Ni kujipendekeza? Ni kwanini wakristo wengi wanapenda ukaribu wa Israel wakati waisrael hawautaki ukristo?

unanishawishi niritadi na kuupenda uarabu
Labda ulimaanisha kusilimu (kuingia kwenye uislamu) ila kuritadi ni kutoka kwenye uislamu .

Kama ni kusilimu ni jambo la kheri Allah (subhana huwataala) akuongoze ila nikushauri sana usome si uingie kwa sababu umevutiwa nao tu ila uingie kwa sababu unajua nini unafanya .

Maana kitu cha kwanza kilichosisitiziwa sana kwenye uislamu ni kusoma si kufuata mkumbo.

Kila kheri na karibu kwenye uislamu.
 
Israel sio nchi ni wewe ukifikia njia ya perfection. Hiyo wakristo wanayoiabudu sio Israel inayozungumzwa kwenye vitabu kiujumla wapo chaka mno
 
Heri huko kwao uarabuni dini yao imejaa tele na ni ngome kuu ya tamaduni za dini yao.

Hali ya Israel ni tofauti kabisa, hawautambui kabisa ukristo, kwao wanabaki kuwashangaa wakristo wanapolazimisha ukaribu nao
Ila kwa vile inawaongezea idadi ya watalii katika nchi yao wanawavumilia ili wapate hizo fedha. Vinginevyo hawaitambui hiyo Imani yao.
 
Unaweza kutoa mifano halisi hao wakristo ni kitu gani wanafanya mpaka uone ni kwamba WANAJIPENDEKEZA kwa Waisraeli? Maana umeandika tu bila kusema excactly what are they doing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…