Ni kwa asilimia ngapi ukizaliwa familia ya kifukara unaweza kutoboa?

Kutoboa unaweza tu mbona! Ni kuanza na hicho hicho ulochonacho ili mradi uweke aibu pembeni harafu ujitume kutafuta hata kama ni kuuza maji barabarani.
Hapo nakubaliana na wewe! Weka aibu pembeni! Nenda kwa mama ntilie jitolee kumsaidia kazi zake kwa ujira wa mlo! Jishikishe ukiwa na malengo baada ya muda anaweza kuanza kukutupia angala buku 3 kwa siku! Lakini kumbuka wewe ni masikini muda si muda mara paaah!! Unapigwa malaria inakomba akiba yooote unaanza zero! Sasa masikini atatoboaje?
 
Mkuu unapotafuta usifikirie kuumwa! Siku zote Mungu ni mwema yeye ndiye atupaye nguvu za kutafuta, bado atakulinda na kila baya maadamu unatafuta kwa haki.
Sasa ukifikiria kuumwa tu kifo je? Unaweza usitoke ndani ya nyumba!
 
Utajuaje kwamba hujatoboa na bado wewe una hali tete. Vifuatavyo ni viashiria;
1. Kama unaomba kupunguziwa bei hata na kina mama wajasiriamali wauza mbogamboga na nyanya.
2. Kama usafiri wako ni daladala.
3. Kama kuna aina ya dagaa unaita dagaa nyama.
4. Kama unasapoti kwa vitendo kuwa maharage yana virutubisho sawa na nyama.
5. Kama unalalamikia michango kwenye shule za kata na unataka iwe bure kwa 100%
6. Kama nguo zako karibu zote ni mtumba.
7. Kama kipato chako chote cha mwezi kinaweza kuenea tu kwenye wallet bila tatizo.
 
Ongeza kipato, punguza matumizi. Utatoboa!

Matumizi mengine ya kuzuia ni kama kuoa na kupata watoto wakati hata nusu ya lengo hujafikia.
 
Utajuaje kwamba hujatoboa na bado wewe una hali tete. Vifuatavyo ni viashiria;
1. Kama unaomba kupunguziwa bei hata na kina mama wajasiriamali wauza mbogamboga na nyanya.
2. Kama usafiri wako ni daladala.
3. Kama kuna aina ya dagaa unaita dagaa nyama.
4. Kama unasapoti kwa vitendo kuwa maharage yana virutubisho sawa na nyama.
5. Kama unalalamikia michango kwenye shule za kata na unataka iwe bure kwa 100%
6. Kama nguo zako karibu zote ni mtumba.
7. Kama kipato chako chote cha mwezi kinaweza kuenea tu kwenye wallet bila tatizo.

Utajuaje kwamba hujatoboa na bado wewe una hali tete. Vifuatavyo ni viashiria;
1. Kama unaomba kupunguziwa bei hata na kina mama wajasiriamali wauza mbogamboga na nyanya.
2. Kama usafiri wako ni daladala.
3. Kama kuna aina ya dagaa unaita dagaa nyama.
4. Kama unasapoti kwa vitendo kuwa maharage yana virutubisho sawa na nyama.
5. Kama unalalamikia michango kwenye shule za kata na unataka iwe bure kwa 100%
6. Kama nguo zako karibu zote ni mtumba.
7. Kama kipato chako chote cha mwezi kinaweza kuenea tu kwenye wallet bila tatizo.
Mkuu mbona dagaa nyama na maharage ni vyakula poa sana, hivyo vyote viwepo halafu Kuna ubwabwa. Acha kabisa
 
7. Kama kipato chako chote cha mwezi kinaweza kuenea tu kwenye wallet bila tatizo.
😆😂😂😂😂
 
Attachments

  • 1697885066719.gif
    1697885066719.gif
    42 bytes · Views: 3
Kupata utajiri ni mipango ya mungu sio mipango yako wapo watu walio zaliwa kwenye ufukara leo ni matajiri na wapo walio zaliwa kwenye utajiri leo ni mafukara,likini sikulazimishi kuamini haya
Duuuh! wewe unafaa uende China ambako wengi wao hawaamini hilo usemalo,ukawape elimu hiyo adim,uliyonayo.
 
Maisha ni timing na uwezo kucheza na nyakati bila kusahau bidii na uvumilivu katika kila harakati za utafutaji. Pia kumbuka hauwezi kupata mafanikio bila kupitia changamoto za kukatishwa tamaa kuchekwa kudharaulika kuchukiwa zengwe na fitna, ukiweza kuvuka hapo basi mbele nyeupe...............wachawi wapo sehemu zote
Screenshot_20231015-132517.jpg
 
Jibu ni kuukaataa tu huo umasikini, umasikini ni roho,umeumbwa kamili tumia mikono,miguu,akili,macho kuukaataa
 
Jibu ni kuukaataa tu huo umasikini, umasikini ni roho,umeumbwa kamili tumia mikono,miguu,akili,macho kuuka
 
Ardhi pekee ndio mtaji wa mtu masikini kumudu kujinasua
 
Umasikini ni matokeo ya akili kuwa locked jiunlock kuzaliwa masikini Sio kikwazo Cha kutoka, kutoka ni maamuzi.
Kama unataka kutoka kwa kusubiria kuajiriwa ni ngumu sana
 
Naamini kuwa zipo tafiti ambamo takwimu unazotafuta zimo. Ila mchakato wa harakaharaka wa kiakili utaibua fikra ya kwamba, endapo changamoto za kimaisha zitaibua umahiri wa kifikra na msukumo wa kuwajibika ipasavyo, basi uwezekano wa kufanikiwa kimaisha -katika nyanja yeyote zingatiwa- ni mkubwa.
 
Back
Top Bottom