Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
we ndo utakua umelewa, ye kaongelea picha za kuchora na kuchongaWe nawe umelewa, kwahiyo ile picha ya kwenye mnoti wa buku ni mbaya siyo?.
we ndo utakua umelewa, ye kaongelea picha za kuchora na kuchonga.iWe nawe umelewa, kwahiyo ile picha ya kwenye mnoti wa buku ni mbaya siyo?.
Kama anaona ni mbaya ashike kalamu mwenyewe achole za kwake, siyo kukatisha tamaa mioyo ya wasanii, huko ni sawa na kupaka matope taaluma za watu.we ndo utakua umelewa, ye kaongelea picha za kuchora na kuchonga.i
Kama ni muktadha huo ilibidi pawepo na sahihi ya mchoraji, tujue alichora mtoto au mjukuu wake. Kinyume na hapo, mada izingatiweUnaongelea hio iliyopo hapo husika ?; Kama ndio hiyo huwezi kujua huenda kuna connection fulani au ni sentimental kutokana na nani alimchora kwahio kabla sijaongelea jambo ni vema nikapata full story behind (mfano wewe picha uliyochorwa na mwanao akiwa na miaka mitatu inaweza ikawa na value kwako kuliko hata uliyochorwa na gwiji fulani kwa bei ya trilioni kadhaa)
Za kwenye hela ni kazi ya nje. Bila shaka kampuni inayoprint hela ilitoa kandarasi (hukohuko nje) ya kutengeneza sura. Au la, ni picha halisi zikachezeshwa kidijitali zikawa vilewe ndo utakua umelewa, ye kaongelea picha za kuchora na kuchonga
Sio matope tu. Haja kubwa kabisa. Kama kuna mtu alilipwa kwa kazi hii, shame on himKama anaona ni mbaya ashike kalamu mwenyewe achole za kwake, siyo kukatisha tamaa mioyo ya wasanii, huko ni sawa na kupaka matope taaluma za watu.