Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

Ooh hivi nani wanakujengea Bwawa la Umeme?

Kwa kukujuza tu wanaitwa Arab Contractors.


Hivi leo hii nani wanakulisha ngano swaafi kabisa Tanzania hii? Hata huko kijijini kwenu, madongo kuporomoka.

Ukipata jibu lifanye siri yako.
Bibi anatoka povu kumtetea Mwarabu [emoji1787][emoji1787]

Wavaa kobazi mna Shobo na waarabu mpaka mnatia aibu. Ila sasa mwarabu mwenyewe hana shobo na nyie kabisa... yaani hana time kabisaaaaa
 
Bibi anatoka povu kumtetea Mwarabu [emoji1787][emoji1787]

Wavaa kobazi mna Shobo na waarabu mpaka mnatia aibu. Ila sasa mwarabu mwenyewe hana shobo na nyie kabisa... yaani hana time kabisaaaaa
Wamekuletea ustaarabu hao.
 
Waarabu ni kama wachaga ukiwa unajimudu kifedha hukataliwi kwakuwa wanajua mtoto wao haendi kula msoto ikiwa kinyume wanajua mtoto anaenda kula msoto nani anapenda msoto?
 
Reactions: Tui
Ukweli mchungu
 
Wazungu=Yesu=Rangi km yao
Waarabu=Mtume Muhammad=Sijui rangi yake
Waafrika=Shetani=Mweusi,ana pembe na macho ya kutisha.

Nje ya hapo ni kiini macho ili wapate kitu au huduma kutoka kwako.
 
Mwenye masikio ya kusikia na asikie.
Mwisho wa kunukuu!
 
Huu ni ubaguzi au wivu
 
SASA KAMA MTU UNAUZA BANDARI ILI UPATE HELA YA UPATU MWANAE NI KITU GANI KWAKO?
 
Japo ni ubaguzi kiukweli Mwarabu au Muhindi kuoa mtu mweusi ni hasara sana

Watu weusi tuna matatizo mengi kuliko faida.
 
Wewe mwongo mbona mimi nina wake wawili toka Arabia
 
Mtaje mmoja aliyefadhili timu Zanzibar au kutoa msaada wowote ule?
Umeme mnaotumia unajua unazalishwa wapi? Kwa asilimia kubwa umeme wa Zanzibar mnategemea mainland Tanganyika kupitia submarine cable, kuna cable ina km 39 kwenda unguja toka Dsm, Pemba hapo kuna cable inatoka Tanganyika ina km 75, au tuwakatieni umeme😆, hio ni moja niendelee?
 
Unadhihirisha ujinga wako.Kwa hiyo Tanesco wanapokuuzia umeme wanakusaidia?Taja mfadhili wacha kuzungukazunguka.Au uwezo wako wa kufikiri ndio umefikia hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…