Ni kwanini binadamu anathamini mtu au kitu cha kupita?

Ni kwanini binadamu anathamini mtu au kitu cha kupita?

Sijaweza kutambua ni wanyama wa aina gani wanaoonesha tabia hiyo.

Hili nakubaliana nalo 100%. Mtoto anaona wazazi wanamiliki mali; na yy anataka amiliki mali lakini hajajua ilikuaje kuaje hadi wazazi wakazipata na kuzimiliki hizo mali.
Kila kiumbe kina jaribu kusurvive ila imekuwa shida sasa watu wana leta survival kwenye vitu vya kupita
 
Kwa sababu mtu katika ulimwengu wa mwili anaona "illusions" haoni vitu halisi, hawezi kuumba na anatawaliwa na matokeo. Yupo gerezani kwa kifupi na ni vigumu sana kujua anachokitaka haswaa katika dimension hiyo.
 
Uko sahihi kwamba wanajifunza. Lakini Je, wanajifunza nini na ni mpaka lini? wanajifunza Kukusanya? Watajifunza kwa muda gani? (Time frame). Mbona hadi wanakuwa watu wazima na Tabia hiyo bado ipo? Hakuna kuhitimu kujifunza. Kwa hali ilivyo mtu mzima anayeonesha Tabia hiyo ya kujifunza (Tuition), mwezeshaji (Facilitator)wake huwa ni Ulimwengu. Ulimwengu unafundisha kwa Ukali bila huruma e.g. walimwengu wanakuvika tairi na kukuwasha moto, wanakukata mapanga etc. ref. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na Ulimwengu.
Kwa hoja yangu hapo juu; bado naona ni silika ya Binadamu kujikusanyia vitu iwe kwa njia halali au kwa njia zisizo halali vile vitu ambavyo sio vyake ila amevitamani.
Ukimwambia mtoto hiki kitakuumiza haelewi. Anataka afanye aone, aelewe.

Sio sahihi kusema "ni silika ya binadamu kujikusanyia vitu". Nafikiri ungekuwa sahihi kama ungesema: ni hulka ya binadamu kujikusanyia vitu.
 
Mkuu: Nashukuru kwa maboresho.:xqcCheer:
 
Tunaweza kusema vyote , Kwa maana ukitoka nje ya modern world wahdzabe hawaishi hivyo ..so mazingira na namna alivyo kuwa programmed na walio andaa hizo program

Mfano mdogo Kila siku una musoma Elon musk kuwa ni tajiri namba Moja na blaah blaaah kibao so Akili Yako nayenyewe inaanza kutengeneza imagination yakutaka kuwa tajiri Kisha unaanza kuipigania ile imagination iweze kuwa real ndio maisha hutokea hivyo
Sasa hii ni sawa? Huoni ni kama tuna ji manipulate into suffering sisi wenyewe?
 
Kwa sababu mtu katika ulimwengu wa mwili anaona "illusions" haoni vitu halisi, hawezi kuumba na anatawaliwa na matokeo. Yupo gerezani kwa kifupi na ni vigumu sana kujua anachokitaka haswaa katika dimension hiyo.
Kivipi asijue na wakati kuna watu mashuhuri na wamefanya makubwa kwa ajiri ya kujua makusudi yao ya kuwepo duniani?
 
Tumevurugwa siku nyingi sana, kutoka kwenye moral determinism hadi moral relativism ni balaa...no consensus. Kila mtu yupo sahihi kimtazamo wake..
 
Tumevurugwa siku nyingi sana, kutoka kwenye moral determinism hadi moral relativism ni balaa...no consensus. Kila mtu yupo sahihi kimtazamo wake..
Kwani mbona mtu ukitulia unaona difference kabisa? Mm naona watu wanajizima data tu
 
Kwani mbona mtu ukitulia unaona difference kabisa? Mm naona watu wanajizima data tu
From birth to grave tunazimwa data na mifumo..inawezekanavkila tunachokijua kuwa ni kweli kuna watu walipanga tujue hivyo... "esoteric knowledge"
 
From birth to grave tunazimwa data na mifumo..inawezekanavkila tunachokijua kuwa ni kweli kuna watu walipanga tujue hivyo... "esoteric knowledge"
I'm into esoteric knowledge Nimesoma sana vitabu
 
Back
Top Bottom