Ni kwanini Akili yangu inazitafsiri hivi Tawala ( Awamu ) zote za Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Awamu ya Nyerere

Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana.

Awamu ya Mwinyi

Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache ambao waliiweka nchi Mfukoni.

Awamu ya Mkapa

Ya Kuiimarisha Tanzania Kiuchumi na Kielimu huku Taifa la Tanzania likisifika zaidi Kimataifa kwa kuwa na Serikali imara iliyojua kutatua Changamoto za Watanzania huku hata Thamani nzima ya Pesa ( Shilingi ) ikiwa imeimarika sana.

Awamu ya Kikwete

Ya Kuharibu kabisa Uchumi wa Tanzania, uliozalisha Wezi ( Majangili ) na Mafisadi wengu huku pia Serikali ikiwa ndiyo Kimbilio Kuu la Magenge ya Wauza dawa za Kulevya.

Pia ndiyo Awamu iliyozalisha Watanzania wengi ' Goigoi ' na hata ' Mashoga ' wengi waliibukia hapa hapa.

Na ndiyo Awamu ambayo ililemaza Akili za Watanzania wengi huku wakipenda Kupata Pesa kirahisi ( kwa Kupiga Dili ) na Kusababisha Watanzania wengi ( japo siyo wote ) kupenda zaidi Starehe na siyo Kufanya Kazi.

Lakini pia ndiyo Awamu iliyozalisha Chuki za ' Kidiplomasia ' hasa na Mataifa Jirani kama Malawi na Rwanda kiasi cha hata kutaka Kuigharimu nchi ( Tanzania ) kwani Nguvu ya Malawi na Rwanda Kijeshi na Kiusalama zinajulikana na Tanzania ndiyo ingeathirika zaidi.

Awamu ya Magufuli

Ya Kuimarisha zaidi Miundombinu ya nchi, Kurudisha Nidhamu iliyopotea katika Awamu mbovu na ya hovyo ya Rais Kikwete.

Pia ndiyo Awamu ambayo iliwafungua zaidi Akili Watanzania wengi kujua Thamani zao lakini pia kujua Kiwango kikubwa cha Utajiri Tanzania Iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu.

Na ndiyo Awamu ambayo ilijikita zaidi Kuimarisha na Kuboresha ' Kivitendo ' zaidi Ndoto ' Pevu ' za Awamu ya Kwanza.

Hivyo hivyo ndiyo ilikuwa Awamu Bora kabisa iliyoweza Kupambana vyema na Mafisadi na pia Kuwamaliza vyema tu Wahalifu nchini kama Majambazi na hata Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya.

Vile vile ndiyo Awamu iliyomfanya Mtanzania aweze Kujiamini popote pale, Kujitambua vyema na hata Hadhi ya Elimu nchini kuanza Kuimarika tena.

Na ndiyo Awamu ambayo haikupenda sana ' Kujikomba ' kwa Marafiki ' Wanafiki ' kama ' Wakenya ' ila ikahakikisha inarejesha Uhusiano mwema na Majirani zetu wa ' Kimkakati ' kama Malawi na hasa hasa Taifa ' lililobarikiwa ' zaidi na Mwenyezi Mungu Barani Afrika la Rwanda pamoja na mengineyo tofauti na Awamu mbovu ya Kikwete ambayo iliharibu na ingeigharimu zaidi Tanzania.

Awamu ya Samia

Hii nitawaomba nanyi pia muichambue.
Moja la bandiko la hovyo ambalo sikutegemea kutoka kwako
 
Kwa sababu hiyo ni akili yako ndio imetafsiri hivyo, akili ya mwingine itatafsiri kwa namna ingine pia
Kama akili yako haiwezi kuona hilo alilolichambua kuwa ni sahihi kabisaa..bas wewe pia ni zao la serikali ya awamu ya nne..
Huo ni ukwel mtupu mana kila kitu kipo nje kinaonekana.
 
Yaani ufisadi wote ule wa kipindi cha serikali ya Mkapa ikiwemo EPA, Meremeta, deep green, Rada, Ndege ya Rais Kagoda, Uuzaji wa nyumba za serikali, Kujimiliksha mgodi Kiwira, Mikataba mibovu ya madini, uuzaji wa mashirika ya umma kwa bei sawa na kutupa halafu ufisadi huo uufumbie macho?

Awamu ya JPM ilikuwa awamu ya kuendesha nchi utafikiri familia binafsi, ilikuwa ni awamu isiyoheshimu nidhamu ya matumizi ya fedha za umma, ilikuwa ni awamu ya kikatil nai uuaji, utekaji, kutoheshimu katiba wala sheria za nchi, Ilikuwa ni awamu inayonuka ukanda na ukabila. Ile Ilikuwa ni awamu mbovu kuliko zote,
Ukimchukia Nyerere, Mkapa na Dkt. Magufuli ni lazima tu utakuwa na tatizo Kubwa la Utindio wa Ubongo.
 
Usipowasifia akina Nyerere, Mkapa na Dkt. Magufuli huu Uchambuzi wako nitaudharau na kuutia Kapuni kwani hawa ndiyo Marais Bora.

Na nikiona pia unamsifia Kikwete ( ambaye Kwangu Mimi ndiyo Rais mbovu ) kuwahi kutokea nchini Tanzania nitakupuuza kunakotukuka.
Sasa Genta, kama unataka kutuwekea limitations kwenye mjadala kuna haja gani ya kujadili...Ulichoandika ni mtazamo wako, ni vyema ukaacha mitazamo ya wengine then tupime tuone uzito wa kila hoja....
 
Awamu ya 5 ndio awamu ya kishenzi na ya ovyo kabisa kuwahi kutokea katika historia.ya Tanzania..

Raia walitekwa na kuuliwa na miili yao kuokotwa kwenye fukwe za bahari..mpaka leo hii haijulikani watu kama Azory Gwanda, Simoni Kanguye, Ben Saanane wamepotelea wapo..

Ni awamu ya mateso ya kila namna katika suala la uhuru wa Vyombo vya habari. Vyombo vya habari vilivyoachwa ni vile vya kumsifia Meko na serikali yake tu..

Ni awamu ya kikatili ambayo tulishuhudia Mbunge Tundu Lissu akipigwa risasi katika mazingira kama yale na hakuna uchunguzi wowote na mtuhumiwa Mkuu ni Meko..

Ni awamu ya ovyo na ya kishenzi kwani jana tu tumeshududia Mkuu wa Wilaya akipandishwa Mahakamani na tuhumu zile kama tulizozisikia wote..yaani Meko aliamua kwa dhati kabisa kuajiri DC ambaye ni JAMBAZI ..

Awamu ya ovyo haijapata kutokea kwani utawala wa kidemokrasia uliondolewa na CCM peke yake ndio waliruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa na vyama vingine vyote kutoruhusiwa..

Awamu ya ovyo na kishenzi kabisa kwani Bunge na Mahakama ambayo ni mihimili huru lakini kwa awamu ya jtano ikawa ni kinyume chake..

Mwisho kwa kumalizia Kiongozi yoyote wa Nchi ukishanuka damu hata kama umefanya mazuri vipi yote yanatiwa dosari na damu uliyoimwaga. Yupo wapi Ben Saanane..???

Hata ivyo MUNGU ni MWEMA sana kwani alisikia kilio cha Watanzania na kulifyekelea mbali li Meko..
Nchi nzima ilizizima kwa furaha baada ya taarifa ile.
Tundu Lissu una machungu!
pole sana kwani DR Ulimboka aliyeng'olewa meno na kucha bila ganzi ilikuwa awamu gani vile.
yule mbunge wa vyiti maalumu aliyepambana na madawa ya kulevya alitangulizwa mbele za haki,ilikuwa awamu gani?
Yule mwandishi Mwangosi Alitangulizwa mbele za haki awamu gani?
 
Awamu ya Nyerere

Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana.

Awamu ya Mwinyi

Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache ambao waliiweka nchi Mfukoni.

Awamu ya Mkapa

Ya Kuiimarisha Tanzania Kiuchumi na Kielimu huku Taifa la Tanzania likisifika zaidi Kimataifa kwa kuwa na Serikali imara iliyojua kutatua Changamoto za Watanzania huku hata Thamani nzima ya Pesa ( Shilingi ) ikiwa imeimarika sana.

Awamu ya Kikwete

Ya Kuharibu kabisa Uchumi wa Tanzania, uliozalisha Wezi ( Majangili ) na Mafisadi wengu huku pia Serikali ikiwa ndiyo Kimbilio Kuu la Magenge ya Wauza dawa za Kulevya.

Pia ndiyo Awamu iliyozalisha Watanzania wengi ' Goigoi ' na hata ' Mashoga ' wengi waliibukia hapa hapa.

Na ndiyo Awamu ambayo ililemaza Akili za Watanzania wengi huku wakipenda Kupata Pesa kirahisi ( kwa Kupiga Dili ) na Kusababisha Watanzania wengi ( japo siyo wote ) kupenda zaidi Starehe na siyo Kufanya Kazi.

Lakini pia ndiyo Awamu iliyozalisha Chuki za ' Kidiplomasia ' hasa na Mataifa Jirani kama Malawi na Rwanda kiasi cha hata kutaka Kuigharimu nchi ( Tanzania ) kwani Nguvu ya Malawi na Rwanda Kijeshi na Kiusalama zinajulikana na Tanzania ndiyo ingeathirika zaidi.

Awamu ya Magufuli

Ya Kuimarisha zaidi Miundombinu ya nchi, Kurudisha Nidhamu iliyopotea katika Awamu mbovu na ya hovyo ya Rais Kikwete.

Pia ndiyo Awamu ambayo iliwafungua zaidi Akili Watanzania wengi kujua Thamani zao lakini pia kujua Kiwango kikubwa cha Utajiri Tanzania Iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu.

Na ndiyo Awamu ambayo ilijikita zaidi Kuimarisha na Kuboresha ' Kivitendo ' zaidi Ndoto ' Pevu ' za Awamu ya Kwanza.

Hivyo hivyo ndiyo ilikuwa Awamu Bora kabisa iliyoweza Kupambana vyema na Mafisadi na pia Kuwamaliza vyema tu Wahalifu nchini kama Majambazi na hata Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya.

Vile vile ndiyo Awamu iliyomfanya Mtanzania aweze Kujiamini popote pale, Kujitambua vyema na hata Hadhi ya Elimu nchini kuanza Kuimarika tena.

Na ndiyo Awamu ambayo haikupenda sana ' Kujikomba ' kwa Marafiki ' Wanafiki ' kama ' Wakenya ' ila ikahakikisha inarejesha Uhusiano mwema na Majirani zetu wa ' Kimkakati ' kama Malawi na hasa hasa Taifa ' lililobarikiwa ' zaidi na Mwenyezi Mungu Barani Afrika la Rwanda pamoja na mengineyo tofauti na Awamu mbovu ya Kikwete ambayo iliharibu na ingeigharimu zaidi Tanzania.

Awamu ya Samia

Hii nitawaomba nanyi pia muichambue.
Wai kemeze vidonge vyako vya uchizi,

Maana huwa ueleweki, umebakia kuwa mshabiki wa mzoga ulioozeana,

Kesho pakikucha utaukana uho mzoga utaanza kumsifia Samia chizi wewe
 
Vijana masikini Kama wewe akili zenu zimedumaa pole Sana dogo
 
Wewe jamaa hata hueleweki yani!

Mara leo huku kesho kule yani upoupo tu. Wewe leo ni wa kumsifu Magufuli kiasi hiki bila kutoa dosari!?

Halafu kaneno kadogo tu lakini utakapamba wee mpaka basi mfano ni hiyo Rwanda ulivyoipamba hapo mpaka kukaribia kuleta chuki

Jambo lingine unapenda kujipamba na sifa kemkem za uzuri na uelewa, una katabia ka kujikubali na kujiona (kujichukulia kama) genius kumbe mbumbumbu fulani tu!

Mwisho; "genius create idea, average mind discuss idea, low mind discuss person"

Nimekuchambua wewe, utaangalia pa kuniweka katika makundi hayo!!!
Yaani uyu fala hajielewi,,
Leo anamponda dikteta magufuli,
Kesho anamsifia Samia, kesho Tena anachenji, Ni theenge ili jitu
 
Kati ya maraisi wa ovyo hii nchi imewahi pata ni Nyerere na Magufuli
Wote walipenda kusifiwa sanaaaaa na hawakutaka mawazo mbadala kabisa na kwa umoja wao walikuwa wanaenda kuua uchumi wa nchi yetu huku nyerere nchi ikimshinda hadharani kabisa na kusababisha majeraha makubwa amabyo hadi leo hayatibiki katika taifa hili

Mwinyi (mzee rukhusa ) huyu mzee ni vile tu hapambwi kwa sababu hakupenda kutukuzwa kama mtangulizi wake ila ni moja kati ya watu wenye mchango mkubwa sanaaaa kwenye hii nchi na alifanya kazi kubwa tena wakati mgumu ambao nyerere bado alikuwa anatamani aendelee kuongoza nchi kupitia mgongo wa uenyekit wa chama
 
Back
Top Bottom