Ni kujipendekeza? Ni kwanini wakristo wengi wanapenda ukaribu wa Israel wakati waisrael hawautaki ukristo?

Ni kujipendekeza? Ni kwanini wakristo wengi wanapenda ukaribu wa Israel wakati waisrael hawautaki ukristo?

U
Kuona dini hii ni bora hii sio bora ndio msingi wa maisha???
Hizi dini zinatuvuruga tu hakuna la maana narudia hakuna la maana, zinatutoa akili....kwaheri sipendi mijadala ya dini
Usipokuwa na dini utakuwa SAwa na mnyama tu
 
Ukirsto halisi upo kwa wakatoriki, ukiona jambo hilo wakatoriki hawana muda nalo ujue halina connection yoyote na ukristo, usidanganyike

Katoliki ni Mnyama soma ufunuo 17 Mungu atakuokoa.

UKRISTO ni Yesu.
 
Tofautisha Israel na Uyahudi, Mkristo anaposema Israel hamaanishi hao waabudu shetani.Hakuna Mkristo anawashobokea Wayahudi
 
WAISLAMU UKIWAWEKEA HII AYA WOOOT E WANAKIMBIA.

2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini

1.ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NI SHETANI.

2. ADUI WA MUNGU NI SHETANI.

3. ADUI WA GABLIEL NI SHETANI.
HIVYO BASI ADUI ANAYEZUNGUMZIWA HAPO NI SHETANI. SHETANI NDIYE ALIYESHUSHA QURAN.
 
Katoliki ni Mnyama soma ufunuo 17 Mungu atakuokoa.

UKRISTO ni Yesu.
Ukatoliki ndio umeutunza Ukristo kosa lao ni kuongeza mafundisho ya kipagani kwenye Ukristo.
Ukristo halisi upo kwa wanamatengenezo.
 
Baadhi ya waarabu ni waisilamu pia kitabu chetu kimeandikwa kwa kiarabu hata mtume wetu alikuwa muarabu hata biblia ilitolewa kwenye lugha yake ya asili na kuandikwa kwa kiswahili ifahamike lugha ya kiswahili maneno yake mengi ni ya kiarabu hata biblia maneno yake mengi yametoka kwenye kiarabu ni ngumu mkiristo kuamini lakini ndio ukweli heti lugha ya kiarabu ya majini huku biblia imeandikwa kwa lugha hiyo mnayo ita ya majini hata lugha mnayo itumia kila siku imetokana na lugha ya kiarabu wakirito wengi hananazo[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Unaandika kama unakula nyama pendwa (kitimoto) unaogopa kukutwa. Proof read ulichoandika
 
Kwanza hakuna sehemu nimesema ukristo ni dini ya wazungu kama ipo unaweza kuonesha pia.

Pili kwenye uislamu tunafuata quran na sunna kama muongozo wetu , ikiwa quran ni maneno ya Allah (the exalted one) na sunna ni maisha aliyoyaishi mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) na yeye ndiye kiigizo chema kwetu hatufuati waarabu sisi .

Nashangaa mtu unayeandika haya unaisoma biblia ambayo ilinukuliwa kutoka kwenye kiebrania , kisha ikapelekwa kwenye koinee greek kisha kilatini kisha kiingereza hapa akatoke a freemason mmoja (king james) akaitafsiri kabisa anavyojua yeye kisha ndo ikatafsiriwa kwa lugha nyenginezo ikiwemo kiswahili na huko pia wakapunguza ukali wa maneno na kuweka ya kwao sitoshangaa yesu kuwa na ndevu halafu mfuasi wake akakwangua zote nikiomba ushahidi wa kukwangua zote sitopewa hata aya moja kwenye bible.

INAHITAJIKA ELIMU USILAMU SI KUKURUPUKA TU
Kabakeni watoto
 
Ipo hivi ,hii diji haiongozwi kwa hisia za fulani wala fulani ,kila kinachoongelewa huwa kinatolewa dalili NINGEPENDA UWEKE USHAHIDI WA HAYO ULIYOYAELEZWA HAPO JUU.

1. uislamu unapinga zina na hili lipo wazi kwenye quran kuna aya nyingi tu zinaelezea haya haitoleta mantiki "KUZINI" na wanawake 1000 hili umelishwa tango pori na ukalimeza bila hata kuchunguza ushahidi wa hili tunaupata kwente surat israa .

{ وَلَا تَقۡرَبُواْ ٱلزِّنَىٰٓۖ إِنَّهُۥ كَانَ فَٰحِشَةٗ وَسَآءَ سَبِيلٗا }
[Surah Al-Isrâ’: 32]

Ali Muhsin Al-Barwani:
Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya.

2. Kusema Uislamu ni kudanga watu kwamba Allah (the exalted one) hasikii lugha nyengine zaidi ya kiarabu ni uongi na uzushi mkubwa mno hakuna ushahidi wowote juu ya hili si kwenye quran wala hadith kama upo ningependa uweke hapa kutokea kwenye quran na hadith.

3. Unaposema uislamu ni kuuwa wengine sijajua hii umeipatia wapi ila kwenye uislamu anayeuliwa ni yule ambaye Allah (the exalted one ) amehukumu auliwe na si vinginevyo maana kuuwa nafsi nje ya ile Allah (the exalted one) aliyoihukumu ni dhambi kubwa kati ya madhambi makubwa mfano tunachinia mbuzi, ng'ombe, kuku na wengineo pale tunauwa lakini haupati madhambi ni kwa sababu hao wanyama wamehalalishiswa kwetu kuwachinja/kuuwa kama vitoweo ,pia ikatokea mtu amekuvamia anataka kukuuwa mfano jambazi katika kujitetea ukamuuwa pia hakuna dhambi hapo mifano ipo mingi mnoo ila hakuna sehemu umeambiwa uuwe tu kila kitu kama ipo weka ushahidi.

Sijajua hizi habari za uzushi huwa mnazitolea wapi ila nikushauri yu usome kwanza kitabi cha dini yako ukielewe maana laiti ingekuwa umekisoma chote basi usingebakia humo.
Acha kujieleza sana kwa dini ya majahazi😂😂
 
Kabakeni watoto
Ubakaji ni dhambi katika uislamu na hakuna sehemu kwenye quran imeruhusu labda .

😊 labda tusome biblia tuone inatuambia nini kuhusiana na kumiliki vitoto vidogo vya kike

Numbers 31:17-18

17 Now kill all the boys. And kill every woman who has slept with a man

18 but save for yourselves every girl who has never slept with a man.
 
000_Nic6479399-1-e1440587373884.jpg

Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha,

Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k.

Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu kwao hawamtambui, ila nguvu wanayotumia wakristo kulazimisha ukaribu na wayahudi inashangaza sana kiasi cha kuonekana wazi wakristo wanajipendekeza maana wao wayahudi hawautambui ukristo

Mjumuisho wa dini ya kikristo israel ni kwamba asilimia 1 tu ni wakristo, yani hapa katika waisrael 100 kuna mkristo moja tu.

Kwao hawamtambui Yesu kwamba alikidhi vigezo vyao kwahio hawautambui ukristo lakini hali ilivyo kwa mataifa ya kikristo ni kama wanajipendekeza sana kuwa karibu na waisrael ambao wao hawautambui ukristo .
Wanataka misaada wacha wajipendekeze
 
Waarabu ubaguzi wao hata kipindi cha mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) Waliuonesha wazi wazi kuna visa kadhaa lakini labda niweke kimoja maarufu sana

1. Kuna swahaba wa mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) aliyekuwa muethiopia na alikuwa mweusi alijulikana kama bilal bin raba huyu ndo swahaba pekee aliyepiga adhana kwa mara ya kwanza na andiye aliyeoteshwa jinsi ya kupiga adhana fikiria mtume muhammad ( swala na salamu ziwe juu yake ) alisikia nyayo za swahaba huyu peponi .

Lakini kuna siku baadhi ya swahana waliitisha kikao kidogo na wote walikuwa waarabu bilal aliposogea kwenye kikao hicho wale swahaba wakambagua kwamba yeye si muarabu hivyo hawezi kuwa kwenye kikao hicho bilal alitoka analia hadi kwa mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake).

Mtune alipopata hizo taarifa alitoka na bilal hadi kwenye kile kikao na akamuamuru yule swahaba alale chali halafu akamwambia bilal akanyage uso wake kwa viatu vyake kuonesha kwamba hakuna aliye juu ya mwenzake kimuonekano wala kimali kwenye uislamu , lakini bilal alishindwa kukanyaga usi unaomsujudia Allah ( the almighty).

Kingine hata ukiangakia speech ya mwisho kabisa ya nabii muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) alipinga sana ubaguzi wa rangi sana sana sana na akasema mwenyezimungu anaangalia uchamungu na si rangi wala mali alizonazo mtu .

Kingine kuhusiana na kuiga mavazi na majina , kwanza ujue mtu unaweza kuvaa nguo yoyote alimradi iwe stara ila kwa sababu tunamuiga mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) basi ndiyo maana vazi la kanzu na niqab na hata majina imekuwa part kubwa ya maisha ya waislamu duniani kote.

Na ujue kuwa uislamu ni MFUMO WA MAISHA hivyo waislamu wanafuata kiigizo chema cha mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) ,alivyoishi maisha yake yote maana aliuishi uislamu halisi.
unanishawishi niritadi na kuupenda uarabu
 
000_Nic6479399-1-e1440587373884.jpg

Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha,

Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k.

Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu kwao hawamtambui, ila nguvu wanayotumia wakristo kulazimisha ukaribu na wayahudi inashangaza sana kiasi cha kuonekana wazi wakristo wanajipendekeza maana wao wayahudi hawautambui ukristo

Mjumuisho wa dini ya kikristo israel ni kwamba asilimia 1 tu ni wakristo, yani hapa katika waisrael 100 kuna mkristo moja tu.

Kwao hawamtambui Yesu kwamba alikidhi vigezo vyao kwahio hawautambui ukristo lakini hali ilivyo kwa mataifa ya kikristo ni kama wanajipendekeza sana kuwa karibu na waisrael ambao wao hawautambui ukristo .
Wagalatia hawana ufahamu mazuzu
 
Kuna tofauti gan sasa na nyie. Yesu anawapenda badala mje kwake mbatizwe mponywe Roho zenu mnamng,ang,ania Marehemu tu.
 
Back
Top Bottom