The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kutoka kwenye Natural instinct and the theory of Alpha Male.Nimeshuhudia viongozi wanaume huwatambulisha wenzi wao kwa ari na bashasha!! Hupenda kuwasifu na kuwatambulisha mbele za watu.
Ila kwa upande wa viongozi wanawake walio wengi huwa hawapendi kutambulisha wenza wao na mara nyingi ni rahisi sana kumfahamu mke wa kiongozi fulani , ila kinyume chake ni kazi ngumu sana kuwafahamu waume wa viongozi.
Je unadhani ni kitu gani kinapelekea kujengeka kwa utamaduni huu!?
Ume comment kwa hisia zako za inferiority complexKutoka kwenye Natural instinct and the theory of Alpha Male.
Mwanaume ndio kiongozi from the genetic component ya viumbe hai...
Wanaume uwa ni wahuni hawana la zaidi kuwazuga nyumba kubwa kuwa ni first lady nyuma ya pazia anakwenda kula bata singapore na nyumba ndogo!Nimeshuhudia viongozi wanaume huwatambulisha wenzi wao kwa ari na bashasha!! Hupenda kuwasifu na kuwatambulisha mbele za watu.
Ila kwa upande...