Ni kwanini Akili yangu inazitafsiri hivi Tawala ( Awamu ) zote za Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Moja la bandiko la hovyo ambalo sikutegemea kutoka kwako
 
Kwa sababu hiyo ni akili yako ndio imetafsiri hivyo, akili ya mwingine itatafsiri kwa namna ingine pia
Kama akili yako haiwezi kuona hilo alilolichambua kuwa ni sahihi kabisaa..bas wewe pia ni zao la serikali ya awamu ya nne..
Huo ni ukwel mtupu mana kila kitu kipo nje kinaonekana.
 
Ukimchukia Nyerere, Mkapa na Dkt. Magufuli ni lazima tu utakuwa na tatizo Kubwa la Utindio wa Ubongo.
 
Sasa Genta, kama unataka kutuwekea limitations kwenye mjadala kuna haja gani ya kujadili...Ulichoandika ni mtazamo wako, ni vyema ukaacha mitazamo ya wengine then tupime tuone uzito wa kila hoja....
 
Tundu Lissu una machungu!
pole sana kwani DR Ulimboka aliyeng'olewa meno na kucha bila ganzi ilikuwa awamu gani vile.
yule mbunge wa vyiti maalumu aliyepambana na madawa ya kulevya alitangulizwa mbele za haki,ilikuwa awamu gani?
Yule mwandishi Mwangosi Alitangulizwa mbele za haki awamu gani?
 
Wai kemeze vidonge vyako vya uchizi,

Maana huwa ueleweki, umebakia kuwa mshabiki wa mzoga ulioozeana,

Kesho pakikucha utaukana uho mzoga utaanza kumsifia Samia chizi wewe
 
Vijana masikini Kama wewe akili zenu zimedumaa pole Sana dogo
 
Yaani uyu fala hajielewi,,
Leo anamponda dikteta magufuli,
Kesho anamsifia Samia, kesho Tena anachenji, Ni theenge ili jitu
 
Kati ya maraisi wa ovyo hii nchi imewahi pata ni Nyerere na Magufuli
Wote walipenda kusifiwa sanaaaaa na hawakutaka mawazo mbadala kabisa na kwa umoja wao walikuwa wanaenda kuua uchumi wa nchi yetu huku nyerere nchi ikimshinda hadharani kabisa na kusababisha majeraha makubwa amabyo hadi leo hayatibiki katika taifa hili

Mwinyi (mzee rukhusa ) huyu mzee ni vile tu hapambwi kwa sababu hakupenda kutukuzwa kama mtangulizi wake ila ni moja kati ya watu wenye mchango mkubwa sanaaaa kwenye hii nchi na alifanya kazi kubwa tena wakati mgumu ambao nyerere bado alikuwa anatamani aendelee kuongoza nchi kupitia mgongo wa uenyekit wa chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…