MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Umeongea point kubwa. Vijana wakikutana na dharau na wao wanapandisha mabega na kudai bora wale makande kuliko pilau la masimango. Wanashindwa kujua kuna wakati inabidi ule pilau la masimango huku ukijipanga kimyakimya.Maisha ni timing na uwezo kucheza na nyakati bila kusahau bidii na uvumilivu katika kila harakati za utafutaji. Pia kumbuka hauwezi kupata mafanikio bila kupitia changamoto za kukatishwa tamaa kuchekwa kudharaulika kuchukiwa zengwe na fitna, ukiweza kuvuka hapo basi mbele nyeupe...............wachawi wapo sehemu zoteView attachment 2788198
🙏🙏🙏Jibu ni kuukaataa tu huo umasikini, umasikini ni roho,umeumbwa kamili tumia mikono,miguu,akili,macho kuuka
Kupambana sio guarantee kwamba utatoboa.Hakuna asilimia yoyote.
We pambana utatoboa tu.
Ni Mungu na sio mungu ndugu.Kupata utajiri ni mipango ya mungu sio mipango yako wapo watu walio zaliwa kwenye ufukara leo ni matajiri na wapo walio zaliwa kwenye utajiri leo ni mafukara,likini sikulazimishi kuamini haya
Bahati = fursa iliyokutana na maandalizi.Kuna mambo mengi yanayomfanya mtu atoboe kimaisha hata kama umezaliwa fukara kabisa. Kati ya hayo kuna kitu kinaitwa "bahati". Hii ndio mpango mzima, sema tu ni vile huwezi kuikuta inauzwa dukani ukainunua.
Unataka "kutoboa" nini? Tukupe maarifa.Katika hali ya kawaida ukizaliwa familia fukara kutoboa ni muujiza! Utaanzaje kwa mfano kutoboa! Tupe uzoefu wenu!
Utaukataaje umasikini? Kwa kusema nakukataa umasikini ondoka??? 😆😆😂😂Jibu ni kuukaataa tu huo umasikini, umasikini ni roho,umeumbwa kamili tumia mikono,miguu,akili,macho kuukaataa
Kwa akili na vitendo piaUtaukataaje umasikini? Kwa kusema nakukataa umasikini ondoka??? 😆😆😂😂
Kivipi? Hupo hapo huna mbele wala nyuma madeni, magonjwa, kudharaliwa alafu unaanzaje? Tupe mbinu mkuuKwa akili na vitendo pia
Nashukuru kwa kuniponya moyo wangu..yaani unapaswa kujitazama ndani yako. Ukiona huwezi ndani inamaanisha kiukweli hauwezi in physical manner.Jitazame kwa ndani ukiona huwezi jua hata kwa nje huweze binafsi Mimi najiona tajiri
Umasikini upo katika Akili Kama hauna magonjwa Makubwa yakukufanya ulale ndani then ukawa masikini Basi Hilo ni tatizo lako na sio Familia yako
Then ile hali ya kukosa hela mpaka ya kula huwa tunairuhusu sisi Wenyewe.
Upo mkoa ganiKivipi? Hupo hapo huna mbele wala nyuma madeni, magonjwa, kudharaliwa alafu unaanzaje? Tupe mbinu mkuu
Dah! Yaani kwa fikra hizo bado tuna safari ndefu mzee. Kwa hiyo kama ni mipango ya Mungu, itabidi tukae tu kusubiri hiyo mipango? Kwamba mpaka pale Mungu atakapotujalia? Ukiwa na hiyo mindset ya "majaliwa ya Mungu" utakufa masikini mpaka kizazi chako chote. Ni Iman mbaya sana hiyo anayowatafuna watu kila siku. Mtu unakaa hauna mipango yoyote alafu unasema utajiri ni mipango ya Mungu? Are you serious??Kupata utajiri ni mipango ya mungu sio mipango yako wapo watu walio zaliwa kwenye ufukara leo ni matajiri na wapo walio zaliwa kwenye utajiri leo ni mafukara,likini sikulazimishi kuamini haya
Toa ushauri watu wanasikia mikoa yote walipoUpo mkoa gani
Jiambie kwamba lazima utoboe. Lakini unatakiwa uwe na uwendawazimu fulani hivi ili uweze kutoboa kama umetoka familia maskini. Kwa akili za kawaida haiwezekani. Kaa mbali na anasa zote na pia achana na kuoa fukara mwenzako kwa kujifariji mna mapenzi ya kweli kwamba mtaanzia chini. Kwa kijana uliyetoka chuo jipe muda wa kutafuta hela kwanza. Ila kama manzi yuko fresh kifedha yeye binafsi hadi familia yake muoe upate mtaji.
Mengi katoboa wakati mdogo alisema walikuwa wanalala na ngombe, shuleni alikuwa anaenda peku, diamond naye kakulia shida sa hivi si unaona alivyonona, Kama hipo hipo tu kikubwa mapambano na uzima.Katika hali ya kawaida ukizaliwa familia fukara kutoboa ni muujiza! Utaanzaje kwa mfano kutoboa! Tupe uzoefu wenu!
Tatizo una akili ambazo unafikiri Kwa kutumia masabuli!!Katika hali ya kawaida ukizaliwa familia fukara kutoboa ni muujiza! Utaanzaje kwa mfano kutoboa! Tupe uzoefu wenu!