The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Nimeshuhudia viongozi wanaume huwatambulisha wenzi wao kwa ari na bashasha!! Hupenda kuwasifu na kuwatambulisha mbele za watu.
Ila kwa upande wa viongozi wanawake walio wengi huwa hawapendi kutambulisha wenza wao na mara nyingi ni rahisi sana kumfahamu mke wa kiongozi fulani, ila kinyume chake ni kazi ngumu sana kuwafahamu waume wa viongozi.
Je, unadhani ni kitu gani kinapelekea kujengeka kwa utamaduni huu!?