Agano jipya Limeandikwa kwa Muda ambao unajulikana.Jinsi tu ulivyouliza swali,nashindwa kwendelea kujadiliana na wewe,kwa akili zako vile vitabu vya agano jipya viliandikwa mwaka mmoja mpaka uulize mwaka gani?
Hahaha! Wewe nae mwarabu?Hivyo ulivyoandika unajidhihirisha nämna tabia zenu Za kishenzi zilivyo , yaani hata heshima huna , lakini hulaumiki ikiwa Nabii wako ni Nabii Tito
Mfalme wa Oman Alipinduliwa akahifadhiwa na wabulushi, wakamsaidia kuja kuichukua Tena Oman, Wabulushi wakapewa Vyeo vinavyohusiana na Ulinzi Oman na Hata huku Africa ukisikia Mu Oman kampiga mreno ujue ni Wabulushi ndio walipigana kama wanajeshi wa Oman. Huo ndio uhusiano wa Wabulushi na waarabu.Al burush ni koo ya kiarabu mzee
Wao wanasema waarabu wa mwisho mwisho
Hehe hayo mambo achieni wazunguWakija kuendesha bandari mlizo wauzia utawauliza wakujibu wenyewe.
Hakikisha una saini petition hii kupinga uporaji wa bandari zetu.
Nilijua kuwa najadili na mtoto mdogo asiejua lolote kuhusu andiko analosoma kila weekend.Hakuna unachojua kuhusu maandiko,Kuna uhusiano gani wa kiroho kati ya maandiko na mwaka yalioandikwa?
Wewe ndiye usiyejua kitu,nmekupa mfano aliyeandika kitabu Cha Yakobo,ni mdogo wake kabisa Yesu,mtoto wa Maria na babaake ni Yosefu,aliyeandika injili ya Yohana,ni mtume Yohana mwenyewe,endelea kujidanganya kuwa unajuaNilijua kuwa najadili na mtoto mdogo asiejua lolote kuhusu andiko analosoma kila weekend.
Lengo la kuendelea kujadiliana na wewe ni kuwapa faida wasomaji ambao wanahitaji kujifunza na kufahamu kuwa BIBLIA Imeandikwa MIAKA ZAIDI YA 100 baada ya YESU KUONDOKA DUNIANI.
Na waandishi wote wa AGANO JIPYA hakuna aliyemuona YESU hata siku 1.
I rest my case.
Yaani mimi niache kula au kuoa watoto wazuri wakali wa kiafrika kama huyo chini, niende kuoa mwarabu? Hell No!Mkuu vyeupe havivutii kwako wapo watu wanazikubali white white
Huyu huo uso kanunua dukani.Yaani mimi niache kula au kuoa watoto wazuri wakali wa kiafrika kama huyo chini, niende kuoa mwarabu? Hell No!
View attachment 2874068
Mwarabu ni diliYaani mimi niache kula au kuoa watoto wazuri wakali wa kiafrika kama huyo chini, niende kuoa mwarabu? Hell No!
View attachment 2874068
AGANO JIPYA limeandikwa mpk likaitwa " AGANO JIPYA" LINI?Wewe ndiye usiyejua kitu,nmekupa mfano aliyeandika kitabu Cha Yakobo,ni mdogo wake kabisa Yesu,mtoto wa Maria na babaake ni Yosefu,aliyeandika injili ya Yohana,ni mtume Yohana mwenyewe,endelea kujidanganya kuwa unajua
Maswali unayouliza hayana kichwa Wala miguu,ujumbe wa Biblia na hiyo miaka vina mahusiano gani?AGANO JIPYA limeandikwa mpk likaitwa " AGANO JIPYA" LINI?
Jibu swali acha kukimbia kimbia ovyo ka mtoto wa nursery.
Teh teh teh.Maswali unayouliza hayana kichwa Wala miguu,ujumbe wa Biblia na hiyo miaka vina mahusiano gani?
Dili wapi...... Huko dubei wanakimbia wake zao wanaenda kununua papa nyeusi......... Wazuri kuzaa nao tu ila utamu wa papa hamna, vitu za baridiiiMwarabu ni dili
Hii inanikumbusha ile story ya sungura aliyeshindwa kuzifikia ndizi mgombani akaamua kusema "sizitaki mbichi hizi".Dili wapi...... Huko dubei wanakimbia wake zao wanaenda kununua papa nyeusi......... Wazuri kuzaa nao tu ila utamu wa papa hamna, vitu za baridiii
Hivi hiyo miaka mi4 unayosema umesoma Biblia ndio mlikuwa mnajifunza historia ya miaka ambayo vitabu vimeandikwa? Jinsi usivyonaakili unatumia tena Biblia kama reference yako wakati unaipinga kisa waandishi wake eti huwajuwi wazazi wake!Teh teh teh.
Nani kakuuliza kuhusu ujumbe wa Biblia hapa?
Andiko linasema
Mithali 12:15 “Njia ya mpumbavu imenyoka machoni pake mwenyewe; Bali yeye aliye na hekima husikiliza shauri”.
Unapoteza muda wangu bure.
Pita uende zako
Nimetumia AGANO LA KALE ambalo waandishi wake naweza kukupa history zao mmoja baada ya mwingine.Hivi hiyo miaka mi4 unayosema umesoma Biblia ndio mlikuwa mnajifunza historia ya miaka ambayo vitabu vimeandikwa? Jinsi usivyonaakili unatumia tena Biblia kama reference yako wakati unaipinga kisa waandishi wake eti huwajuwi wazazi wake!
Inaonyesha hujuwi hata uhusiano wa agano la kale na jipya,leta hoja za msingi zinazojibu maswali yanayomhusu Mungu au mambo ya kiroho,hiyo miaka ya hiki kiliandikwa lini Haina msaada wowote katika Imani ya mtuNimetumia AGANO LA KALE ambalo waandishi wake naweza kukupa history zao mmoja baada ya mwingine.
Mpk majina ya mama zao na ukoo wao.
Wewe umeshindwa kujua hata majina ya BABA za hao waandishi wa AGANO JIPYA.
Huna unachowe kuongeza hapa.
Kalale .
Acha kashfa na maneno mbofu mbofu.Tumia akili acha kuropoka,watu niliokupa mfano ambao ni Yohana, huyu ni mtoto wa zebedayo na Yakobo ni mtoto wa Yosefu,kitu gani kingine unataka?