Watu wengi husema China iko mbali kiteknolojia na mimi pia niliamini hivyo lakini swali la kujiuliza ni kwa nini teknolojia kama ChatGPT haikuvumbuliwa China na badala yake sasa makampuni ya kiteknolojia ya kichina yanapambana kutoa product kama ChatGPT?
Makampuni mengi ya kichina makubwa yanaahidi kwamba yataifikia ChatGPT kufikia mwisho wa mwaka huu ama mwanzoni mwa mwaka ujao.
Swali, kama China ina advance technology, ni kwa nini haivumbui vitu badala yake inasubiri Marekani avumbue kisha wao watoe nakala?
Je tusubiri makampuni kama Neuralink ua Elon Musk yavumbue tiba ya magonjwa sugu kama kupooza, upofu, cancer nk ndio na wao waje kunakili?
The state’s hardening censorship and heavier hand have held back its tech industry; so has entrepreneurs’ reluctance to invest for the long term. It wasn’t always that way.
www.nytimes.com