Ni kumbukumbu ipi Rais Samia atatuachia akiondoka madarakani 2030?

Chuki zinakusumbua 😆😆

Tukubaliane hakuna hata Moja Miaka 5 ya Samia madarakani ametekeleza miradi mikubwa mingi kuliko Rais yeyote wa kabla yake | JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya Samia madarakani ametekeleza miradi mikubwa mingi kuliko Rais yeyote wa kabla yake
 
Hata kama angetaka kutoa orodha kama aliyotoa Bado Iko Mingi zaidi ila Kwa sababu za chuki unaachana nae
 
Mama Samia, a.k.a The Mother of Modern Tanzania, ana mazuri meeeengi mnooo ambayo wala hayahesabiki. Ni mihaters na minafiki peke yao ndiyo ambayo inajifanya haioni.
1. Hakuna muda ambao umeme umestabilize kama kipindi hiki.
2. Miundombinu, likiwemo daraja la kigamboni ambalo lilikiwa mfupa mgumu mno kwa maraisi wote waliopita, mama analimaliza kama utani vile.
3. Miradi yoooote ya jpm ambayo kwa wastani ilifikia 35% wakati anaondoka, Mama la Mamaa kaimaliza yoooote. Haters hawaamini macho yao mwishowe ndo imebaki kuzusha tu hili na lile kama hivi.
4. Amezima kishujaa kabisa uasi uliopangwa vizuri kabisa na kina kitima ile tarehe 29.10.2025. Wapangaji wa ule uharibifu wa nchi hawaamini Hadi Leo na Sasa wamekuwa mbele kuzusha hili na lile na kujitokeza Kila baada ya siku kadhaa kujifanya kukemea Yale mauaji wakiwa na takwimuczao mifukoni walizopikiwa na hao kina kitima. Wanayafanya haya yote kwa lengo Moja tu; kuwatoa watu kwenye reli Ili uovu wao usionekane kiurahisi. Hakuna Raisi mwingine ameweza kuukabili uasi mkubwa kiasi hiki. Kiulinzi na uzalendo na ushujaa, haya ni mafanikio makubwa sana ya uiamara.
 
Ni rais ambaye ameua makumi ya maelfu ya Watanganyika kwa siku tatu tu.
 
 

Attachments

  • 1791051520452.png
    436.1 KB · Views: 5
  • downloadfile.png
    1.2 MB · Views: 4
  • 20260930_221723.jpg
    57.6 KB · Views: 5
Zuri la Samia
Majiko ya gas ya Rostam
 
MO29
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…