Ni kwanini amri ya kuiabudu siku ya sabato tangu enzi za Musa hadi sasa ni jumamosi lakini makanisa mengine huabudu jumapili?

Ni kwanini amri ya kuiabudu siku ya sabato tangu enzi za Musa hadi sasa ni jumamosi lakini makanisa mengine huabudu jumapili?

ukiachana na muda hata sehemu zipo tangu zamani isipokuwa majina, mfano zamani hakukuwa na Tanzania lakini sehemu ilikuwepo ambayo leo hii imekuwa nchi ya Tanzania, Na ndivyo ilivyo kwa siku ya sabato enzi hizo hakukuwa na mfumo wa majina ya siku tunayotumia kwa sasa lakini muda wa kutambua siku ulikuwepo na kila baada ya siku sita kulikuwa na siku ya mwisho iliyoitwa sabato,

Wenzetu wanatunza historia na mpaka sasa ukienda Israel siku ya sabato ni ile ile tangu enzi za kina Musa na Yesu waliofata utaratibu huo
🤣Unazunguka tu hujibu swali.. wapi kwenye bible wameandika ni ijumaa au jumamosi ..ukisema baada ya siku sita unakua hujaelezea siku ya kwanza ni ipi na imeandikwa lini
 
Ndio maana tumepewa akili za kutambua muda huu nchi flani ni muda gani nchi nyingine, ulidhani akili ni za nini ?

Hata Yesu aliikuta siku maalum ya sabato, aliiabudu, kuisifia na kuitetea (marko 2) na miaka nenda eudi mpaka leo hii utaratibu ni huo ilikoanzia Israel, ni kipi cha kubadili ?
Yaani wewe na wale wanywa maji ya mwampo, BFF bendera na suguye Sawa sawa, ushakaririshwa tangu utoto basi hata kama huna hoja inakubid utetee tu... Pole wangu, tukutane mbele huko we na sabato Mi na Roho Mtakatifu anishuhudiae kweli!
 
Back
Top Bottom