ukiachana na muda hata sehemu zipo tangu zamani isipokuwa majina, mfano zamani hakukuwa na Tanzania lakini sehemu ilikuwepo ambayo leo hii imekuwa nchi ya Tanzania, Na ndivyo ilivyo kwa siku ya sabato enzi hizo hakukuwa na mfumo wa majina ya siku tunayotumia kwa sasa lakini muda wa kutambua siku ulikuwepo na kila baada ya siku sita kulikuwa na siku ya mwisho iliyoitwa sabato,
Wenzetu wanatunza historia na mpaka sasa ukienda Israel siku ya sabato ni ile ile tangu enzi za kina Musa na Yesu waliofata utaratibu huo