watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Ndio ya hapa bongo bado iko demand, na wanaajirika sana. Itategemea na musika yupo deep kiasi ganiComputer Science itaendelea kuwa na soko as long as technology exists. Ila sio computer science ya hapa bongo.
IT kwenye ulimwengu wa computer ni light version, hawaingii deep compare to CS and computer engineeringIT iliwahi kuwa kozi yenye dili sana lakini sikuhizi imekuwa haipewi kipaumbele,
ajira nyingi wana prefer kushortlist computer rngineering na computer science
😀😀Wazee wa kubani CD na kupiga window😄
Kwa sababu IT anaweza kusoma mtu yoyote.IT iliwahi kuwa kozi yenye dili sana lakini sikuhizi imekuwa haipewi kipaumbele,
ajira nyingi wana prefer kushortlist computer rngineering na computer science