Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
- Thread starter
- #41
Nimeona juzi Japan kasema anamuwekea vikwazo China vya hizo advanced chipsets na teknolojia.Comparison ya Investment ya serikali vs matokeo ya uvumbuzi ni bado ni hasi Kwa china.
Mfano Mpaka sasa china hajaweza kutengeneza ndege zake za abiria bado kina Boeing wame doninate. Serikali imekuwa ikipambana sana ila Hamna kitu cha maana so far na hii si kwa ndege tu ni maeneo mengi sana serikali inaweka pesa nyingi ila matokeo Hamna zaidi ya ku copy tech za watu
Movie tu zenyewe wanaenda Hollywood , china bado kwenye kazi za akili na creativity Kwa ujumla
Tech ya 5G huwezi kusema ni ya huawei , ile ni tech Ina mlolongo mrefu labda useme huawei ni wa kwanza kuiweka kwenye mobile device which isn’t a big deal.
Tech ya 5G credit Mpe Qualcomm wala siyo huawei Kama wengi wanavyodhani
Pale china vitu sophisticated wanamtegemea USA na Japan . Japan peke yake kamzidi mbali china Kwa maana nzima ya technolojia achana na hizi fabrication na copy cats.
Nenda kwenye medical equipment wachina wenyewe wamejaza vitu vya mmarekani maana Yale ni maisha hakuna mchezo mchezo .
…..
Juzi hapa China alizindua OS yake, akaiweka closed watu wakamwambia aiweke open maana ilionekana ni kopi ya Android, akagoma. Haijulikani iko wapi sasa.
Nakubaliana na wewe kwamba serikali ya China inaweka pesa nyingi sana za kusaidia wataalamu wa ndani lakini hatokeo sio mazuri.