Ni kwamba sura ya Nyerere ni abstract sana au mwenyewe hataki?

Ni kwamba sura ya Nyerere ni abstract sana au mwenyewe hataki?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,264
Habari wakuu
Tangu nimeanza kuona picha za kuchora na za kuchonga za Hayati Mwenyeheri, Nyerere, haijawahi tokea siku wakamchora sahihi. Au wakamchonga sahihi. Kwamba hii nchi inashindwa kuipa heshima sura ya Baba wa Taifa?

Naomba tu hili nimkabidhi Andrea Nyerere adili nalo kuhakikisha marehemu nzee wake anatendewa haki katika tasnia ya sanaa.

Kama waneshindwa kabisa ni bora wakamwomba Open AI asaidie! Yani sehemu muhimu kama hapo panawekwa picha ya mchongo hivyo? Andrea usikubali. Toa hiyo picha hapo, na kama hakuna wachoraji, iwekwe picha yake ya kamera.

Nawasilisha, ala!
IMG_20251011_101656.jpg
 
Unaongelea hio iliyopo hapo husika ?; Kama ndio hiyo huwezi kujua huenda kuna connection fulani au ni sentimental kutokana na nani alimchora kwahio kabla sijaongelea jambo ni vema nikapata full story behind (mfano wewe picha uliyochorwa na mwanao akiwa na miaka mitatu inaweza ikawa na value kwako kuliko hata uliyochorwa na gwiji fulani kwa bei ya trilioni kadhaa)
 
Ngoja tumalize kuihondomola, kuibagaza na kuibananga nchi aliyoianzisha tutamchora vizuri🐼
 
Unaongelea hio iliyopo hapo husika ?; Kama ndio hiyo huwezi kujua huenda kuna connection fulani au ni sentimental kutokana na nani alimchora kwahio kabla sijaongelea jambo ni vema nikapata full story behind (mfano wewe picha uliyochorwa na mwanao akiwa na miaka mitatu inaweza ikawa na value kwako kuliko hata uliyochorwa na gwiji fulani kwa bei ya trilioni kadhaa)
Kama ni muktadha huo ilibidi pawepo na sahihi ya mchoraji, tujue alichora mtoto au mjukuu wake. Kinyume na hapo, mada izingatiwe
 
we ndo utakua umelewa, ye kaongelea picha za kuchora na kuchonga
Za kwenye hela ni kazi ya nje. Bila shaka kampuni inayoprint hela ilitoa kandarasi (hukohuko nje) ya kutengeneza sura. Au la, ni picha halisi zikachezeshwa kidijitali zikawa vile
 
Back
Top Bottom