Ni kwanini amri ya kuiabudu siku ya sabato tangu enzi za Musa hadi sasa ni jumamosi lakini makanisa mengine huabudu jumapili?

🤣Unazunguka tu hujibu swali.. wapi kwenye bible wameandika ni ijumaa au jumamosi ..ukisema baada ya siku sita unakua hujaelezea siku ya kwanza ni ipi na imeandikwa lini
 
Yaani wewe na wale wanywa maji ya mwampo, BFF bendera na suguye Sawa sawa, ushakaririshwa tangu utoto basi hata kama huna hoja inakubid utetee tu... Pole wangu, tukutane mbele huko we na sabato Mi na Roho Mtakatifu anishuhudiae kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…