Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwa sababu za kiuchumi

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwasababu za kiuchumi alafu unaanza kulalamika na kulialia eti mke wangu kanikimbia!!! Ulitaka afanyeje? Mti ukimea kando ya kijito cha maji jani lake litakuwa bichi na utazaa matunda yake kwa misimu yake yote. Lakini pindi kijito kikikauka uwe na uhakika mti nao utakauka na kufa! Kwa mukutadha huu mti ni mke kijito ni mme!

Tofauti ya mti na mwanamke ni uwezo wa kutembea (movement) laiti mti ungekuwa na uwezo huo ungekimbia hicho kijito. Sasa mwanamke mbali na uwezo wa kutembea lakini ana akili! Mwanamke hawezi kuona kijito kimekauka alafu akakaa hapo afe eti kwasababu ameolewa wakati ana akili anaona wanaume wengine wanaoweza kumpa mahitaji yake.

Sasa uamuzi wa je! kuwaendea hao wanaume wengine kwa mahitaji yake kutakuwa endelevu na kumpa mustakabali (future) ya kuishi ama la! ndo changamoto kwa huyo mwanamke maana hasipochanganya karata zake vizuri mwisho wa siku anaweza kuangukia pua. Kama mkeo ana upeo na wewe mwanaume umeonyesha kwa vitendo HUNA uwezekano wa kujinasua na shida iliyowakumba nakuhakikishia mke atakukimbia.

Hii ni kwamba kama mme utakuwa na maneno matupu yasiyokuwa na mashiko kuhusu mustakabali wake au wenu, mwanamke kukukimbia ni BUSARA TOSHA na ya hali ya juu! Sasa mwanamke atakaaje na mwanamme asiye na njia ya uhai (kijito cha maji kilichokauka?). Ebu wanaume tuwe wakweli; kwamfano: ukiwa na ukwasi ukapanga nyumba nzuri alafu ukashindwa kulipa kodi si unafukuzwa?

Ukiwa unamiliki gari kubwa (Landcruiser V8) alafu ukaishiwa uwezo wa kulijaza mafuta na service, si linaharibika?Ukiwa umeajiriwa alafu usienende na matazamio ya mwajiri si unafukuzwa kazi? Kama umeweka heshima Bar alafu ukaanza kupunguza uwezo wa malipo kuendana na umakini wa huduma wanayokupa pamoja na "tips" unazoachia Barmaid, uwe na uhakika next time unaweza kukosa parking na kiti. Sasa kukimbiwa na mke kwa kushindwa kumpa mahitaji uliyomuaminisha wakati mnaingia mahusiano, akikumbia imekuwa NONGWA? Be serious guys! Pamoja na kwamba nguvu ya kiuchumi ya mwanaume ni nguvu ya ulimwengu wa kimwili unaoonekana; lakini mwanaume anayo pia nguvu ya kiroho.

Ukipoteza nguvu ya kimwili bado unaweza kummudu mke kwa kutumia nguvu ya kiroho na mke akakaa na wewe katika kipindi hicho cha ugumu wa maisha bila kujali ni cha muda mfupi au ndo basi tena mpaka mwisho wenu.

Wanaume tuchukue nafasi zetu zimeporwa na shetani! Mwanaune ukipoteza nguvu za kimwili (uchumi) alafu nguvu za kiroho zikashindwa kuleta mahitaji ya muhimu kama chakula mezani, mwanamke uhamua kwenda kwa wachawi au kwa mizimu ya kwao au kujichukulia sheria mkononi kukutanguliza mbele ya haki (RIP) maana kaona kabanwa kila kona.

Leo ni siku ya wanaume inabidi kutafakari wapi tulipojikwaa? Happy Men's Day
 
Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwasababu za kiuchumi alafu unaanza kulalamika na kulialia eti mke wangu kanikimbia!!! Ulitaka afanyeje? Mti ukimea kando ya kijito cha maji jani lake litakuwa bichi na utazaa matunda yake kwa misimu yake yote. Lakini pindi kijito kikikauka uwe na uhakika mti nao utakauka na kufa! Kwa mukutadha huu mti ni mke kijito ni mme!

Tofauti ya mti na mwanamke ni uwezo wa kutembea (movement) laiti mti ungekuwa na uwezo huo ungekimbia hicho kijito. Sasa mwanamke mbali na uwezo wa kutembea lakini ana akili! Mwanamke hawezi kuona kijito kimekauka alafu akakaa hapo afe eti kwasababu ameolewa wakati ana akili anaona wanaume wengine wanaoweza kumpa mahitaji yake.

Sasa uamuzi wa je! kuwaendea hao wanaume wengine kwa mahitaji yake kutakuwa endelevu na kumpa mustakabali (future) ya kuishi ama la! ndo changamoto kwa huyo mwanamke maana hasipochanganya karata zake vizuri mwisho wa siku anaweza kuangukia pua. Kama mkeo ana upeo na wewe mwanaume umeonyesha kwa vitendo HUNA uwezekano wa kujinasua na shida iliyowakumba nakuhakikishia mke atakukimbia.

Hii ni kwamba kama mme utakuwa na maneno matupu yasiyokuwa na mashiko kuhusu mustakali wake au wenu, mwanamke kukukimbia ni BUSARA TOSHA na ya hali ya juu! Sasa mwanamke atakaaje na mwanamme asiye na njia ya uhai (kijito cha maji kilichokauka?). Ebu wanaume tuwe wakweli; kwamfano: ukiwa na ukwasi ukapanga nyumba nzuri alafu ukashindwa kulipa kodi si unafukuzwa?

Leo ni siku ya wanaume inabidi kutafakari wapi tulipojikwaa? I'm
 
Tofauti ya mwanamke na mti ni uwezo wa kumove, sawa, kwa maana mwanamke atakimbia.
Mbona husemi tofauti ya kijito na mwanaume ni uwezo wa kujirekebisha hali ya kiuchumi mwenyewe kama ambavyo mto hauna uwezo wa kurudisha maji mpaka mvua inyeshe?
 
Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwasababu za kiuchumi alafu unaanza kulalamika na kulialia eti mke wangu kanikimbia!!! Ulitaka afanyeje? Mti ukimea kando ya kijito cha maji jani lake litakuwa bichi na utazaa matunda yake kwa misimu yake yote. Lakini pindi kijito kikikauka uwe na uhakika mti nao utakauka na kufa! Kwa mukutadha huu mti ni mke kijito ni mme!

Tofauti ya mti na mwanamke ni uwezo wa kutembea (movement) laiti mti ungekuwa na uwezo huo ungekimbia hicho kijito. Sasa mwanamke mbali na uwezo wa kutembea lakini ana akili! Mwanamke hawezi kuona kijito kimekauka alafu akakaa hapo afe eti kwasababu ameolewa wakati ana akili anaona wanaume wengine wanaoweza kumpa mahitaji yake.

Sasa uamuzi wa je! kuwaendea hao wanaume wengine kwa mahitaji yake kutakuwa endelevu na kumpa mustakabali (future) ya kuishi ama la! ndo changamoto kwa huyo mwanamke maana hasipochanganya karata zake vizuri mwisho wa siku anaweza kuangukia pua. Kama mkeo ana upeo na wewe mwanaume umeonyesha kwa vitendo HUNA uwezekano wa kujinasua na shida iliyowakumba nakuhakikishia mke atakukimbia.

Hii ni kwamba kama mme utakuwa na maneno matupu yasiyokuwa na mashiko kuhusu mustakali wake au wenu, mwanamke kukukimbia ni BUSARA TOSHA na ya hali ya juu! Sasa mwanamke atakaaje na mwanamme asiye na njia ya uhai (kijito cha maji kilichokauka?). Ebu wanaume tuwe wakweli; kwamfano: ukiwa na ukwasi ukapanga nyumba nzuri alafu ukashindwa kulipa kodi si unafukuzwa?

Ukiwa unamiliki gari kubwa (Landcruiser V8) alafu ukaishiwa uwezo wa kulijaza mafuta na service, si linaharibika?Ukiwa umeajiriwa alafu usienende na matazamio ya mwajiri si unafukuzwa kazi? Kama umeweka heshima Bar alafu ukaanza kupunguza uwezo wa malipo kuendana na umakini wa huduma wanayokupa pamoja na "tips" unazoachia Barmaid, uwe na uhakika next time unaweza kukosa parking na kiti. Sasa kukimbiwa na mke kwa kushindwa kumpa mahitaji uliyomuaminisha wakati mnaingia mahusiano, akikumbia imekuwa NONGWA? Be serious guys! Pamoja na kwamba nguvu ya kiuchumi ya mwanaume ni nguvu ya ulimwengu wa kimwili unaoonekana; lakini mwanaume anayo pia nguvu ya kiroho.

Ukipoteza nguvu ya kimwili bado unaweza kummudu mke kwa kutumia nguvu ya kiroho na mke akakaa na wewe katika kipindi hicho cha ugumu wa maisha bila kujali ni cha muda mfupi au ndo basi tena mpaka mwisho wenu.

Wanaume tuchukue nafasi zetu zimeporwa na shetani! Mwanaune ukipoteza nguvu za kimwili (uchumi) alafu nguvu za kiroho zikashindwa kuleta mahitaji ya muhimu kama chakula mezani, mwanamke uhamua kwenda kwa wachawi au kwa mizimu ya kwao au kujichukulia sheria mkononi kukutanguliza mbele ya haki (RIP) maana kaona kabanwa kila kona.

Leo ni siku ya wanaume inabidi kutafakari wapi tulipojikwaa? Happy Men's Day
Fa.ck you
 
Ukweli gani?
Hapo kila mtu ajiangalie mwenyewe na aina ya mkewe aliye naye.
FB_IMG_1718550981963.jpg
 
Love is pricless msipende kuwaaminisha generation hii kwamba mapenzi yanalindwa kupitia material things ingekuwa hivyo basi bill gate asingetalakiana na mkewe refer Jeff bezzoz ,tiger Wood,na yule Tajiri wa Monaco love is pricless dont ever compere love with material things.
 
Ujaelewa mantiki! Mantiki ni kuwa mwanamke akikukimbia acha kulialia na kulalamika! Let it go and move on na maisha yako! Kumetokea Wimbi kubwa wanaume kulialia eti wanawake sio waaminifu hata kuuana! Ukiona ngoma imekushinda ujue mwenye kosa ni mme kushindwa kutetea nafasi yake!
 
Back
Top Bottom