Km hujui uliza usaidiwe.Ubaguzi ni hulka
Na kila jamii ina ubaguzi
Mwarabu wa saudia anambagua Al burush yaani mwarabu wa Iran
Mwarabu wa dubai au UAE anamuona mwarabu wa Africa sio muarabu ni muafrica
Kwasababu hakuna mwafrika atakwenda mbinguni kwa mujibu wa imani yao.Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.
Shida inakuja kwa waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslahi aidha uwe na cheo kikubwa serikalini ama uwe na pesa nyingi sana.
Na hapa navomaanisha waafrika ni hadi wazanzibari ambao hufanana na wasomali, hali ni hivyo hivyo tu, japo wao hupenda kujiweka kundi moja na waarabu ila waarabu huwaona ni zao la watumwa
Narudia tena uache kukurupuka,huyo Yohana hapo ni mmoja ya mitume 12 wa Yesu,na hao wakina Mathayo4,Marko na Luka walikuwa ni wanafunzi wa Yesu ila sio mitume kama huyo Yohana,acha kukurupuka mzeeWacha kudanganya watu .
Andiko la MARKO sio la YESU mwana wa MARIA.
MARK SIO MMOJA KTK WANAFUNZI WA YESU. Sasa lini alimsikia Yesu akitamka chochote?
Nafahamu hili litakukuchanganya uanze kutoa mapovu ovyo manake siku zote umedanganywa .
Anza na hii kwanza.
Waandishi wa AGANO JIPYA ndio wanadai Yesu kasema hivi na vile.
Sasa ili tupate kuwafahamu hao waandishi tuanze na MAJINA YAO KWANZA.
JE Hawa waandishi wa BIBLIA BABA ZAO NI NANI?
Matthew who?
Mark who?
Luke who?
and John who?
Umeshawahi kuona MUANDISHI YYT DUNIANI ANA JINA MOJA TU?
Bila kujua majina ya WAZAZI WAO vipi tutaweza kukubali wanachosema kuwa ni KWELI? Na hali ya kuwa HAKUNA YYT ktk hao ALIWAHI KUWA MWANAFUNZI WA YESU?
Naomba Jibu. Acha mapovu
Sina sababu ya kujisifu kwako manake hunijui sikujui ila Nimesoma Biblia miaka zaidi ya 4 SHULENI sio Hapa Jamii Forum.Hufaham lolote kuhusu Biblia inaonyesha,ungekuwa unafaham maana ya injili usingekurupuka kuleta ubishi wako,na ww sio mkristo ndiomaana hufaham hao waandishi wa injili ni wakina nani,wakristo wote Dunian wanatumia Biblia kama reference,Sasa kama unabishana na maandiko basi ni wazi huujuwi ukristo,na aliyeuliza alitaka nimpe vifungu vya Bible kama reference,fikiri kabla ya kutenda
Huko shuleni kwenu mlkuwa mnakaririshwa na hukuielewa Biblia, swala la lugha tofauti ni kawaida maana kila mtu anatumia lugha flani, ndiosababu ya kutafsiri Biblia kutoka kiebrania,kieramu na kigiriki na kuweka katika lugha mbalimbaliSina sababu ya kujisifu kwako manake hunijui sikujui ila Nimesoma Biblia miaka zaidi ya 4 SHULENI sio Hapa Jamii Forum.
We unadai umbria Reference kwenye BIBLIA . Je unatambua kuna BIBLIA 54 duniani na zimetafsiriwa kwa lugha 736 duniani na KILA MOJA NI TOFAUTI NA INGINE.!
Hilo Wengi hamjui.
Sasa anza na hao waandishi wa BIBLIA unayosoma wewe kila weekend. Nataka leo ujifunze kitu muhimu sana hata km hapa utapinga .
Ili muandishi AKUBALIKE DUNIANI POPOTE Moja ya jambo la MSINGI SANA NI KUWEZA KUMJUA HUYO MUANDISHI.
Sasa nakuuliza tena.
Hawa waandishi wa BIBLIA Unajua majina ya BABA ZAO?
Ni watu waandishi gani WASIOJULIKANA MAJINA YA BABA ZAO.??
Matthew who,
Mark who,
Luke who
& John who.
Anza na majina ya wazazi wa waandishi wa BIBLIA ili tujue sio MAJINA YA BANDIA.
Wewe unaedai unajua BIBLIA KUNA UGUMU GANI KUANDIKA MAJINA YA WAZAZI WA WATU HAWA??
Unapotoa jibu ili usionekane mropokaji siku zote AMBATANISHA NA USHAHIDI.Narudia tena uache kukurupuka,huyo Yohana hapo ni mmoja ya mitume 12 wa Yesu,na hao wakina Mathayo4,Marko na Luka walikuwa ni wanafunzi wa Yesu ila sio mitume kama huyo Yohana,acha kukurupuka mzee
Soma upate elimu we mtoto.Narudia tena uache kukurupuka,huyo Yohana hapo ni mmoja ya mitume 12 wa Yesu,na hao wakina Mathayo4,Marko na Luka walikuwa ni wanafunzi wa Yesu ila sio mitume kama huyo Yohana,acha kukurupuka mzee
Wewe hujuwi kitu kuhusu Biblia,Yohana mbatizaji hajaandika kitabu chochote kwenye Biblia,kwanza nikuulize unankumbuka Yohana mbatizaji alishikwa na Herode na kufungwa jela mpaka anakuja kukatwa kichwa Yesu akiwa wapi? Yohana mbatizaji alitangulia kufa hata kabla ya Yesu.Unapotoa jibu ili usionekane mropokaji siku zote AMBATANISHA NA USHAHIDI.
Mkiwambiwa HAMNA ELIMU YA BIBLIA MNAKUWA WAKALI.
Yohana unaemtaja hapa sio huyu aliendika agano Jipya. Huyu ni Yohana mbatizaji( John the Baptist)
Agano jipya limeandikwa MIAKA 110 baada ya YESU KUONDOKA .
Sasa unataka kusema kuna mwanafunzi wa Yesu aliesubiri MIAKA 110 toka YESU KUONDOKA NDIO AANZE KUANDIKA BIBLIA?
Huyo mwanafunzi aliishi miaka 200 au?..
someni Mpate maarifa enyi watu msio na elimu.
Sahihi kabisa . Na wewe ndio uliemtaja kuwa ni muandishi wa BIBLIA baada ya mimi kuulizaWewe hujuwi kitu kuhusu Biblia,Yohana mbatizaji hajaandika kitabu chochote kwenye Biblia,kwanza nikuulize unankumbuka Yohana mbatizaji alishikwa na Herode na kufungwa jela mpaka anakuja kukatwa kichwa Yesu akiwa wapi? Yohana mbatizaji alitangulia kufa hata kabla ya Yesu.
Soma upate elimu we mtoto.
Ubishi husababisha mtu kufa bila elimu..
HAKUNA MUANDISHI YYT WA AGANO JIPYA ALIWAHI KUMUONA YESU .
Soma history hapa kutoka kwa wana Historia wa Colombia University.
.https://www.college.columbia.edu/core/node/1754#:~:text=The%20four%20canonical%20gospels%E2%80%94Matthew,to%20the%20ministry%20of%20Jesus.
Soma upate elimu we mtoto.
Ubishi husababisha mtu kufa bila elimu..
HAKUNA MUANDISHI YYT WA AGANO JIPYA ALIWAHI KUMUONA YESU .
Soma history hapa kutokae%20ministry%20of%20Jesus.
Mkuu wewe Biblia huujuwi,eti hakuna mwandishi wa Biblia aliyemwona Yesu! Ile barua ya Yakobo unafaham aliandika nani? Kama ulikuwa hujuwi alyeandika Ile barua ni Yakobo mwenyewe ambaye ni mdogo wake Yesu,au hufaham kuwa Maria alizaa watoto wengine baada ya Yesu? Mkuu wewe Biblia huijuwiSoma upate elimu we mtoto.
Ubishi husababisha mtu kufa bila elimu..
HAKUNA MUANDISHI YYT WA AGANO JIPYA ALIWAHI KUMUONA YESU .
Soma history hapa kutoka kwa wana Historia wa Colombia University.
.https://www.college.columbia.edu/core/node/1754#:~:text=The%20four%20canonical%20gospels%E2%80%94Matthew,to%20the%20ministry%20of%20Jesus.
Niliemtaja Mimi sio Yohana mbatizaji,ni Yohana ndugu yake Yakobo.Na huyu Yohana mwanzoni alikuwa mwanafunzi wa Yohana mbatizaji ila walipotambulishwa kwa Yesu,yeye na mwenzake Andrea ndio wakawa wanafunzi wakwanza kabisa wa YesuSahihi kabisa . Na wewe ndio uliemtaja kuwa ni muandishi wa BIBLIA baada ya mimi kuuliza
Wewe unaedai unajua nipe jibu la swali moja tu .
AGANO JIPYA LIMEANDIKWA LINI?
I DARE YOU TO ANSWER THAT SIMPLE QUESTION.
Hivi mtu unaanzaje kuoa mwarabu? Yaani unaacha kuoa watoto wazuri wa kiafrika unaenda kuoa mtu mwenye ngozi nyeupe kama bulb? Check huyo demu hata sura haionekani iko wapi kama kapaka chokaa, mdomo bapa kama kisigino, ni macho tu ndio evidence kwamba ni binadamu kiumbe hai.Kuna ndoa kibao za Weusi na waarabu, tatizo mila zetu na zenu ni tofauti. Kwetu ndoa sio matangazo ya TV kila mtu ajue.
Juzi tu Alpha Blond kaoa Mwarabu.
View attachment 2656004
Hivi kwanini utake kuoa race nyingine? Tatizo sio wao kukukataa, tatizo ni wewe unayewataka. Alafu kingine ni kwamba wanawake weupe hawavutii kabisa, ile rangi nyeupe ni mbaya isiyo na depth. Ndio maana wazungu wanatan kwa kushinda juani ili wapunguze weupe.Mkuu alpha blond sio maskini...... Kwa haraka haraka hapa jiji kama la dar kukuta mweusi kaoa mwarabu ni ngumu sana hata kama hakuna matangazo ila hata mtaani tunaona mweusi kuweka ndani mzungu ni kitu ya kawaida skuhizi ila mwarabu kuwekwa ndani dah sina hata mfano mmoja wa kutolea.
Waarabu wanawaona waafrika ni manyani ya kutumwa tu ndio maana wanawashangaa hata dini yao mliipokeaje na mnaishulazia shingo kiasi hiki.
[emoji625]Kwenye picha naona weusi wengi huyo dada hana ndugu au ndio wamemausa alipokubali kuolewa?
Mkuu vyeupe havivutii kwako wapo watu wanazikubali white whiteHivi kwanini utake kuoa race nyingine? Tatizo sio wao kukukataa, tatizo ni wewe unayewataka. Alafu kingine ni kwamba wanawake weupe hawavutii kabisa, ile rangi nyeupe ni mbaya isiyo na depth. Ndio maana wazungu wanatan kwa kushinda juani ili wapunguze weupe.
Hakuna wanawake wazuri kama wa kiafrica. Mwafrika kulilia mtu mweupe naona ni kitu cha ajabu sana.
Mimi nafahamu tabia ya mtu mbishi asie na elimu ya andiko. We umegusa tu vichwa vya habari.Mkuu wewe Biblia huujuwi,eti hakuna mwandishi wa Biblia aliyemwona Yesu! Ile barua ya Yakobo unafaham aliandika nani? Kama ulikuwa hujuwi alyeandika Ile barua ni Yakobo mwenyewe ambaye ni mdogo wake Yesu,au hufaham kuwa Maria alizaa watoto wengine baada ya Yesu? Mkuu wewe Biblia huijuwi
Tuache malumbano yasio na matokeo chanya.Niliemtaja Mimi sio Yohana mbatizaji,ni Yohana ndugu yake Yakobo.Na huyu Yohana mwanzoni alikuwa mwanafunzi wa Yohana mbatizaji ila walipotambulishwa kwa Yesu,yeye na mwenzake Andrea ndio wakawa wanafunzi wakwanza kabisa wa Yesu
Al burush ni koo ya kiarabu mzeeKm hujui uliza usaidiwe.
Hakuna kabila la kiarabu linatoka IRAN
Na WABULUSHI SIO WAARABU.
Jinsi tu ulivyouliza swali,nashindwa kwendelea kujadiliana na wewe,kwa akili zako vile vitabu vya agano jipya viliandikwa mwaka mmoja mpaka uulize mwaka gani?Mimi nafahamu tabia ya mtu mbishi asie na elimu ya andiko. We umegusa tu vichwa vya habari.
Hujajibu swali.
AGANO JIPYA LIMEANDIKWA mwaka GANI?
🤣🤣🤣Al burush ni koo ya kiarabu mzee
Wao wanasema waarabu wa mwisho mwisho
Ngoja nikurahisishieJinsi tu ulivyouliza swali,nashindwa kwendelea kujadiliana na wewe,kwa akili zako vile vitabu vya agano jipya viliandikwa mwaka mmoja mpaka uulize mwaka gani?