mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,057
- 4,145
Bali?Mimi sio Atheist.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bali?Mimi sio Atheist.
Sorry, hivi kabla Musa hajapewa amri 10, walikua wanaabudu sabato siku gani?Aliepanga hivyo ni Mungu aliempa Musa Amri 10 ikiwemo siku ya kuanza kuitekeleza hio amri, Hata Yesu alipokuja aliitambua, aliiabudu, aliisifia na kuitetea soma Marko 2.
Spiritualist not religious.Bali?
How does that work?Spiritualist not religious.
Hata Yesu aliikuta siku maalum ya sabato, aliiabudu, kuisifia na kuitetea (marko 2) na miaka nenda eudi mpaka leo hii utaratibu ni huo ilikoanzia Israel, ni kipi cha kubadili ?Nyie ndio mmefungwa akili kwa ujinga wenu. KWA HIYO HUYO MCHUNGAJI WAKO NDIO ALIKUDANGANYA SABATO NI JUMAMOSI?
Sabato inapswa ishikweje,?kama Yesu aliikuta siku ya sabato, aliiabudu, kuisifia na kuitetea (marko 2) na miaka nenda eudi mpaka leo hii utaratibu ni huo Israel, ni kipi huelewi ?
Hata Yesu aliikuta siku maalum ya sabato, aliiabudu, kuisifia na kuitetea (marko 2) na miaka nenda eudi mpaka leo hii utaratibu ni huo ilikoanzia Israel, ni kipi cha kubadili ?Basi hata wanaosali jumapili/Ijumaa hio ndio sabato yao! Kusali Jumamosi hakuna uspecial wowote ambao wanaosali jumamosi wanao... Sabato si siku ya mapumziko iwe juma3 jumamosi yote heri madamu mmeitakasa iwe siku ya bwana.
Ndio maana tumepewa akili za kutambua muda huu nchi flani ni muda gani nchi nyingine, ulidhani akili ni za nini ?Embu niambie kwa alie marekani siku ya jumamosi ndivyo iko kwa alie Australia, India ana unchina? Sabato hasa sio siku maana kama ingekua siku ingebidi nchi zote ziwe na siku moja ya jmosi, ila si hivyo utofauti wa Masaa unaonyesha wazi mapokeo ya siku ya jmosi sio sahihi, maana siku ya jmosi ya israel ni tofauti na ya marekani na unchina na Tanzania.
Sabato ni siku yeyote utakayoitenga kumwabudu Mungu wako.!
Achaneni na msingi ya walio Leta dini, soma neno la Mungu kwa mafunuo ya Roho Mtakatifu na hato fungwa na yeyote, maana kila dini inamambo yake inayoona bora kuliko nyingine... Na matokeo yake dini hizi zinaleta utofauti baina ya Mkristo na mkristo.. Huyo dini si kitu cha kujali kama kujali Roho Mtakatifu anae mshujudia huyu Kristo ambae sote tuwafuasi wake.
Hata Yesu aliikuta siku maalum ya sabato, aliiabudu, kuisifia na kuitetea (marko 2) na miaka nenda eudi mpaka leo hii utaratibu ni huo ilikoanzia Israel, ni kipi cha kubadili ?KUHUSU AMRI ZA TORATI, kwa kuwa sheria haiwezi kumuokoa mwanadamu, na kwa kuwa Hakuna narudia tena HAKUNA mwanadamu awaye yote aliyewahi kuokolewa kwa KUSHIKA SHERIA.
HIVYO MUNGU kwa upendo mwingi na kwa kulitambua hilo akamtuma mwanaye wa pekee ili kila AMWAMINIYE asipotee Bali awe na UZIMA WA MILELE.
HIVYO BASI wokovu ni kwa IMANI wala Siyo kwa matendo ya Sheria Kama ukibisha endelea kuwa chini ya Sheria it's your choice!
Pumzika weka shughuli zako pembeni, Jumuika na wengine kufanya shughuli za kumuabudu Mungu ikiwa ni ishara ya kumshukuruSabato inapswa ishikweje,?
Andiko?Pumzika weka shughuli zako pembeni, Jumuika na wengine kufanya shughuli za kumuabudu Mungu ikiwa ni ishara ya kumshukuru
Wahebrania 4:10 hadi 11 nadhani ipo hapo moja ya maandiko machacheAndiko?
Kutoka 16:29 Angalieni, kwa kuwa Bwana amewapa ninyi hiyo Sabato, kwa sababu hii huwapa siku ya sita chakula cha siku mbili; kaeni kila mtu mahali pake, mtu awaye yote asiondoke mahali pake kwa siku ya saba.Pumzika weka shughuli zako pembeni, Jumuika na wengine kufanya shughuli za kumuabudu Mungu ikiwa ni ishara ya kumshukuru
Kutoka 16:29 ni hali tofauti kabisa, Inaanzia kwenye kutoka 16:4-5 Mungu alimwambia Musa atawapa waisrael mkate bure kabisa, Siku ya sita atawapa mara mbili zaidi, Kuuapata huo mkate iliwabidi waisrael watoke kwenda kuufata sehemu husika, hivyo kutoka katika hiki kitabu ni kwenda sehemu hio kukusanya mkate sio kuto toka kabisa maana isingewezekana mtu asitoke nje ashindwe kumuokoa hata punda anaezama kwenye maji.Kutoka 16:29 Angalieni, kwa kuwa Bwana amewapa ninyi hiyo Sabato, kwa sababu hii huwapa siku ya sita chakula cha siku mbili; kaeni kila mtu mahali pake, mtu awaye yote asiondoke mahali pake kwa siku ya saba.
30 Basi hao watu wakapumzika kwa siku ya saba.
Kutoka 35:3 Hamtawasha moto katika nyumba zenu kwa siku ya Sabato
Hii ndiyo Sabato ninayoujua.
Je unaishika kulingana na torati?Kufupisha tu ni kwamba Hata Yesu aliikuta, aliabudu, aliisifia na kuitetea, Kama Yesu ni njia yetu hatuna budi kutembea kwenye mafundisho yake