi sana. Upuuzi ni mwingi mpaka unashangaa. Sasa hiyo ni half the story. Waafrica wakiwa wanashoboke hizi dini(na ndo wanaongoza) huwa inashangaza sana.
 
Mi naleta dacts, kama zinakuuma usianze visingizio bali leta facts kupinga ama kuzikubali ujifunze,

Wakristo ngome zao zipo huko Italia na Vatican nchi za Ulaya.

Huko Israel kuhitaji ukaribu nao wakati wao hawautambui ni nini kama sio kujipendekeza sehemu usiyohitajika ?
Kasome history vizuri utaelewa
 
000_Nic6479399-1-e1440587373884.jpg

Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha,

Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k.

Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu kwao hawamtambui, ila nguvu wanayotumia wakristo kulazimisha ukaribu na wayahudi inashangaza sana kiasi cha kuonekana wazi wakristo wanajipendekeza maana wao wayahudi hawautambui ukristo

Mjumuisho wa dini ya kikristo israel ni kwamba asilimia 1 tu ni wakristo, yani hapa katika waisrael 100 kuna mkristo moja tu.

Kwao hawamtambui Yesu kwamba alikidhi vigezo vyao kwahio hawautambui ukristo lakini hali ilivyo kwa mataifa ya kikristo ni kama wanajipendekeza sana kuwa karibu na waisrael ambao wao hawautambui ukristo .
Ukirsto halisi upo kwa wakatoriki, ukiona jambo hilo wakatoriki hawana muda nalo ujue halina connection yoyote na ukristo, usidanganyike
 
Mi naleta dacts, kama zinakuuma usianze visingizio bali leta facts kupinga ama kuzikubali ujifunze,

Wakristo ngome zao zipo huko Italia na Vatican nchi za Ulaya.

Huko Israel kuhitaji ukaribu nao wakati wao hawautambui ni nini kama sio kujipendekeza sehemu usiyohitajika ?
Israel ni chimbuko la Ukristo,wao Wana enzi chimbuko lao na sio kujipendekeza KWA hao waabudu shetani
 
Israel kama nchi ni taifa lenye waumini wa dini zote kuu tatu yaani pana waisrael Wakristo, waislamu, Wayahudi, wapagani, na waabudu shetani pia.
Mkristo ana maanisha Israel ya kiroho na sio hii ya freemason.
 
Back
Top Bottom