Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Katika muendelezo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyo simama kwa sasa baina ya hizi serikali mbili moja iliyopo Beijing na nyengine ilipo katika kisiwa cha Taiwan.
Siku vita hivi vikizuka kwa mara nyingine tena kwa ukubwa wa vita kamili ukiondoa hizi choko choko za sasa.
Je, ni kwa namna gani Taiwan itaweza kukabiliana na China Beijing katika vita kama ambavyo Ukraine inakabiliana na Russia ukizingatia yeye ni kisiwa tofauti na Ukraine ?