watu wanajiumiza na maswali yasiyo ya msingiKwani kichaa ni yule anaye jua kuwa ni kichaa? 😂
watu wanajiumiza na maswali yasiyo ya msingiKwani kichaa ni yule anaye jua kuwa ni kichaa? 😂
Kwa nini mkuu? Si umeuliza: Ni kwa nini binadamu anathamini mtu au kitu cha kupita? au kwako ww; mtu sio kitu cha kupita?Hili jibu halina mantiki kabisa
Logic kwa maana ya uhalisia what hawakimbizi vitu bali wanakimbiza hisia.Kwa nini mkuu? Si umeuliza: Ni kwa nini binadamu anathamini mtu au kitu cha kupita? au kwako ww; mtu sio kitu cha kupita?
Kama unakubali kwamba binadamu(mtu) naye ni kitu cha kupita na ni kweli watu Hufa i.e. Hupita unashindwaje kuiona Logic (mantiki) kwenye jibu lililotolewa? Asante; ni hayo tu.
Yeah! unaweza ukawa na vitu vingi ila ukaona kama maisha hayana maana...Au sio
Tunaweza kusema vyote , Kwa maana ukitoka nje ya modern world wahdzabe hawaishi hivyo ..so mazingira na namna alivyo kuwa programmed na walio andaa hizo programNi mazingira au jinsi maisha yalivyo shepiwa na mwanadamu ili yamfanye binadamu kushikilia umiliki
OK. Hapo nikuombe uvumilivu na nikujibe kwa kutumia mfano wa Binadamu mtoto ambaye bado ni mtoto mdogo e.g. mtoto wa umri miezi 3+ lakini bado hajwa mtu mzima. Mtoto mdogo huwa anataka kila kitu kiwe ni chake kinafaida /hakina faida ankifahamu au hakifahamu hilo sio hoja kwake. Mtoto atalilia hata vile vitu vilivyo ni hatari kwake. Si umesikia dawa/sumu zimeandikwa "keep out of the reach of children" au weka mbali na watoto. Hawasemi weka mbali na watu wazima/wazee n.k.?Logic kwa maana ya uhalisia what hawakimbizi vitu bali wanakimbiza hisia.
Mfano huu wa mtoto/watoto na ulichokitafsiri sio ukweli. Katika umri huo, watoto wanajifunza sio silika.OK. Hapo nikuombe uvumilivu na nikujibe kwa kutumia mfano wa Binadamu mtoto ambaye bado ni mtoto mdogo e.g. mtoto wa umri miezi 3+ lakini bado hajwa mtu mzima. Mtoto mdogo huwa anataka kila kitu kiwe ni chake kinafaida /hakina faida ankifahamu au hakifahamu hilo sio hoja kwake. Mtoto atalilia hata vile vitu vilivyo ni hatari kwake. Si umesikia dawa/sumu zimeandikwa "keep out of the reach of children" au weka mbali na watoto. Hawasemi weka mbali na watu wazima/wazee n.k.?
Mtoto ataweza kulilia wembe, moto n.k. hiyo ni Asili ya Tabia ya kukusanya, Tabia ya kumiliki vitu n.k. kila mtu anayo ila tunatofautiana viwango.Tabia hiyo huwa ipo wazi sana kwa watoto wadogo. Lakini Tabia hiyo haikomei kwa watoto wadogo. Ni tabia ambayo kila binadamu anayo hata kama haionekani kwa uwazi kiviile kwa watu wazima. Watu wazima (Adults) wenye tabia ya kujikusanyia /kujilimbikizia iliyopitiliza (imezidi kiwango) ndo hao wanatumia nguvu kupora (ujambazi -kunyang'anya) watu mali zao n.k. Jambazi anasahau kwamba mwenye mali anaweza kum'ua au kibaka anashau anaweza kuchomwa moto na kutpoteza uhai wake kwa kupora (kuchukua bila idhini) Tzs.500 (wenyewe wanaita jero).
Uko sahihi kwamba wanajifunza. Lakini Je, wanajifunza nini na ni mpaka lini? wanajifunza Kukusanya? Watajifunza kwa muda gani? (Time frame). Mbona hadi wanakuwa watu wazima na Tabia hiyo bado ipo? Hakuna kuhitimu kujifunza. Kwa hali ilivyo mtu mzima anayeonesha Tabia hiyo ya kujifunza (Tuition), mwezeshaji (Facilitator)wake huwa ni Ulimwengu. Ulimwengu unafundisha kwa Ukali bila huruma e.g. walimwengu wanakuvika tairi na kukuwasha moto, wanakukata mapanga etc. ref. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na Ulimwengu.Mfano huu wa mtoto/watoto na ulichokitafsiri sio ukweli. Katika umri huo, watoto wanajifunza sio silika.
Wanafanya hivyo kwa sababu wanataka kujua. Wanataka kujifunza. Watoto wanajifunza kwa kuangalia matendo ya wazazi au walezi wao au kwa kufanya matendo.
Ni sawa mbona, hata wanyama wako hivyo...OK. Hapo nikuombe uvumilivu na nikujibe kwa kutumia mfano wa Binadamu mtoto ambaye bado ni mtoto mdogo e.g. mtoto wa umri miezi 3+ lakini bado hajwa mtu mzima. Mtoto mdogo huwa anataka kila kitu kiwe ni chake kinafaida /hakina faida ankifahamu au hakifahamu hilo sio hoja kwake. Mtoto atalilia hata vile vitu vilivyo ni hatari kwake. Si umesikia dawa/sumu zimeandikwa "keep out of the reach of children" au weka mbali na watoto. Hawasemi weka mbali na watu wazima/wazee n.k.?
Mtoto ataweza kulilia wembe, moto n.k. hiyo ni Asili ya Tabia ya kukusanya, Tabia ya kumiliki vitu n.k. kila mtu anayo ila tunatofautiana viwango.Tabia hiyo huwa ipo wazi sana kwa watoto wadogo. Lakini Tabia hiyo haikomei kwa watoto wadogo. Ni tabia ambayo kila binadamu anayo hata kama haionekani kwa uwazi kiviile kwa watu wazima. Watu wazima (Adults) wenye tabia ya kujikusanyia /kujilimbikizia iliyopitiliza (imezidi kiwango) ndo hao wanatumia nguvu kupora (ujambazi -kunyang'anya) watu mali zao n.k. Jambazi anasahau kwamba mwenye mali anaweza kum'ua au kibaka anashau anaweza kuchomwa moto na kutpoteza uhai wake kwa kupora (kuchukua bila idhini) Tzs.500 (wenyewe wanaita jero).
Hakika mkuu... Ni namna mtoto ana interact na mazingira kwa kumfatiliza mlezi wakeMfano huu wa mtoto/watoto na ulichokitafsiri sio ukweli. Katika umri huo, watoto wanajifunza sio silika.
Wanafanya hivyo kwa sababu wanataka kujua. Wanataka kujifunza. Watoto wanajifunza kwa kuangalia matendo ya wazazi au walezi wao au kwa kufanya matendo.
Sijaweza kutambua ni wanyama wa aina gani wanaoonesha tabia hiyo.Ni sawa mbona, hata wanyama wako hivyo...
Hili nakubaliana nalo 100%. Mtoto anaona wazazi wanamiliki mali; na yy anataka amiliki mali lakini hajajua ilikuaje kuaje hadi wazazi wakazipata na kuzimiliki hizo mali.Hilo la kutaka kila kitu sio tatizo, tatizo ni kujimiliksha as if kile kitu ni chako peke yako..
The ego mind thinks it is in control, ndo maana tunasema ni illusion. Hata kwa watoto inakuwa vile kwa sababu wanafatiliza kile wakionachoo
Basi hiyo ndo illusion na survival imehamia psychological. Maana hakuna threat yoyote.Binadamu ameweka mlolongo mrefu wa maisha katika nyanja za kiuchumi ,kijamii ,kisiasa ,kiteknolojia ili aweze tu kuservive ni kama vile tunapambania uhai wetu bila ya kujali wengine ; kila mtu anataka yeye awe nacho mwingine akose.