wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Utaambiwa wao Ni wachache Sana/population yao Ni ndogo ππRaia wote wa Rwanda Wana BIMA ya afya wanayolipa 3000farangas kwa mwaka sawa na sh. 10,000 hv ya kitanzania
Nilijua tu ulikua unaelekea huku.... Uganda inaongozwa na Mtutsi ina maendeleo gani kuzidi Kenya au Tz? Ethiopia,Eritrea, na Somalia si cuishites wenzenu mbona umaskini ni mkubwa sana licha ya kuongozwa na "special race"!!!Hutus tangia lini wakawa na Akili Mkuu?
Nilijua tu ulikua unaelekea huku.... Uganda inaongozwa na Mtutsi ina maendeleo gani kuzidi Kenya au Tz? Ethiopia,Eritrea, na Somalia si cuishites wenzenu mbona umaskini ni mkubwa sana licha ya kuongozwa na "special race"!!!
Mind you Burundi iliongozwa na watutsi kuanzia Prince Rwegasore,Mwami Mwambutsa, Michael Micombero, Pierre Buyoya, Bagaza, n.k wa kutoka chama cha watutsi UPRONA je miaka yote mbona hawakuleta maendeleo if at all tatizo ni Rais akiwa mtutsi?
Hakuna uhusiano kati ya umaskini wa burundi na uongozi wa kabila fulani.
Usafi Na uZuri hata Dar haifiki Kwa BujumburaBurundi is tiny,poor and a war torn country!!! Sijafika Burundi lakini huwa naamini kuchafu
Mkuu kagame yuko vizuri kwenye demokrasia sio?Burundi ni goi-goi kwenye demokrasia ndiyomaana ni Mashosti na Tanzania.
Tatizo hujui historia.... Hata Rwanda imeji attach sana kwa Uganda baada ya Genocide hata silaha na wanajeshi wengi wa RPF zaidi ya 90% walitokea Uganda. Hata leo hii napoongea hakuna ofisi ya serikali ya Rwanda utakosa mtu aliezaliwa, alieishi, na kukulia Uganda na ninafahamu rafiki zangu zaidi ya 5 ambao wana vitambulisho vya Rwanda at the same time wana vitambulisho vya Uganda na maisha yanasonga.Kwani Rwanda siyo Landlocked Country? Kuna shida ambazo Burundi inazo na Rwanda haina au haikuwahi kuwa nazo? Baada ya Genocide wote Warwanda na Waburundi walipewa Misaada ya Kujiimarisha na Kujiinua na IMF na WB mmeshajiandaa ni kwanini Rwanda ilizitumia vyema hizo Pesa na Burundi kupitia Viongozi wao wenye Urafiki na Rais wenu Mstaafu 'Mswahili' wa Pwani wakazifuja na kuja Kujenga Mahekalu, Mahoteli, Maduka makubwa, Kununua Mashamba mengi na kuja Kuoa hovyo Wanawake wa Kitanzania na Kuwaambukiza zaidi UKIMWI wao?
Rwanda waliokuwa matatizoni pamoja na Burundi katika 1994 Genocide ( tena wao ndiyo Wakiathirika zaidi kuliko Burundi ) wamewezaje Kujijenga na Kujiimarisha zaidi Kiusalama na Kijeshi mpaka sasa kuwa Tishio Africa na Wao Waburundi wasiweze / washindwe?
Unajenga nchi yako kwa Kujipendekeza na Kujikomba 24/7 kwa Tanzania mpaka kuruhusu waingie katika Idara zako Nyeti za Kijeshi, Usalama, Anga na Mawasiliano au kwa kuja na Mikakati thabiti ambayo haitoathiri Ustawi wako kama Nchi na Taifa?
Watutsi tukiwa tunawadharau Wahutu kwa kutokuwa Kwao na Akili msiwe mnaona tunawaomba bali huwa tuko sahihi 100% na nashukuru sasa kati ya Rwanda na Burundi tayari Rwanda inaonekana imeshavuka ngazi nyingi za Upuuzi wa Kiutawala, Kiutendaji na Kiuongozi uliopo huko Burundi.
Mkuu ivi Rwanda hakuna raia wahutu?... naomba kujuzwaKwani Rwanda siyo Landlocked Country? Kuna shida ambazo Burundi inazo na Rwanda haina au haikuwahi kuwa nazo? Baada ya Genocide wote Warwanda na Waburundi walipewa Misaada ya Kujiimarisha na Kujiinua na IMF na WB mmeshajiandaa ni kwanini Rwanda ilizitumia vyema hizo Pesa na Burundi kupitia Viongozi wao wenye Urafiki na Rais wenu Mstaafu 'Mswahili' wa Pwani wakazifuja na kuja Kujenga Mahekalu, Mahoteli, Maduka makubwa, Kununua Mashamba mengi na kuja Kuoa hovyo Wanawake wa Kitanzania na Kuwaambukiza zaidi UKIMWI wao?
Rwanda waliokuwa matatizoni pamoja na Burundi katika 1994 Genocide ( tena wao ndiyo Wakiathirika zaidi kuliko Burundi ) wamewezaje Kujijenga na Kujiimarisha zaidi Kiusalama na Kijeshi mpaka sasa kuwa Tishio Africa na Wao Waburundi wasiweze / washindwe?
Unajenga nchi yako kwa Kujipendekeza na Kujikomba 24/7 kwa Tanzania mpaka kuruhusu waingie katika Idara zako Nyeti za Kijeshi, Usalama, Anga na Mawasiliano au kwa kuja na Mikakati thabiti ambayo haitoathiri Ustawi wako kama Nchi na Taifa?
Watutsi tukiwa tunawadharau Wahutu kwa kutokuwa Kwao na Akili msiwe mnaona tunawaomba bali huwa tuko sahihi 100% na nashukuru sasa kati ya Rwanda na Burundi tayari Rwanda inaonekana imeshavuka ngazi nyingi za Upuuzi wa Kiutawala, Kiutendaji na Kiuongozi uliopo huko Burundi.
Taasisi ya Urais- Rwanda itateswa milele kwa kuitukana taasisi ya Urais-Tanzania wakati wa awamu ya 4. Tangu wakati huo Tanzania inahusiana na Rwanda kwa tahadhari kubwa. Rwanda mtakula jeuri yenu kwa kushindwa kuishi vizuri na jirani zenu kwa sababu ya superiority complex na ukibaraka wenu kwa wazungu ili kutumiwa kupora rasilimali za waafrika wenzenu (DRC). Tutsi-hima ni watu msio na shukurani kabisa hadi mnashindwa kuiheshimu Uganda ambayo kama si wao kurudi Rwanda na kutwaa madaraka ingekuwa ndoto. Sasa mnaona wivu wa kike mnapoona Burundi akiwa humble kwa Tanzania na wakiitana ndugu.Na cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake.
Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa Kudeka, Kuongozwa na asiyejitambua ila naifananisha Rwanda na Mtoto Yatima ila aliyejaaliwa Akili, Ushujaa, Mchapakazi, anayejiamini na asiyependwa Kupandwa Kichwani na Wapuuzi (wanaojiita Wakongwe)
Mwanamume Afrika ni Paul Kagame tu.
Watutsi tuliosoma nao sekondari aliyefaulu sana alipata division 3.Ndio jamii ya Rwanda Na Burundi Na Kigoma jamii zao hufanana kwa kua na aina ya Watutsi, wahutu na watwa sasa mambo ya historia hatutaki kuyaleta hapa ya vita za tokea miaka ya 1972 na genocide ya 1994, na katika jamii hizo mkoloni alipoingia alimpa kipaumbele mtusi huku akijua mtutsi ni Minority group hadi leo wakati Wahutu ni Wengi ukanda huo kuliko watustsi, kiasili mtutsi ni mfugaji na alipata fursa ya kuwatawala wengine mapema lakini haimaanishi kua ana akili kuliko muhutu hapana sii kweli, mtutsi hupenda sifa na kusifiwa sifiwa lakini ni maboya kama wengine tu
Rwanda uwiano wa mhutu na mtutsi kwenye sekta mbali mbali ukoje kuanzia huko mashuleni?Kwani Rwanda siyo Landlocked Country? Kuna shida ambazo Burundi inazo na Rwanda haina au haikuwahi kuwa nazo? Baada ya Genocide wote Warwanda na Waburundi walipewa Misaada ya Kujiimarisha na Kujiinua na IMF na WB mmeshajiandaa ni kwanini Rwanda ilizitumia vyema hizo Pesa na Burundi kupitia Viongozi wao wenye Urafiki na Rais wenu Mstaafu 'Mswahili' wa Pwani wakazifuja na kuja Kujenga Mahekalu, Mahoteli, Maduka makubwa, Kununua Mashamba mengi na kuja Kuoa hovyo Wanawake wa Kitanzania na Kuwaambukiza zaidi UKIMWI wao?
Rwanda waliokuwa matatizoni pamoja na Burundi katika 1994 Genocide ( tena wao ndiyo Wakiathirika zaidi kuliko Burundi ) wamewezaje Kujijenga na Kujiimarisha zaidi Kiusalama na Kijeshi mpaka sasa kuwa Tishio Africa na Wao Waburundi wasiweze / washindwe?
Unajenga nchi yako kwa Kujipendekeza na Kujikomba 24/7 kwa Tanzania mpaka kuruhusu waingie katika Idara zako Nyeti za Kijeshi, Usalama, Anga na Mawasiliano au kwa kuja na Mikakati thabiti ambayo haitoathiri Ustawi wako kama Nchi na Taifa?
Watutsi tukiwa tunawadharau Wahutu kwa kutokuwa Kwao na Akili msiwe mnaona tunawaomba bali huwa tuko sahihi 100% na nashukuru sasa kati ya Rwanda na Burundi tayari Rwanda inaonekana imeshavuka ngazi nyingi za Upuuzi wa Kiutawala, Kiutendaji na Kiuongozi uliopo huko Burundi.
Perfect mimi nimefika na nmeishi Kule. Life lao ni sawa na la tz la mwaka 2005Burundi is tiny,poor and a war torn country!!! Sijafika Burundi lakini huwa naamini kuchafu
Mtu yeyote anayeshindwa kupanga succession za kiuongozi katika nchi yake, mimi naona ni mjinga sana kuliko wajinga wengine. Take Libya as your study case to predict the future of Rwanda and Uganda in East Africa.Na cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake.
Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa Kudeka, Kuongozwa na asiyejitambua ila naifananisha Rwanda na Mtoto Yatima ila aliyejaaliwa Akili, Ushujaa, Mchapakazi, anayejiamini na asiyependwa Kupandwa Kichwani na Wapuuzi (wanaojiita Wakongwe)
Mwanamume Afrika ni Paul Kagame tu.
Acha kujivunjia heshima yako!,acha kusifia Mwizi,gaidi anayesifiwa ni mungu pekee!Na cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake.
Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa Kudeka, Kuongozwa na asiyejitambua ila naifananisha Rwanda na Mtoto Yatima ila aliyejaaliwa Akili, Ushujaa, Mchapakazi, anayejiamini na asiyependwa Kupandwa Kichwani na Wapuuzi (wanaojiita Wakongwe)
Mwanamume Afrika ni Paul Kagame tu.
Wewe na umri wako ulionao vijana wangapi wanakuzidi kila kitu.. acha ujinga wako wa kutusi watu hawana akili, we una akili? Kama una sema hawana akili kisa maendeleo wewe hapo ulipo una maendeleo gani? Usiseme watu jiseme weweHutus tangia lini wakawa na Akili Mkuu?
PK anataka kumuweka mtu wake pale. Mpango wa bahima Empire ili ufanikiwe, lazima Burundi nayo iwe na jamaa wa shingo na pua ndefuNa cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake.
Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa Kudeka, Kuongozwa na asiyejitambua ila naifananisha Rwanda na Mtoto Yatima ila aliyejaaliwa Akili, Ushujaa, Mchapakazi, anayejiamini na asiyependwa Kupandwa Kichwani na Wapuuzi (wanaojiita Wakongwe)
Mwanamume Afrika ni Paul Kagame tu.
Nakuongezea sasa sijakulia tu Ikulu ya Uganda na Dada Jane Kabila pamoja na Mtoto wa aliyekuwa Kiongozi Mwandamizi wa Tanzania ( sasa ni Mstaafu anaishi Mabwepande ) bali hata wakati wa Awamu ya Kwanza nimeishi pia Ikulu ya Tanzania pamoja na Kuishi Msasani kwa Babu yangu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere huku akina Kaka Makongoro, Dada Anna na Dada yake Mwalimu Marehemu Theresia Nyakigi wakinibeba na Kucheza nami nikiwa Mtoto kabisa.Hii mitaa uliyomtajia hawezi kuijua kwa sababu kanajifanya kanyarwanda na huku sio Kanyarwanda...kuna mwaka aliwahi kutuongopea eti kakulia ikulu ya Uganda...kajamaa ni kaongo na kana majigambo ys kishamba sana
That's a point....Kwani Burundi hakuna Watutsi?
Swali la kujiuliza kwa nini wahutu na watutsi wa Rwandwa wameweza kuiimarisha nchi yao halafu hao hao wahutu na watutsi wa Burundi wameshindwa kuiendeleza nchi yao.
Watch your mouth. Very unreasonable person.Hutus tangia lini wakawa na Akili Mkuu?