kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Agano jipya Limeandikwa kwa Muda ambao unajulikana.Jinsi tu ulivyouliza swali,nashindwa kwendelea kujadiliana na wewe,kwa akili zako vile vitabu vya agano jipya viliandikwa mwaka mmoja mpaka uulize mwaka gani?
Na likakamilika kwa MWAKA UNAOJULIKANA
Usilete ujanja wa kupindisha swali sababu HUNA JIBU ulijualo.
Nakuruhusu utumie Google manake wengi wenu bila Google hamjui hata namna ya kusoma Hio biblia.