Ni kwanini DC Sabaya hajawajibishwa baada ya kubainika kuwa tuhuma alizotoa kwa wamiliki wa mabasi kuhujumu miundo mbinu ya reli ni za uongo?

Ni kwanini DC Sabaya hajawajibishwa baada ya kubainika kuwa tuhuma alizotoa kwa wamiliki wa mabasi kuhujumu miundo mbinu ya reli ni za uongo?

"immunity"

Sabaya hawezi kuchukuliwa hatua kwa kua anayoyafanya ndiyo aliyotumwa kufanya na wakubwa wake , I mean anayoyafanya ndio mabosi wake wanataka afanye huko HAI .

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
DC Sabaya ni miungoni mwa viongozi wenye sifa za kuongoza Awamu hii ya Tano. Hivyo si rahisi kutenguliwa.
 
Sabaya,muro,bashite,happy,chalamila,gambo,mnyeti wanna kinga ya utumbuzi hata waboronge vipi
Mkuu Bana likasi ndiyo sababu tunamwambia Magufuli kuwa sheria haiaangalii sura ya mtu, ni kama msumeno unakata huku na kule........

Kwa hiyo anachofanya Rais wetu cha kuwajengea "impunity" baadhi ya wateule wake, kinaleta chuki na visasi ndani ya jamii
 
Kiongozi hata ufanye mazuri 90% ukisema uongo tu ni lazima uachie madaraka tatizo letu kubwa nadhani kila mtu mpaka ngazi za chini wanateuliwa na mtu mmoja kwa hali hii hata katika kampuni ikiwa wote uteuzi wenu kutoka rais wa kampuni ina maana wote mnawajibika kwa huyo. Kwa maana hata makamu wa Rais hawezi kutenguwa wala PM wala waziri hata RC hii ndio shida yetu kubwa uwajibikaji na heshima inakuwa hakuna. Hata kama tuseme Rais kateuwa mkuu wa wilaya ilitakiwa jina lipelekwe kwa RC au tuseme Waziri ili amteuwe ilete maana kuwa unawajibika kwa huyu sio kila mtu nchi hii anateuliwa na mtu mmoja mpaka nafasi za ajabu ajabu tu za kina Mrema mtu mmoja, najuwa kuna watu wanapeleka majina na kuchuja lakini system hiyohiyo majina wangepewa wengine ndio wawe kama wameteuwa ila uwajibikaji uanze ngazi za chini Rais awe anateuwa Key positions ambao wana report kwake direct hawa viongozi kama mawaziri itabidi wawajibike kwa watu wao wa chini. PM, Waziri, RC, DC sijui mkurugenzi wote uteuzi wa Rais direct basi hawana tofauti ila labda position na ukubwa tu wa majukumu ila direct boss mmoja aliyekuweka wewe kaniweka mimi.....
 
yupo hai kudhohofisha matajiri
hisia mbaya tuuu
wanaamin matajiri wa hai wanadhamin upinzani
anachokifanya kinapewa baraka zote na jiwe
atapanda na cheo soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa linategemea kafanya nani na dhidi ya nani!Nchi hii imefikia hapo!
Absolutely true

Ndipo tulipofika hapo kama nchi.......

Hilo jambo ni la hatari sana, kwa nchi moja kuwa na kundi moja linaloweza kuwaonea watu wengine kadri linavyotaka na sheria ziwe "likizo" na kundi lingine, ndiyo kila kukicha lipo mahakamani kwa kesi za kubambikiwa!

Kwa kuwa kwenye sheria tunafundishwa principle moja muhimu sana kuwa sheria haina MACHO, kwa hiyo haiangalii ni nani amefanya kosa hilo
 
DC Sabaya ni miungoni mwa viongozi wenye sifa za kuongoza Awamu hii ya Tano. Hivyo si rahisi kutenguliwa.
Kuna tetesi mh Rais atakuwa Hai mwezi Feb 2020, ni nafasi nzuri ya kwa wananchi wa Hai , muweze kutumia nafasi hiyo kumueleza ukweli kuhusu DC sabaya, anabambkizia watu kesi, anakusanya fedha kwa wafanyabiashara kwa nguvu, anaomba fedha kwa nguvu kutoka kwa wafanyabiasha wakubwa,anatumia waandishi wa habari na vyombo vya habari vibaya, mwenge wa Uhuru ni mradi wake kwa mfano Kuna mfanyabiasha alimpatia TSH 52,000,000 ya fedha za mwenge mwaka 2019 hakumpatia hata risiti Wala barua ya Asante kwa mchango alioutoa, sabaya ni mlevi mkubwa,anaiba wake za watu, sabaya ni kiongozi ambaye hujui protocol na maadili ya uongozi, ni DC anayefanya kazi Hai na anaishi Arusha kila siku, na akikuomba fedha ukamnyia anakuundia kesi .haya yote yaelezwe hadharani.
Mwisho OCD wa wilaya ya Hai anatakiwa aondolewe mara moja ,yeye na sabaya ni wahujumu uzalendo pamoja na DC sabaya, na wanashirikiana kwenye maovu yote kila siku.wilaya ya hai inaendeshwa na DC sabaya na OCD, mkurugenzi wa halmashauri ya hai hasikiki,hajulikani Wala Hana sauti popote pale
 
yupo hai kudhohofisha matajiri
hisia mbaya tuuu
wanaamin matajiri wa hai wanadhamin upinzani
anachokifanya kinapewa baraka zote na jiwe
atapanda na cheo soon

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana tunasema kuwa Jiwe hatufai, kwa kuwa unapokuwa mkuu wa nchi ni LAZIMA utende haki kwa wananchi wako wote bila kujali itikadi zao za kisiasa

From his voice "Maendeleo hayana chama"
 
Sabaya ndio anayemwaribia rais na kuleta hofu ambayo haipo kwa kutaka sifa ambazo hana. IQ NDOGO,like nyumbu
 
Tunao kina Kabendera ambao wamefunguliwa kesi za kubambika za kuhujumu uchumi, huku wakiendelea kusota mahabusu.........

Ambapo sasa ni zaidi ya miezi 6 kesi hiyo inaendelea tu kuahirishwa huku Polisi hao walioipeleka "chap chap" kesi hiyo mahakamani, wakidai kuwa uchunguzi wa kesi hiyo bado haujakamilika!

Hivi unawezaje kumpekeka mtuhumiwa "chap chap" mahakamani hapo wakati ukijua kuwa upelelezi bado haujakamilika?
Hili swali linamuhusu Pascal,maana yeye ndio aliyemchoma kabendera
 
Wateule wa rais, hawafanani, kuna ambao hata wakikoseshwa wanatumbuliwa na wengine hata wakosee vipi wataendelea.

P
Kama huyu alifoji kitu hii na bado yupo.
images (2).jpeg
 
Back
Top Bottom