Ni kwanini amri ya kuiabudu siku ya sabato tangu enzi za Musa hadi sasa ni jumamosi lakini makanisa mengine huabudu jumapili?

Moja ya amri kumi ni kuabudu siku ya sabato, Siku takatifu iliyotengwa na Mungu kuturuhusu KUPUMZIKA kwa kuziweka kando shughuli zetu na tunashukuru kwa kujumuika pamoja kwenye shughuli za kuabudu ikiwa ni ishara ya shukran kisha tunarudi makwetu kupumzika, Kila siku ni siku ya Mungu lakini sio kila siku ni sabato kwasababu si kila siku ya kuacha shughuli zako KUPUMZIKA.

Musa alipopewa amri kumi ikiwemo ya siku ya sabato alishaelekezwa siku rasmi ya kuanza kuiabudu Sabato, huwezi kulikuta neno jumamosi wala ijumaa sababu ni majina ya siku yaliyobuniwa hapo baadae sana ila mfumo wa kuhesabu siku 7 upo tangu zamani, mfumo wa kutambua siku tunaoutumia sasa unatambua siku inaisha saa sita usiku lakini sabato ipo tofauti, inaanza siku ya ijumaa dakika chache kabla ya jua kuzama hadi kesho yake lisaa baada ya jua kuzama, ni masaa 25

Hata Yesu aliikuta siku ya Sabato, aliiabudu, aliisifia na kuitetea (Marko 2) na alitamka hajaja kubadili amri yoyote (Mathayo 5:17), miaka nenda rudi hadi sasa ukienda Israel wanaendeleza huu utaratibu, siku ya jumamosi maduka hufungwa na shughuli nyinginezo husimama.

Yesu ni Pumziko letu kiroho hata tunapofanya kazi nzito tukiwa hoi taaban lakini siku ya sabato tunaweka kando shughuli hizo tunapumzisha na miili
Onyesha neno JUMAMOSI ndani ya biblia.
 
23 Ikawa alipokuwa akipita mashambani siku ya sabato, wanafunzi wake walianza kuendelea njiani wakivunja masuke.
24 Mafarisayo wakamwambia, Tazama, mbona wanafanya lisilokuwa halali siku ya sabato?
25 Akawaambia, Hamkusoma popote alivyofanya Daudi, alipokuwa ana haja, na kuona njaa, yeye na wenziwe?
26 Jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, zamani za kuhani mkuu Abiathari, akaila mikate ile ya Wonyesho, ambayo si halali kuliwa ila na makuhani, akawapa na wenziwe?
27 Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato.
28 Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.
Moja ya changamoto ya Wasabato ni kutokusoma Agano jipya! Wamekazana sana kusoma Agano la Kale, hasa vitabu vya Torati lakini si vitabu vya Agano Jipya hasa Nyaraka.

Pengine, hawajui kuwa Nyaraka ni maelekezo kwa ajili ya waamini wa Agano Jipya!
Sabato ni zawadi aliyotupa Mungu kuturusu kupumzika kama yeye alivyopumzika siku ya saba katika uumbaji, Sabato isigeuke utumwa au mzigo wa kufuata sheria za wanadamu wengine kama za mafarisayo walizoanzisha mfano kukataza kuvunja masuke siku ya sabato, sheria za kunawa mikono, n.k. ndio maana Yesu akawaambia "Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato." Ni ishara tosha kwamba Yesu aliiabudu, aliitii na kuitetea.

Akamalizia kwa kusema "Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia." Mwana wa Adamu ni neno limetumika zaidi ya mara 80 agano jipya pekee likimaanisha Yesu, hivyo kuiheshimu sabato ni kumtukuza Yesu.

Pia bila kusahau, Yesu alishaweka wazi hajaja kuzibadili amri 10.

Bwana Yesu asifiwe
 
1. Yesu hajawahi kuiabudu sabato. Kuwa Bwana wa sabato kunamaanisha kuwa mkubwa kuzidi sabato. Anayeabu na anayeabaudiwa yupi mkubwa? Ni wazi kuwa mdogo humwabudu mkubwa. Kwa kuwa Yesu ni Mkuu kuliko sabato, hawezi kuiabudu sabato.

2. Yesu hakuja kuzibadili, bali kuikamilisha. Baada ya kuikamilisha, aliziweka pembeni ili kuruhusu Amri mpya kuchukua nafasi stahiki. Amri mpya ndiyo hii, MPENDANE; Yohana 13:34

3. Sabato ilikuwa kwa ajili ya Waamini wa Agano la Kale. Haiwahusu waamini wa Agano Jipya.

Kimsingi, Agano la Kale lilishamaliza kazi yake na sasa lililopo kwenye usukani ni Agano Jipya. Hakuna mahali utakuta kwenye Agano Jipya mwongozo wa kuishika sabato. Na hiyo ni kwa sababu Agano la Kale na taratibu zake liliwekwa kando ili kuruhusu Agano Jipya kuchukua nafasi yake

"Kwa kule kusema, Agano jipya, amelifanya like la kwanza kuwa kuukuu. Lakini kitu kianzacho kuwa kikuukuuna kuchakaa ki karibu na kutoweka".
Waebrania 8:13
 
SABATO = KUPUMZIKA + kuabudu

Hata Yesu alikuwa seremala alikuwa anapumzika siku ya sabato ila kwenye kuiabudu inaweza kuwa tofauti maana tayari yupo kwenye utatu na alishaijua kabla hata ya ujio wake duniani kwa mfumo wa mwili wa kibinadamu, Marko 2 kaifafanua vizuri kwamba ni siku kwajili ya binadamu na yeye ni bwana wa sabato kwamba tukiiabudu siku hio tunamuabudu na yeye.

Amri mpya Tupendane inaenda sambamba na amri 10 , upendo unatokea wapi ukiwa mwizi, muuaji, kuiba wake za watu, mchawi, n.k. hata sabato inabidi upumzike wewe pamoja na wasaidizi wako na mifugo pia shughuli ziwekwe kando mpumzishe miili na akili.

Sabato ni kwajili ya binadamu, Ni Muhimu kupumzika kama Mungu alivyopumzika siku ya saba,

Ukitaka sabato isikuchanganye tilia mkazo kwenye neno KUPUMZIKA, ndio maana halisi ya neno lake la asili, Kwenye kuabudu huwa ni kumshukuru alietupa hio siku.
 
SABATO = KUPUMZIKA + kuabudu

Hata Yesi alikuwa seremala alikuwa anapumzika siku ya sabato ila kwenye kuiabudu inaweza kuwa tofauti maana tayari yupo kwenye utatu na alishaijua kabla hata ya ujio wake duniani kwa mfumo wa mwili wa kibinadamu, Marko 2 kaifafanua vizuri kwamba ni siku kwajili ya binadamu na yeye ni bwana wa sabato kwamba tukiiabudu siku hio tunamuabudu na yeye.

Amri mpya Tupendane inaenda sambamba na amri 10 , upendo unatokea wapi ukiwa mwizi, muuaji, kuiba wake za watu, mchawi, n.k. hata sabato inabidi upumzike wewe pamoja na wasaidizi wako na mifugo pia shughuli ziwekwe kando mpumzishe miili na akili.

Sabato ni kwajili ya binadamu, Ni Muhimu kupumzika kama Mungu alivyopumzika siku ya saba,

Ukitaka sabato isikuchanganye tilia mkazo kwenye neno KUPUMZIKA, ndio maana halisi ya neno lake la asili, Kwenye kuabudu huwa ni kumshukuru alietupa hio siku.
1. Ipi muhimu, KUPUMZIKA au KUABUDU? Ipi ipewe kipaumbele?

2. Marko 2 haijasema tuiabudu sabato. Kuiabudu siku ni sawa na ibada ya sanamu. Wa kuabudiwa ni mmoja tu, MUNGU!

Paulo alikemea vikali tabia ya kutukuza siku badala ya Mungu
"...kwa nini kuyarejea tena mafundisho ya kwanza yaliyo manyonge, yenye upungufu, ambayo mnataka kuyatumikia tena? Mnashika siku, na miezi..."
Wagalatia 4:9-10

3. Ingawa Marko 2 haijasema waamini waishike sabato, kwa nini ndiyo mstari pekee unaong'ang'ana nao kutaka kuwaaminisha watu kuwa Yesu alikuwa mfuasi wa sabato? Huna Maandiko mengine? Unafahamu kuwa kila Neno huthibitishwa kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu?

Hata Andiko, haliwezi kuwa sahihi kufuatwa ikiwa hakuna Maandiko mengine yanayolisapoti.

4. Unapowalinganisha Wasabato na wasio Wasabato, waamini wepi wana afya nzuri ya kiroho tofauti na wenzao?

NB. Ukijibu, fuata mtiririko wa vingele vya maswali niliyoyawasilisha, na kama huna majibu, usione aibu kusema. Haupo mahakani mkuu. Take it easy.
 
Ndiye

Musa aliepewa amri 10 kutuletea, akiwa huko patakatifu, alielekezwa sabato iwe jumamosi na ikawa hivyo
Nitajie kifungu kimoja tu kinachotamka na kutaja jumamosi kwenye Biblia

Mungu alifanya kazi siku sita akapumzika ya sababa haisemi alipumzika jumamosi

Biblia imagination fanya kazi siku sita ya saba sabato .Ni lini itakuwa ni maamuzi ya jamii husika yaweza angukia siku yeyote iwe ijumaa ,jumamosi,jumapili,jumatatu jumanne jumatano au alhamisi

Cha msingi fanya kazi siku sita ya saba sabato
 
Siku ya sabato sio Mila wala Tamaduni, NI AMRI !!

Shida ni kua wengi tunasali/tunafata Imani kimapokea ,Lakini ukweli wa siku sahihi ya Ibada mapadri maparoko na papa wanajua ni jumamosi na wanakiri kua ilibadilishwa .

Kwa sasa Cha muhimu ni kusali kwa roho na kweli siku Haina pakutupeleka mkuu.
Mungu aliagiza watu wafanye kazi siku sita ya saba wapumzike fulll stop.hakuwaambia hiyo siku mi juma ngapi?
 
1. Ipi muhimu, KUPUMZIKA au KUABUDU? Ipi ipewe kipaumbele?

2. Marko 2 haijasema tuiabudu sabato. Kuiabudu siku ni sawa na ibada ya sanamu. Wa kuabudiwa ni mmoja tu, MUNGU!

Paulo alikemea vikali tabia ya kutukuza siku badala ya Mungu
"...kwa nini kuyarejea tena mafundisho ya kwanza yaliyo manyonge, yenye upungufu, ambayo mnataka kuyatumikia tena? Mnashika siku, na miezi..."
Wagalatia 4:9-10

3. Ingawa Marko 2 haijasema waamini waishike sabato, kwa nini ndiyo mstari pekee unsong'ang'ana nao kutaka kuwaaminisha watu kuwa Yesu alikuwa mfuasi wa sabato? Huna Maandiko mengine? Unafahamu kuwa kila Neno huthibitishwa kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu?

Hata Andiko, haliwezi kuwa sahihi kufuatwa ikiwa hakuna Masmdiko mengine yanayolisapoti.

4. Unapowalinganisha Wasabato na wasio Wasabato, waamini wepi wana afya nzuri ya kiroho tofauti na wenzao?

NB. Ukijibu, fuata mtiririko wa vingele vya maswali niliyoyawasilisha, na kama huna majibu, usione aibu kusema. Haupo mahakani mkuu. Take it easy.
😀😀huyu jamaa hajui Biblia ndiomana mchungaji wake kamkaririsha Marko 2 ambayo nayo haielewi...hana uwezo wa kutoa vifungu vya Biblia kujibu hoja zaidi ya kurudia ngonjera zilezile😀😀
👇👇
Wakolosai 2:14-17
Neno: Bibilia Takatifu
14 baada ya kufuta kabisa hati ya mashtaka iliyokuwa inatukabili na kutu pinga pamoja na masharti yake; aliiondoa akaipigilia msalabani. 15 Na baada ya kuvunja nguvu na mamlaka ya shetani, Mungu alim fedhehesha hadharani kwa kuonyesha ushindi wa msalaba juu yake.

16 Kwa hiyo msimruhusu mtu awahukumu kuhusu chakula au kiny waji, au juu ya kuadhimisha sherehe za dini, sikukuu ya mwezi mpya au siku ya sabato. 17 Maana hizi zilikuwa ni kanuni za muda tu au vivuli vya yale mambo ambayo yangekuja; lakini hakika ya mambo yenyewe ni Kristo.
 
Moja ya amri kumi ni kuabudu siku ya sabato, Siku takatifu iliyotengwa na Mungu kuturuhusu KUPUMZIKA kwa kuziweka kando shughuli zetu na tunashukuru kwa kujumuika pamoja kwenye shughuli za kuabudu ikiwa ni ishara ya shukran kisha tunarudi makwetu kupumzika, Kila siku ni siku ya Mungu lakini sio kila siku ni sabato kwasababu si kila siku ya kuacha shughuli zako KUPUMZIKA.

Musa alipopewa amri kumi ikiwemo ya siku ya sabato alishaelekezwa siku rasmi ya kuanza kuiabudu Sabato, huwezi kulikuta neno jumamosi wala ijumaa sababu ni majina ya siku yaliyobuniwa hapo baadae sana ila mfumo wa kuhesabu siku 7 upo tangu zamani, mfumo wa kutambua siku tunaoutumia sasa unatambua siku inaisha saa sita usiku lakini sabato ipo tofauti, inaanza siku ya ijumaa dakika chache kabla ya jua kuzama hadi kesho yake lisaa baada ya jua kuzama, ni masaa 25

Hata Yesu aliikuta siku ya Sabato, aliiabudu, aliisifia na kuitetea (Marko 2) na alitamka hajaja kubadili amri yoyote (Mathayo 5:17), miaka nenda rudi hadi sasa ukienda Israel wanaendeleza huu utaratibu, siku ya jumamosi maduka hufungwa na shughuli nyinginezo husimama.

Yesu ni Pumziko letu kiroho hata tunapofanya kazi nzito tukiwa hoi taaban lakini siku ya sabato tunaweka kando shughuli hizo tunapumzisha na miili

Sabato ni zawadi aliyotupa Mungu kuturusu kupumzika kama yeye alivyopumzika siku ya saba katika uumbaji, Sabato isigeuke utumwa au mzigo wa kufuata sheria za wanadamu wengine kama za mafarisayo walizoanzisha mfano kukataza kuvunja masuke siku ya sabato, sheria za kunawa mikono, n.k. ndio maana Yesu akawaambia "Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato." Ni ishara tosha kwamba Yesu aliiabudu, aliitii na kuitetea.

Akamalizia kwa kusema "Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia." Mwana wa Adamu ni neno limetumika zaidi ya mara 80 agano jipya pekee likimaanisha Yesu, hivyo kuiheshimu sabato ni kumtukuza Yesu.

Pia bila kusahau, Yesu alishaweka wazi hajaja kuzibadili amri 10.
Kwa nini uabudu siku badala ya kumwabudu Mungu aliyeumba siku.
 
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kwa maneno mengine ni kwamba msiruhusu mtu yeyote awasimange kwa visingizio vya siku ya sabato. Muhimu ni kumwabudu Mungu katika roho na kweli!
 
Moja ya amri kumi ni kuabudu siku ya sabato, Siku takatifu iliyotengwa na Mungu kuturuhusu KUPUMZIKA kwa kuziweka kando shughuli zetu na tunashukuru kwa kujumuika pamoja kwenye shughuli za kuabudu ikiwa ni ishara ya shukran kisha tunarudi makwetu kupumzika, Kila siku ni siku ya Mungu lakini sio kila siku ni sabato kwasababu si kila siku ya kuacha shughuli zako KUPUMZIKA.

Musa alipopewa amri kumi ikiwemo ya siku ya sabato alishaelekezwa siku rasmi ya kuanza kuiabudu Sabato, huwezi kulikuta neno jumamosi wala ijumaa sababu ni majina ya siku yaliyobuniwa hapo baadae sana ila mfumo wa kuhesabu siku 7 upo tangu zamani, mfumo wa kutambua siku tunaoutumia sasa unatambua siku inaisha saa sita usiku lakini sabato ipo tofauti, inaanza siku ya ijumaa dakika chache kabla ya jua kuzama hadi kesho yake lisaa baada ya jua kuzama, ni masaa 25

Hata Yesu aliikuta siku ya Sabato, aliiabudu, aliisifia na kuitetea (Marko 2) na alitamka hajaja kubadili amri yoyote (Mathayo 5:17), miaka nenda rudi hadi sasa ukienda Israel wanaendeleza huu utaratibu, siku ya jumamosi maduka hufungwa na shughuli nyinginezo husimama.

Yesu ni Pumziko letu kiroho hata tunapofanya kazi nzito tukiwa hoi taaban lakini siku ya sabato tunaweka kando shughuli hizo tunapumzisha na miili

Sabato ni zawadi aliyotupa Mungu kuturusu kupumzika kama yeye alivyopumzika siku ya saba katika uumbaji, Sabato isigeuke utumwa au mzigo wa kufuata sheria za wanadamu wengine kama za mafarisayo walizoanzisha mfano kukataza kuvunja masuke siku ya sabato, sheria za kunawa mikono, n.k. ndio maana Yesu akawaambia "Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato." Ni ishara tosha kwamba Yesu aliiabudu, aliitii na kuitetea.

Akamalizia kwa kusema "Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia." Mwana wa Adamu ni neno limetumika zaidi ya mara 80 agano jipya pekee likimaanisha Yesu, hivyo kuiheshimu sabato ni kumtukuza Yesu.

Pia bila kusahau, Yesu alishaweka wazi hajaja kuzibadili amri 10.
Kwani siku ya sabato ni Jumamosi? Nipe andiko. MUNGU alipoumba Dunia siku alizipa majina? Ni nani aliyetoa majina ya siku? Kwetu Jumatatu, Jumanne,Jumatano nk nk. Uingereza Sunday, Monday, Tuesday nk nk. Nchi nyingine wanajua wanavyoita NISAIDIE Kwa maswali haya matatu.
 
Yesu Kristo.
Wakristo means wafausi wa Yesu.
Kama walivyo Muhammadia maana yake waislamu au wafuasi wa Mtume Muhammad
Kwanini paul na wenzie walianza kujiita Wakristo wakati yupo mkubwa zaidi ambaye aliemtuma Yesu..

Haikuishia hapo wengine ndo wakaanza Kumuabudu Kristo direct na Kumuita Mungu kabisa..

Iko wapi nafasi ya aliemtuma yesu
[BABA YAKE]..

Maana nashuhudia ibada nyingi makanisani anaetajwa tajwa na kuombwa sana ni Yesu kuliko BABA YAKE aliemtuma..

Kwanini meza imepinduka? Yesu naemsikia sikuhizi mbona kama kachukua nafasi ya BABA yake aliye mbinguni?

Naomba ufafanuzi Tafadhali.
 
Attachments

  • Screenshot_20240715-110723~2.png
    Screenshot_20240715-110723~2.png
    54.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240715-111954~2.png
    Screenshot_20240715-111954~2.png
    27.8 KB · Views: 1
huwezi kulikuta neno jumamosi wala ijumaa sababu ni majina ya siku yaliyobuniwa hapo baadae sana ila mfumo wa kuhesabu siku 7 upo tangu zamani,

mfumo wa kutambua siku tunaoutumia sasa unatambua siku inaisha saa sita usiku lakini sabato ipo tofauti, inaanza siku ya ijumaa dakika chache kabla ya jua kuzama hadi kesho yake lisaa baada ya jua kuzama, ni masaa 25
Unajuaje ni ijumaa asa
 
Unajuaje ni ijumaa asa
ukiachana na muda hata sehemu zipo tangu zamani isipokuwa majina, mfano zamani hakukuwa na Tanzania lakini sehemu ilikuwepo ambayo leo hii imekuwa nchi ya Tanzania, Na ndivyo ilivyo kwa siku ya sabato enzi hizo hakukuwa na mfumo wa majina ya siku tunayotumia kwa sasa lakini muda wa kutambua siku ulikuwepo na kila baada ya siku sita kulikuwa na siku ya mwisho iliyoitwa sabato,

Wenzetu wanatunza historia na mpaka sasa ukienda Israel siku ya sabato ni ile ile tangu enzi za kina Musa na Yesu waliofata utaratibu huo
 
1. Ipi muhimu, KUPUMZIKA au KUABUDU? Ipi ipewe kipaumbele?
Kupumzika hata Mungu alipumzika, Bwana Yesu nae alishasema ni Bwana wa sabato, Sisi binadamu wa kawaida nje ya kupumzika inatupasa tuabudu pia
2. Marko 2 haijasema tuiabudu sabato. Kuiabudu siku ni sawa na ibada ya sanamu. Wa kuabudiwa ni mmoja tu, MUNGU!
Ni Kuitakasa / Kuiheshimu siku ya sabato = Kupumzika + Kuabudu,
Paulo alikemea vikali tabia ya kutukuza siku badala ya Mungu
Haiabudiwi siku bali tunatii amri ya Mungu kuturuhusu kupumzika kama yeye alivyopumzika hio siku na sisi tunashukuru kwa kuzifanya shughuli za kumuabudu
3. Ingawa Marko 2 haijasema waamini waishike sabato, kwa nini ndiyo mstari pekee unaong'ang'ana nao kutaka kuwaaminisha watu kuwa Yesu alikuwa mfuasi wa sabato? Huna Maandiko mengine? Unafahamu kuwa kila Neno huthibitishwa kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu?
Yesu alishakiri kwamba Yeye ni Bwana wa sabato (Marko 2:28), Kama yeye ni Bwana wa Sabato basi hatuna budi kuitakasa kama Amri inavyotusihi, Yesu aliitetea pia
Hata Andiko, haliwezi kuwa sahihi kufuatwa ikiwa hakuna Maandiko mengine yanayolisapoti.
Ndio maana reference ipo kwenye amri 10 kuitakasa siku ya sabato, Hakukuwa na jipya, Yesu alishaijua Sabato kabla hata ya ujio wake, Kilichoongezeka tu alitilia msisitizo yeye ni bwana wa sabato na kutoa ufafanuzi siku hio isiwe ya kitumwa kwa kufuata sheria za binadamu kama zilizoanzishwa na mafarisayo kukatazo kuchuma chakula
4. Unapowalinganisha Wasabato na wasio Wasabato, waamini wepi wana afya nzuri ya kiroho tofauti na wenzao?
rekebisha maandishi yalete maana ila itakuwa unamaanisha wumi wapi, Off course ni wasabato kwasababu mapumziko ni muhimu na wanafata amri ya kuiabudu siku ya sabato pia wanafuata njia ya Yesu kwakuwa yeye pia ni bwana wa sabato (Marko 2:28)
 
Nitajie kifungu kimoja tu kinachotamka na kutaja jumamosi kwenye Biblia

Mungu alifanya kazi siku sita akapumzika ya sababa haisemi alipumzika jumamosi

Biblia imagination fanya kazi siku sita ya saba sabato .Ni lini itakuwa ni maamuzi ya jamii husika yaweza angukia siku yeyote iwe ijumaa ,jumamosi,jumapili,jumatatu jumanne jumatano au alhamisi

Cha msingi fanya kazi siku sita ya saba sabato
Soma paragraph ya pili kwenye main post
 
Mungu aliagiza watu wafanye kazi siku sita ya saba wapumzike fulll stop.hakuwaambia hiyo siku mi juma ngapi?
Musa ndie alieshuka na amri 10 za Mungu na kuianzisha Sabato kwa hapa duniani, Siku hio ndio hufuatwa mpaka kwa Israel ya sasa
 
Back
Top Bottom