Ni kwa kiasi gani unaridhika na jina lako ulilopewa na wazazi wako?


Langu naridhika nalo ila nina marafiki hawapendi majina yao, nawataja

1. NASIBU ABDULI-DIAMOND PLATINUMZ

2.POMBE-JIWE

3. SHETA-MWANTUMU

5.DR. CHENI- ABDULKADIR RAFIQ

6. JEREMIA TUNTFYE MWAKIBOLINGUNAYE -BULLDOZA MWAMPOSA

7.RAMADHANI- RAMSO

8. OMARI NDIYAGE -OMMY DIMPOZ

9. JAKI NTUYABALIWE-K-LYNN

10. JUDI WAMBURA-J -DEE

11. MAJIZO

12. BASHITE-MAKONDA
 
Jina langu ikitokea binti kafall lazima ataanza kuniita kifupi chake so naridhika sana na hili jina linanipambania katika kuhakikisha sitokufa na upweke.

Hayo majina yanayofupishwa mara nyingi ukamilifu wake ni majanga, jina yafaa litamkike full.
 
huyu namba sita ana jna gumu balaa halali abadilishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano wewe umezaliwa ukaitwa Makenzi[emoji847] [najua wajua kikwenu linamaanisha nini], wewe ukajifanya mjanja kuliremba ukajiita Kenzy[emoji847]... wengine wanajiita McKenzie 🤣🤣
Hasa watu wa Dini ilee, hawapendi majina yao , utaskia Ramso, Muddy, Mwajei, mwakifilimbitulingijaho etc
 
Halafu kwanini wasanii wengi wa nyimbo na maigizo na Watangazaji wa Kiislam hupenda kuwapa CHARACTERS wao majina ya Kikristo?? Angalia Bongo Movies au Nyimbo za Kibongo au wao wenyewe A.K.A zao wajipa majina ya kikristo?? (Samahani kama nipo nje ya mada)
 
Halafu kwanini wasanii wengi wa nyimbo na maigizo wa Kiislam hupenda kuwapa CHARACTERS wao majina ya Kikristo?? Angalia Bongo Movies au Nyimbo za Kibongo au wao wenyewe A.K.A zao wajipa majina ya kikristo?? (Samahani kama nipo nje ya mada)

Nafikiri mambo ya sanaa na maigizo ni kinyume na maadili ya SAW, so wanamzunguka kumpoteza kiaina.... sina uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…