peter_intelligent
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 604
- 519
umeon eehh,kw sababu jina lenyewe limekaa kama njia ya kuelekea UGIMBIMang'oma nyambiti masatu..
Jina kama hilo unalizika nalo vipi...??
Kwamba nijianike humu
Jina langu kulingana na wewe ni lipi ?Hilo sio jina moja mkuu.
Pia ubabe wake nini, kwa vile ya kibeberu.?
Wow ahsanteNi Ben
Wanalifupishaga kwa kumuita B
Shuleni nafikiri hii inaumiza wengi, ukizingatia hapo mnakuwa bado watoto hivyo ikifika jina lako kuitwa wenzako wote wanacheka.... ila ukikua ukiwa na hela utaitwa vizuri tu mzee. [emoji16][emoji16][emoji16]
Acha basi,,,sheta anaitwa mwantumu?Langu naridhika nalo ila nina marafiki hawapendi majina yao, nawataja
1. NASIBU ABDULI-DIAMOND PLATINUMZ
2.POMBE-JIWE
3. SHETA-MWANTUMU
5.DR. CHENI- ABDULKADIR RAFIQ
6. JEREMIA TUNTFYE MWAKIBOLINGUNAYE -BULLDOZA MWAMPOSA
7.RAMADHANI- RAMSO
8. OMARI NDIYAGE -OMMY DIMPOZ
9. JAKI NTUYABALIWE-K-LYNN
10. JUDI WAMBURA-J -DEE
11. MAJIZO
12. BASHITE-MAKONDA
Wewe hujui, ?Acha basi,,,sheta anaitwa mwantumu?
Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?