Ni kwanini Bidhaa za Electronics hapa Uganda ni Nafuu sana ukilinganisha na huko Nyumbani Tanzania na bado wanategemea Bandari za Mombasa na Dar?

Ni kwanini Bidhaa za Electronics hapa Uganda ni Nafuu sana ukilinganisha na huko Nyumbani Tanzania na bado wanategemea Bandari za Mombasa na Dar?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na cha Kushangaza zaidi karibia 85% ya Bidhaa zao hizo za Electronics ni Original kabisa lakini bado wanaziuza / zinauzwa kwa Gharama nafuu sana wakati huko Tanzania ( Nyumbani ) bidhaa nyingi ambazo tunauziwa kwa Gharama Kubwa hapa Uganda bado ni Feki pia.

Haya Mangwena ( Wabobezi ) wa Uchumi tu hebu tafadhalini njooni hapa mtupe sababu kwani inashangaza sana.
 
Jamaa yangu katoka huko mwezi jana, alikua anatafuta vifaa vya umeme vya tronic kuitaja tu wakaanza kucheka, ikabidi wampe vifaa og vya kampuni nyingine kabisa wakamshauri tronic ya afrika ni fake kupita maelezo
 
Hata Zambia hapo petroleum ni bei pungufu na Huku wakati wanachukua mzigo kwenye bandari yetu
 
Jamaa yangu katoka huko mwezi jana, alikua anatafuta vifaa vya umeme vya tronic kuitaja tu wakaanza kucheka, ikabidi wampe vifaa og vya kampuni nyingine kabisa wakamshauri tronic ya afrika ni fake kupita maelezo
Kuna uwezekano mkubwa ama Wafanyabishara wa Tanzania wanatuibia sana Sisi Wateja wao au basi Watu wa TRA kwa Makusudi wanapandisha Tozo za Bidhaa kwa Wafanyabiashara wa Tanzania kwa maagizo ya CCM Serikali ili kuwaminya zaidi Kimapato na kuwafanya Watanzania wayaone Maisha ni magumu.

Haiingii Akilini kabisa Uganda ambayo ni Landlocked Country huku kwa 50% wakitegemea Bandari ya Mombasa na 50% yetu ya Dar es Salaam ukienda kununua Bidhaa zao za Electronics ( hasa Kampala ) ni vya Bei nafuu, halafu ni Imara na Original kabisa. Nadhani kuna tatizo mahala Mtani wangu au?
 
Back
Top Bottom