Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
November 27.2024, patafanyika uchaguzi wa kihistoria nchini, kwa ngazi za serikali za mtaa na vijiji nchi nzima. Vyama vya siasa vilivyo jizatiti kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo muhimu sana, vinaendelea na maandalizi ya kujipanga na kujiandaa vizuri ndani ya vyama vyao.
Unadhani kwa upande wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, chenye sura na taswira ya fujo mbele ya waTanzania na polisi kwa sasa..
Ni dhahiri wagombea wake wataonekana ni watu wa shari na fujo, wasio na nidhamu wala utii, kutokana na ukaidi na kiburi walichokionyesha kwa waTanzania na polisi nchini, kwa kutaka kulazimisha kufanya maandamano yaliyopigwa marufuku, kutokana na dhamira yake ovu, ya kuvuruga Demokrasia, umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania.
Ni kwa kiwango gani wagombea uongozi wa chadema watogopwa, watakwepwa na kutengwa na wapiga kura kwenye uchaguzi huo muhimu sana wa serikali za mitaa humu nchini?
Zaidi sana,
kuwanadi wagombea uongozi wake itakua vigumu sana, licha ya kwamba watatumia nguvu nyingi mno, kurejesha imani za wananchi kuiamini chadema tena,
unadhani chadema wanaweza kupata viti zaid ya vi3 serikali za mitaa na vijiji nchi nzima? 🐒
Mungu ibariki Tanzania