grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Labda ulimaanisha kusilimu (kuingia kwenye uislamu) ila kuritadi ni kutoka kwenye uislamu .unanishawishi niritadi na kuupenda uarabu
Kama ni kusilimu ni jambo la kheri Allah (subhana huwataala) akuongoze ila nikushauri sana usome si uingie kwa sababu umevutiwa nao tu ila uingie kwa sababu unajua nini unafanya .
Maana kitu cha kwanza kilichosisitiziwa sana kwenye uislamu ni kusoma si kufuata mkumbo.
Kila kheri na karibu kwenye uislamu.