kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Km hujui uliza usaidiwe.Ubaguzi ni hulka
Na kila jamii ina ubaguzi
Mwarabu wa saudia anambagua Al burush yaani mwarabu wa Iran
Mwarabu wa dubai au UAE anamuona mwarabu wa Africa sio muarabu ni muafrica
Hakuna kabila la kiarabu linatoka IRAN
Na WABULUSHI SIO WAARABU.