Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 386
- 680
Katika hali ya kawaida ukizaliwa familia fukara kutoboa ni muujiza! Utaanzaje kwa mfano kutoboa! Tupe uzoefu wenu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupata utajiri ni mipango ya mungu sio mipango yako wapo watu walio zaliwa kwenye ufukara leo ni matajiri na wapo walio zaliwa kwenye utajiri leo ni mafukara,likini sikulazimishi kuamini hayaKatika hali ya kawaida ukizaliwa familia fukara kutoboa ni muujiza! Utaanzaje kwa mfano kutoboa! Tupe uzoefu wenu!
Dah in short utatumia nguvu kubwa sanaKatika hali ya kawaida ukizaliwa familia fukara kutoboa ni muujiza! Utaanzaje kwa mfano kutoboa! Tupe uzoefu wenu!
Na mungu anaweza kukuheshimisha vilevile kwa miujiza yake nduguIla inafikilirisha! Kula shida! Kila kitu shida hata kusoma mpaka uelewe shida! Mbaya huna pa kuishi kodi ya pango shida! Mh?
Ni kama wasemavyo, "mwenye shibe hamjui mwenye njaa"Jitazame kwa ndani ukiona huwezi jua hata kwa nje huweze binafsi Mimi najiona tajiri
Umasikini upo katika Akili Kama hauna magonjwa Makubwa yakukufanya ulale ndani then ukawa masikini Basi Hilo ni tatizo lako na sio Familia yako
Then ile hali ya kukosa hela mpaka ya kula huwa tunairuhusu sisi Wenyewe.
Kuongea ni rahisi! Magonjwa ni sehemu ya ufukara! Ukiwa fukara magonjwa ni yako (dead man walking). Sasa utaanzaje kutoboa?Jitazame kwa ndani ukiona huwezi jua hata kwa nje huweze binafsi Mimi najiona tajiri
Umasikini upo katika Akili Kama hauna magonjwa Makubwa yakukufanya ulale ndani then ukawa masikini Basi Hilo ni tatizo lako na sio Familia yako
Then ile hali ya kukosa hela mpaka ya kula huwa tunairuhusu sisi Wenyewe.
Upo sahihi hapa Duniani chochote kinawezekana ukijiambia Mimi lazima nifanikiwe lazima utafanikiwa tuJiambie kwamba lazima utoboe. Lakini unatakiwa uwe na uwendawazimu fulani hivi ili uweze kutoboa kama umetoka familia maskini. Kwa akili za kawaida haiwezekani. Kaa mbali na anasa zote na pia achana na kuoa fukara mwenzako kwa kujifariji mna mapenzi ya kweli kwamba mtaanzia chini. Kwa kijana uliyetoka chuo jipe muda wa kutafuta hela kwanza. Ila kama manzi yuko fresh kifedha yeye binafsi hadi familia yake muoe upate mtaji.
Kutoboa vipi?Katika hali ya kawaida ukizaliwa familia fukara kutoboa ni muujiza! Utaanzaje kwa mfano kutoboa! Tupe uzoefu wenu!
Ni kweli mkuu. Dawa ya umaskini ni kutengeneza nao bifu tu. Tuukatae kabisa umaskini. Umaskini ni fedheha.Upo sahihi hapa Duniani chochote kinawezekana ukijiambia Mimi lazima nifanikiwe lazima utafanikiwa tu
Hata hesabu watu huwa wanapata F kwa kusema hawaiwezi kitu chochote kinasikia ukikiambia kinakubali Sasa Mtu unajiita masikini hapo hapo unataka utajiri lazima game iwe ngumu
Umeongea point kubwa
Kuna watu wana hela Sana na wagonjwa Sana so hapo nimemaanisha unapopata neema ya Afya unaweza kuitumia Kama mtaji kwa kuwekeza katika MAARIFA kwanza then baadae kuanza kutfta MAFANIKIOKuongea ni rahisi! Magonjwa ni sehemu ya ufukara! Ukiwa fukara magonjwa ni yako (dead man walking). Sasa utaanzaje kutoboa?
MAISHA hayana mipaka so hiyo mipaka unaiweka wewe Binadamu kila Mtu anaweza kufanikiwa na kuwa tajiriNi kama wasemavyo, "mwenye shibe hamjui mwenye njaa"
Ni pattern ya Mungu mwenyewe tu kwa fukara toka kwenye familia kuja kutoboa!
Na unaposema kutoboa, tofautisha na kumudu gharama za maisha!
Na usije fananisha WIZI/UFISADI na UKWAPUAJI wa mali za umma na KUTOBOA kimaisha!
Ukishangaa mtu kukosa mlo hata mmoja kwa siku, ni wazi wewe umeangukia kwenye LILE kundi la SPOILT BRAT, WIZI/UFISADI na UKWAPUAJI, unless kama una maelezo tofauti na hayo MKUU!
Mkuu hata wewe pia una point. Kuna watoto wa maskini wengi wako jela kwa kujiingiza kwenye ishu za Ufisadi serikalini na kwenye taasisi binafsi. Kwa tamaa zao na kutofikiria vizuri wengi wao wamejikuta kama mbuzi wa kafara kwenye hizi ishu za ufisadi na wizi maofisini. Pamoja na kwamba tunapambana na umaskini lakini pia tujiepushe sana na uhalifu. Enzi za JPM vijana wengi waliingia matatizoni. Hata kwenye madawa ya kulevya wahanga wengi ni vijana waliotoka familia fukara. Karibu wote wanaoitwa punda wametokea familia fukara.Ni kama wasemavyo, "mwenye shibe hamjui mwenye njaa"
Ni pattern ya Mungu mwenyewe tu kwa fukara toka kwenye familia kuja kutoboa!
Na unaposema kutoboa, tofautisha na kumudu gharama za maisha!
Na usije fananisha WIZI/UFISADI na UKWAPUAJI wa mali za umma na KUTOBOA kimaisha!
Ukishangaa mtu kukosa mlo hata mmoja kwa siku, ni wazi wewe umeangukia kwenye LILE kundi la SPOILT BRAT, WIZI/UFISADI na UKWAPUAJI, unless kama una maelezo tofauti na hayo MKUU!