Ni kwanini amri ya kuiabudu siku ya sabato tangu enzi za Musa hadi sasa ni jumamosi lakini makanisa mengine huabudu jumapili?

Aliepanga hivyo ni Mungu aliempa Musa Amri 10 ikiwemo siku ya kuanza kuitekeleza hio amri, Hata Yesu alipokuja aliitambua, aliiabudu, aliisifia na kuitetea soma Marko 2.
Sorry, hivi kabla Musa hajapewa amri 10, walikua wanaabudu sabato siku gani?
 
KUHUSU AMRI ZA TORATI, kwa kuwa sheria haiwezi kumuokoa mwanadamu, na kwa kuwa Hakuna narudia tena HAKUNA mwanadamu awaye yote aliyewahi kuokolewa kwa KUSHIKA SHERIA.
HIVYO MUNGU kwa upendo mwingi na kwa kulitambua hilo akamtuma mwanaye wa pekee ili kila AMWAMINIYE asipotee Bali awe na UZIMA WA MILELE.
HIVYO BASI wokovu ni kwa IMANI wala Siyo kwa matendo ya Sheria Kama ukibisha endelea kuwa chini ya Sheria it's your choice!
 
Nyie ndio mmefungwa akili kwa ujinga wenu. KWA HIYO HUYO MCHUNGAJI WAKO NDIO ALIKUDANGANYA SABATO NI JUMAMOSI?
Hata Yesu aliikuta siku maalum ya sabato, aliiabudu, kuisifia na kuitetea (marko 2) na miaka nenda eudi mpaka leo hii utaratibu ni huo ilikoanzia Israel, ni kipi cha kubadili ?
 
Basi hata wanaosali jumapili/Ijumaa hio ndio sabato yao! Kusali Jumamosi hakuna uspecial wowote ambao wanaosali jumamosi wanao... Sabato si siku ya mapumziko iwe juma3 jumamosi yote heri madamu mmeitakasa iwe siku ya bwana.
Hata Yesu aliikuta siku maalum ya sabato, aliiabudu, kuisifia na kuitetea (marko 2) na miaka nenda eudi mpaka leo hii utaratibu ni huo ilikoanzia Israel, ni kipi cha kubadili ?
 
Kutoka 16:29 Angalieni, kwa kuwa Bwana amewapa ninyi hiyo Sabato, kwa sababu hii huwapa siku ya sita chakula cha siku mbili; kaeni kila mtu mahali pake, mtu awaye yote asiondoke mahali pake kwa siku ya saba.
30 Basi hao watu wakapumzika kwa siku ya saba.

Siku ya sabato hakuna mtu anaruhusiwa kutoka nyumbani kwake.
 
Ndio maana tumepewa akili za kutambua muda huu nchi flani ni muda gani nchi nyingine, ulidhani akili ni za nini ?

Hata Yesu aliikuta siku maalum ya sabato, aliiabudu, kuisifia na kuitetea (marko 2) na miaka nenda eudi mpaka leo hii utaratibu ni huo ilikoanzia Israel, ni kipi cha kubadili ?
 
Hata Yesu aliikuta siku maalum ya sabato, aliiabudu, kuisifia na kuitetea (marko 2) na miaka nenda eudi mpaka leo hii utaratibu ni huo ilikoanzia Israel, ni kipi cha kubadili ?
 
Kuna Siku ya sabato na Siku ya Bwana, wayahudi na wasabato siku yao kuu ni Siku ya sabato, wakristo siku yao ya kusanyiko Makini ni Siku ya Bwana wao (Lord's day)

]Hata siku ya kwanza ya juma, tulipokuwa tumekutana ili kumega mkate, Paulo akawahutubu, akiazimu kusafiri siku ya pili yake, naye akafuliza maneno yake hata usiku wa manane.

Ufunuo wa Yohana 1:10 Nalikuwa katika Roho, siku ya Bwana; nikasikia sauti kuu nyuma yangu, kama sauti ya baragumu,
 
Kutoka 35:3 Hamtawasha moto katika nyumba zenu kwa siku ya Sabato.
 
Pumzika weka shughuli zako pembeni, Jumuika na wengine kufanya shughuli za kumuabudu Mungu ikiwa ni ishara ya kumshukuru
Kutoka 16:29 Angalieni, kwa kuwa Bwana amewapa ninyi hiyo Sabato, kwa sababu hii huwapa siku ya sita chakula cha siku mbili; kaeni kila mtu mahali pake, mtu awaye yote asiondoke mahali pake kwa siku ya saba.
30 Basi hao watu wakapumzika kwa siku ya saba.

Kutoka 35:3 Hamtawasha moto katika nyumba zenu kwa siku ya Sabato

Hii ndiyo Sabato ninayoujua.
 
Kutoka 16:29 ni hali tofauti kabisa, Inaanzia kwenye kutoka 16:4-5 Mungu alimwambia Musa atawapa waisrael mkate bure kabisa, Siku ya sita atawapa mara mbili zaidi, Kuuapata huo mkate iliwabidi waisrael watoke kwenda kuufata sehemu husika, hivyo kutoka katika hiki kitabu ni kwenda sehemu hio kukusanya mkate sio kuto toka kabisa maana isingewezekana mtu asitoke nje ashindwe kumuokoa hata punda anaezama kwenye maji.

Kuhusu kuandaa chakula ijumaa tayari walikuwa wanapewa mikate ambayo ikipashwa haiwezi kunuka ama kuharibika na kilikuwa ni chakula chao pekee, na pia walikuwa wanapewa bure na Mungu, ni tofauti kwa chakula kinachoharibika ama kupungua ubora waweza kiandaa hata jumamosi.

Kutoka 35:3 kuhusu kuwasha moto ni sambamba na chakula walichokuwa wakipewa bure kabisa na kikipashwa wala hakiharibiki,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…