Ni kwa nini degrees na diploma za IT zinazidi kukosa soko kwenye ajira zisizo na connection, kipaumbele ni computer science na computer engineering ?

Ni kwa nini degrees na diploma za IT zinazidi kukosa soko kwenye ajira zisizo na connection, kipaumbele ni computer science na computer engineering ?

Demand and supply! Hata kama umesoma hizi IT theory ukiwa umevaa t-shirt na jeans, jaribu kukuza uelewa wako maeneo mengine!
 
Computer Science itaendelea kuwa na soko as long as technology exists. Ila sio computer science ya hapa bongo.
 
Computer Science itaendelea kuwa na soko as long as technology exists. Ila sio computer science ya hapa bongo.
Ndio ya hapa bongo bado iko demand, na wanaajirika sana. Itategemea na musika yupo deep kiasi gani
 
IT iliwahi kuwa kozi yenye dili sana lakini sikuhizi imekuwa haipewi kipaumbele,

ajira nyingi wana prefer kushortlist computer rngineering na computer science
IT kwenye ulimwengu wa computer ni light version, hawaingii deep compare to CS and computer engineering

Kutokana na advancement in AI, CS na computer engineering soko lao limezidi kupanda

Viwanda na makampuni yanatafuta watu walio deep, developers . IT haiko deep kuliko hao
 
sasa IT si hata mimi mwenyewe najisomesha tu nikiwa nagida maji ya mende jioni pale Uhuru Peak....
Computer Science ndo kila kitu...
 
IT ilikua na soko miaka ya ile watu bado wageni wa teknolojia. Miaka ya 2000 kuja juu....mpaka 2015 ila baada ya hapo almost asilimia 30 ya watz wana knowledge ya IT wakati hawajasomea kitu hiyo(kujiongeza chuoni). Mtaani ndo usiseme, kuna wana wana knowledge ya IT tena wapo deep kuliko hata waloisoma(vyeti tu ndo hawana).

Ila wazee wa Coding , Apps developers e.t.c sijaona wamezagaa mtaani. Sijui sababu inahitaji basic ya mathematics.
 
Back
Top Bottom