Ni kwa kiwango gani TBS iko makini kuhakikisha Wananchi wako salama?

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Huwa kuna vita ya kiuchumi,

Huwa kuna makosa ya kiufundi

Wananchi tunatumia bidhaa zinazozalishwa nchini na nje ya nchi na uwezo wa ku control kila kitu ni mdogo.

Je hatuoni haja ya TBS kuwa taasisi imara na yenye kila resources ili waweze kufungua ofisi sehemu mbali mbali nchini na hivyo kutuakikishia usalama wetu?

Tafakari, chukua hatua.

 
ni kwa kiwango bora sana cha kimataifa, Tanzania iko rada, salama na inaaminika kwa kulinda afya na maisha ya watu wake, kwa kuthibitisha ubora na usalama wa bidhaa zote za Tanzania na za kutoka nje ya nchi zinazofaa kwa matumizi ya binadamu 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…