Ni kwa nini teknolojia kama ChatGPT haikuvumbuliwa China?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Watu wengi husema China iko mbali kiteknolojia na mimi pia niliamini hivyo lakini swali la kujiuliza ni kwa nini teknolojia kama ChatGPT haikuvumbuliwa China na badala yake sasa makampuni ya kiteknolojia ya kichina yanapambana kutoa product kama ChatGPT?

Makampuni mengi ya kichina makubwa yanaahidi kwamba yataifikia ChatGPT kufikia mwisho wa mwaka huu ama mwanzoni mwa mwaka ujao.

Swali, kama China ina advance technology, ni kwa nini haivumbui vitu badala yake inasubiri Marekani avumbue kisha wao watoe nakala?

Je tusubiri makampuni kama Neuralink ua Elon Musk yavumbue tiba ya magonjwa sugu kama kupooza, upofu, cancer nk ndio na wao waje kunakili?
 
china kama wahindi tu, wao kudandia mbele, sema tu wahindi hawajui kupiga domo kama china kwa kujitutumua. ila Marekani ana misingi mizuri ya kutoa nafasi kwa vijana kuwa wabunifu. hujaona maoni ya mtaala mpya wa elimu kwetu tunataka coding languages zianze kufundishwa primary?

I wish zama hizi zingenikuta ndio naanza shule. kweli Africa tulichelewa sana. unakuja kumchukua mtu kwenda polisi baada ya kumaliza form 4, hana wito wala maadili ya kazi hiyo ila yamemkuta tu kwasababu hana pa kukimbilia, matokeo yake raia akihoji haki zake anakula virungu heavy duty, na hilo linasababishwa na kuwa anajua kwa hoja raia atamshinda so anamdhibiti kwa mkong'oto jazz band.
 
Nadhani imekua ngumu kwa mchina kuja na chatgpt kutokana na architecture ya chatGPT kutegemea zaidi data zilizopo mitandaoni.

Kama tunavojua marekani ndiye mmiliki wa data nyingi zaidi na mashirika kama META/Facebook huwa yanauza data zetu kwahiyo ni rahisi zaidi kuitrain model na ikaperform vizuri.
 
china kama wahindi tu, wao kudandia mbele, sema tu wahindi hawajui kupiga domo kama china kwa kujitutumua. ila Marekani ana misingi mizuri ...
Ukisoma hii link ya South China Morning Post inaeleza wazi kwamba hata wachina walikua wakifikiri kwamba wako mbele ama wanalingana na Marekani kiteknolojia lakini kutoka kwa ChatGPT Marekani na sio China kumewashangaza na kuwavunja moyo kwamba bado wako nyuma sana.

Hii ni pamoja na kupewa mahitaji yote na msaada ama ruzuku za kiserikali lakini bado wameshindwa kutoa kitu kizuri kama ChatGPT.

China hawataki kuwekeza kwenye utafiti na kuvutia watu wenye akili kutoka mataifa mengine kuchanganya akili.

Nadhani imekua ngumu kwa mchina kuja na chatgpt kutokana na architecture ya chatGPT kutegemea zaidi data zilizopo mitandaoni.

Kama tunavojua marekani ndiye mmiliki wa data nyingi zaidi na mashirika kama META/Facebook huwa yanauza data zetu kwahiyo ni rahisi zaidi kuitrain model na ikaperform vizuri.
Hapa ndo jibu
 
hapa kuna mambo ya kujifunza kadhaa, chatGPT inategemea majibu kutoka mtandaoni, hii ni kutokana na architecture yake kiujumla, sasa china bila kusahau wana sera zao za kikomunist kuhusu uhuru wa mitandao mfano google, bing na kadhalika wakati huo chatGPT inategema sana kutoka kwenye hizo giant search engines na other things, hebu imagine china google, bing na wengine kama hao kwao ina full restrictions, pia uwezo wa kuwa na satelite za anga za juu wanazo chache kulingana na marekani, kiufupi chatGPT imepigilia msumari kuwa having a more data or having an ability to extract more data is richness. chatGPT v4 ina uwezo mkubwa sana na hii ni kusema kuwa marekani ana data au ana uwezo wa kupata data popote ulimwenguni.

marekani wapo mbali sana ktk AI
kuanzia AI text
AI voice
AI images

and more.............
 
Yah issue ni data na sio kwamba marekani wamewazidi china kiteknolojia
 
Watu wengi husema China iko mbali kiteknolojia na mimi pia niliamini hivyo lakini swali la kujiuliza ni kwa nini teknolojia kama ChatGPT haikuvumbuliwa China na badala yake sasa makampuni ya kiteknolojia ya kichina yanapambana kutoa product kama ChatGPT?

Makampuni mengi ya kichina makubwa yanaahidi kwamba yataifikia ChatGPT kufikia mwisho wa mwaka huu ama mwanzoni mwa mwaka ujao.

Swali, kama China ina advance technology, ni kwa nini haivumbui vitu badala yake inasubiri Marekani avumbue kisha wao watoe nakala?

Je tusubiri makampuni kama Neuralink ua Elon Musk yavumbue tiba ya magonjwa sugu kama kupooza, upofu, cancer nk ndio na wao waje kunakili?
Vitu Muhimu kwenye Open-AI (Chat-Gpt, Dall-E na products nyengine)

1. Azure platform ya Microsoft ambayo ni Cloud Computing,
2. Nvidia gpu ambazo zimemfundisha huyo Chat-Gpt
3. Mtaji mkubwa zaidi ya Trilion 30 toka sehemu mbalimbali
4. Pool of Talent kutoka maneno mbalimbali Duniani,
5. Data za Kufundishia

No 3 na 4 ni possible kwa China uchumi wanao na wataalam wanao ila 1, 2 na 5 hawana. Na ili waweze kusolve 1 na 2 inabidi wapate ufumbuzi wa Semiconductor kwanza.
 
Mkuu ishu sio data. Mfano Ernie iliyozinduliwa na Baidu na AL nyingine za ndani ya China hazijawavutia wachina kwa sababu zimekosaa uwezo kama wa ChatGPT.

Ulitarajiwa kwamba kwa kua ChatGPT ni ya Dunia, basi zile za kichina ziwe na uwezo kama chat gpt lakini kwa habari za ndani za kichina.
 
Platform za AI China zipo nyingi mzeeh!! Labda tu hujafahamu.
Tofauti ni kwamba teknolojia zao zina access kwenye boundaries za nchi yao tu!
 
Yah issue ni data na sio kwamba marekani wamewazidi china kiteknolojia
Una outdated information. Jitahidi kuongeza maarifa kwa kujisomea kutoka vyanzo mbalimbali uongeze maarifa.

Fuatilia juzi China imelalamika Marekani kuanza kuiwekea vikwazo vya kupata advanced chips na kutaka kukwamisha juhudi ama jitihada zake za kukua kiteknolojia.

Kikao cha juzi, jumatano cha US-SINO Dialogue mojawapo ya hoja ni wachina kuomba Marekani aondoe vikwazo vya wao kupata advanced chipsets kwani vinakwamisha na kurudisha jitihada zake za kujiimarisha kiteknolojia.
 
Platform za AI China zipo nyingi mzeeh!! Labda tu hujafahamu.
Tofauti ni kwamba teknolojia zao zina access kwenye boundaries za nchi yao tu!
Hizo hizo za baundary ya ndani zina uwezo mdogo na hazijawavutia Wachina.
 
Vitu Muhimu kwenye Open-AI (Chat-Gpt, Dall-E na products nyengine)

1. Azure platform ya Microsoft ambayo ni Cloud Computing,
2. Nvidia gpu ambazo zimemfundisha huyo Chat-Gpt
3. Mtaji mkubwa zaidi ya Trilion 30 toka sehemu mbalimbali
4. Pool of Talent kutoka maneno mbalimbali Duniani,
5. Data za Kufundishia

No 3 na 4 ni possible kwa China uchumi wanao na wataalam wanao ila 1, 2 na 5 hawana. Na ili waweze kusolve 1 na 2 inabidi wapate ufumbuzi wa Semiconductor kwanza.
Mkuu namba 4 pia hawawezi kwa sababu ya restrictive policies zao. Wanaona wakileta mtaalamu kutoka Uingereza ama Marekani ama Korea Kusini ataiba taarifa zao hivyo kukosa mchanganyiko wa talents.

China inategemea wataalamu wa ndani tu tofauti na Marehemu inategemea wataalamu kutoka popote Duniani. Mtu yoyote ukiwa na akili unakaribishwa Marekani.
 
hapa kuna mambo ya kujifunza kadhaa, chatGPT inategemea majibu kutoka mtandaoni, hii ni kutokana na architecture yake kiujumla, sasa china bila kusahau wana sera zao za kikomunist kuhusu uhuru wa mitandao mfano google, bing na kadhalika wakati huo chatGPT inategema sana kutoka kwenye hizo giant search engines na other things, hebu imagine china google, bing na wengine kama hao kwao ina full restrictions, pia uwezo wa kuwa na satelite za anga za juu wanazo chache kulingana na marekani, kiufupi chatGPT imepigilia msumari kuwa having a more data or having an ability to extract more data is richness. chatGPT v4 ina uwezo mkubwa sana na hii ni kusema kuwa marekani ana data au ana uwezo wa kupata data popote ulimwenguni.

marekani wapo mbali sana ktk AI
kuanzia AI text
AI voice
AI images

and more.............
Satelite za juu zinahusika vipi na chatgpt....
Mimi nalitazama kwa upande mwingine. Ni kwamba ni ngumu watu kuotea trend ya teknolojia inapoelekea. Ndio maana leo elon musk anajilaumu kwa kujiondoa open Ai kampuni ambayo alishiriki kuoanzisha halujia LLM itakuja kuwa trend ya teknolojia sasa.
Hivyo hivyo kwa META, wakati wao wakichoma mabilioni ya pesa kutengeneza metaverse na kuweka resources nyingi sana, hawakujua kuwa AI has LLM inaenda kuwa ndo trend sasa ndipo wameshituka na kudump.metaverse kukimbilia LLM wakati washachelewa.
Same kwa Google nao walikuwa wanaogopa kuachia models maana Google muda tu wanadai wana LaMDA lakini hawakuiachia kwa umma wakihofia negative impact itakayotokana na majibu itakayotoa hadi sijui imeishia wapi hadi wao kuanza upya na Bard.
So, kama zilivyo nchi nyingine hata China hawakuona umuhimu wa LLM mpaka ilipokuwa hype baada ya chatgpt.
Na kuna vitu china alivifanya kitambo lakini havikuwa big deal wengine wamekuja kuvifanya sasa. Hivi unajua china walikuwa watu wa mwanzo kutumia teknolojia ya kutabiri mtu anachotaka kuandika ili kukamilisha neno au sentensi kutokana na mfumo wa maandishi na lugha yao ilikuwa ngumu kuweka zile herufi kwenye keyboard. Teknolojia hiyo ndio inayomfanya typist wa kichina aweze kuchapa hataka kuliko lugha yoyote ile. Hiyo technology wameanzia itumie toka miaka ya 90.
 
Tiktok wanakuja na TAKO chatbot application mpya mbadala wa Chatgpt, utaona jinsi itakavyogaragazwa
 
Watu wengi husema China iko mbali kiteknolojia na mimi pia niliamini hivyo lakini swali la kujiuliza ni kwa nini teknolojia kama ChatGPT haikuvumbuliwa China na badala yake sasa makampuni ya kiteknolojia ya kichina yanapambana kutoa product kama ChatGPT?

Makampuni mengi ya kichina makubwa yanaahidi kwamba yataifikia ChatGPT kufikia mwisho wa mwaka huu ama mwanzoni mwa mwaka ujao.

Swali, kama China ina advance technology, ni kwa nini haivumbui vitu badala yake inasubiri Marekani avumbue kisha wao watoe nakala?

Je tusubiri makampuni kama Neuralink ua Elon Musk yavumbue tiba ya magonjwa sugu kama kupooza, upofu, cancer nk ndio na wao waje kunakili?
Mkuu achana na wadananda wazungu ni watu wengine kabisa kwenye kila kitu na wapo advance sana..
Wanapopita wao sisi na hao wasia huja kupita miaka mingi mbeleni.
 
Mkuu namba 4 pia hawawezi kwa sababu ya restrictive policies zao. Wanaona wakileta mtaalamu kutoka Uingereza ama Marekani ama Korea Kusini ataiba taarifa zao hivyo kukosa mchanganyiko wa talents.

China inategemea wataalamu wa ndani tu tofauti na Marehemu inategemea wataalamu kutoka popote Duniani. Mtu yoyote ukiwa na akili unakaribishwa Marekani.
China ina watu wengi na wataalam wengi pia mkuu, pia AI sio katika Tech ngumu kwamba itahitaji utaalam mkubwa sana, hata hapa Tz ukikusanya wataalam na kuwapa resource its Possible kutengeneza kitu.

Mfano ukiangalia Founders wa hii Open Ai sio wengi na wengine miaka kadhaa iliopita walikua vyuoni, watu kama hawa china wapo.

Kikubwa kilichofanya iwe possible ni hizo Hardware, mambo ya Neural cpu, machine learning, na Accelerators mbalimbali yamefanya hii issue iwe possible sasa hivi compare na zamani.

Hizi hardware China Hana.
 
Back
Top Bottom