MaalimJohn
New Member
- Nov 29, 2015
- 1
- 1
NI KWANAMNA GANI TUTAPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA KUTOKA VYUONI
Elimu ya juu kila mwaka inazalisha vijana wapya wenye taaluma mbalimbali ambao wanakuja kushindana kwenye soko la ajira.Vijana hawa wana zidi kuongezaka mtaani na kufanya tatizo la ajira kuwa suguu
Ila kwa elimu yao,umoja wao na ushirikiano wao ndio kitu pekee ambacho kitapunguza tatizo la ajira kwa jamii zetu.
Swali linakuja ni kwa namna gani?
Vijana hawa wanapo kuwa vyuoni wanasoma kozi mbalimbali kutokana na uchaguzi wao,Na mwisho wana hitimu kwenye fani mbalimbali
Kwaiyo basi wanavyuo hawa wanapaswa kanzisha jumuiya(organization)zao wenyewe ambazo zitawaweka pamoja wanafunzi mbalimbali wenye taaluma tofauti tofauti ,lengo likiwa nikuanzisha kampuni,taasisi au kiwanda
mfano mwanafunzi wa kozi kama hizi
*Bachelor of science in food,nutrition and dietetics(BSc.FND)
*Bachelor of computer science (BSc.CS)
*Bachelor of Art in mass communication (BA. (MC))
Kwa mfano wanavyuo hawa wa tatu wanaweza kuanzisha taasisi inayo husiana na afya,hapa sasa mtu wa (BSc.CS) atatengeneza Application,alafu mtu wa (BSc.FND) ataweka maudhui kwenye application hiyo na mwisho mtu (BA.MC) ataitangaza application hiyo.
Kwa mfano huu mfupi utagundua watu hawa watapiga hatua na kuweza kuanzisha kliniki yao ya maswala ya chakula na lishe.Kwa kliniki hiyo itaweza kuajiri watu wa kada tofauti tofauti kwaiyo itakua imesaidia kupunguza tatizo la ajira kwenye jamii zetu .Huo n mfano tu kwenye izo taaluma tatu,ila wanaweza kufanya ivo kwenye taaluma nyingine
CHANGAMOTO YA MITAJI
Mtaji imekua kilio na kisingizio cha watu wengi,mtaji ni tatizo Zaidi kama utataka kuanzisha kitu pekee.
Kwaiyo katika jumuiya hii ya wanavyuo kuna watu wamesoma kozi zihusianazo na biashara,katika kozi hizo kuna njia mbalimbali za kupata mtaji ,ila hapa nitazungumzia njia mbili (i)kwa mfumo wa hisa (ii)Mpango wa biashara (Business plan)
(i)Kwa mfumo wa hisa
Kwa njia hii kila mwanachama atachangia pesa kutokana na uwezo wake kwa kununua Hisa(vipande),hii nimoja kati ya njia nzuri ya kupata mtaji kwa sababu katika jumuiya kama hizi watu hutofautiona kiuchumi ,kwaiyo watu watachangia kutokana na uwezo wao
(ii) Mpango wa biashara(Business plan)
Kwa njia hii hutegemea zaid kupata mtaji kutoka kwenye vyanzo mbalimbali kama taasisi mbalimbali za kifedha ,washirika katika biashara NK.
MAPENDEKEZO YANGU
Vijana walio vyuoni na walio hitimu elimu ya juu wanapaswa kuanzisha izi jumuiya(organization)mbalimbali lengo nikuja na bidhaa na huduma mbalimbali zilizo kuwa bora zaid,ambazo zitaweza kushindana kwenye masoko yaliyopo.Pia hitasaidia kupunguza tatizo la ajira hapa nchini
MWISHO
Ningependa maoni yenu,ili tuweze kujadili kwa pamoja hii hoja niliyo ipandisha kwenye ukurasa huu

Upvote
0