Ni kwanini Akili yangu inazitafsiri hivi Tawala ( Awamu ) zote za Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Heshima kwako mkuu
 
Kila mtu anaweza kuweka mazuri/mabaya kulingana na maoni yake...kila awamu ilikuwa na namna yake...ni makosa kufananisha au kulaumu viongozi.
Kuna tofauti kubwa sana za mageuzi na ukuaji wa uchumi, idadi ya watu, siasa na maingiliano ya uchumi wa dunia ...
 
Awamu ya Nne 'imeiharibu' tu Tanzania.
 
Awamu ya Nne imefanya mabaya tena usiyoyajua ( msiyoyajua ) kuliko hata Awamu nzuri ya Tano. Tatizo lenu hamfuatilii Mambo.
Hakuna ambalo silifahamu kwa Nchi yangu..
Awamu zote nimeziona na kuzishuhudia..
Awamu ya 5 ndio ya ovyo na ya kishenzi kabisa..
Labda kama ulitaka niandike kwa mtazamo wako wewe..
Nina akili and upstairs am independent.
 
Dogo uwe na heshima kwa mzee Ruksa kama ulikuwa hujazaliw uulize,nyerere nchi ilimshinda akamsusia Ruksa,sigara ,sabuni,mitumba ,dawa ya meno ilikuwa anasa,bila mzee yule Tv ungeisikia kwenye redio ya mbao,uwe na adabu dogo
 
Uzi huu umekuzidi 'IQ' kaa nao mbali tu.
 
Dogo uwe na heshima kwa mzee Ruksa kama ulikuwa hujazaliw uulize,nyerere nchi ilimshinda akamsusia Ruksa,sigara ,sabuni,mitumba ,dawa ya meno ilikuwa anasa,bila mzee yule Tv ungeisikia kwenye redio ya mbao,uwe na adabu dogo
👍👍
 
Kwako wewe:-
Nyerere ✔, Mwinyi ❌, Mkapa ✔, Kikwete❌, Magufuli✔, Samia bila shaka kwako itakuwa ❌.

Kwangu mimi ni kinyume chake. Hao unaowapenda katika tawala zao walijifanya Miungu watu na wakasahau kuwa Yupo Mungu mwenyewe.
 
Dogo uwe na heshima kwa mzee Ruksa kama ulikuwa hujazaliw uulize,nyerere nchi ilimshinda akamsusia Ruksa,sigara ,sabuni,mitumba ,dawa ya meno ilikuwa anasa,bila mzee yule Tv ungeisikia kwenye redio ya mbao,uwe na adabu dogo
Nimeanza kuona TV mwaka 1983 je, huo ( huu ) Mwaka Rais Mstaafu Mzee Mwinyi alikuwa Rais wa Tanzania? Usinilazimishe nikaanza ' Kukudharau ' na Wewe sawa?
 
Thanks too for knowing this in advance.
 
Wakati wa Kikwete kuna mtoto alilia asomeshwe masomo ya Ufisadi ili apige pesa.

Anyways..so far Mama anaendelea vizuri huku akibebwa na wazalendo waliochujwa na JPM kwà kuchapa Kazi.

Wakitokea hao wazalendo tutaanza kumjua vizuri zaidi.
 
It doesn't matter kuusoma uzi wako wote..
JF is a public wall kwahiyo ukipita humu unakutana na mambo mengi mazuri tu na mengine kinyume chake...mfano ndio kama huo upumbavu uliouandika.
Huna 'IQ ' ya 'Kuuelewa' huu 'Uzi' kalale.
 
Dogo uwe na heshima kwa mzee Ruksa kama ulikuwa hujazaliw uulize,nyerere nchi ilimshinda akamsusia Ruksa,sigara ,sabuni,mitumba ,dawa ya meno ilikuwa anasa,bila mzee yule Tv ungeisikia kwenye redio ya mbao,uwe na adabu dogo

Msamehe huyo kwani zama za mzee RUXA huyo alikuwa bado hata "kiunoni" kwa dingi wake hajafika.

Mzee Ruxa ndiye aliyeruhusu watz bara kumiliki TV, Nyerere hakutaka kabisa Watz tumiliki TV wakati majirani zetu wakitucheka.

Zama zile zilikuwa "The dark days" Nyerere akajiuzulu kwa style ya "KUNG'ATUKA".
 
Nimeanza kuona 'TV' May mwaka 1983.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…