DC Sabaya ni miungoni mwa viongozi wenye sifa za kuongoza Awamu hii ya Tano. Hivyo si rahisi kutenguliwa."immunity"
Sabaya hawezi kuchukuliwa hatua kwa kua anayoyafanya ndiyo aliyotumwa kufanya na wakubwa wake , I mean anayoyafanya ndio mabosi wake wanataka afanye huko HAI .
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Impunity=Immunity?Hiyo hali inaleta visasi vikubwa sana nchini.......
Kwa kuwa inaleta picha kuwa kuna kikundi Fulani hapa nchini kina "impunity" wakati kundi jingine ndilo linaloonewa kwa kubambikiwa kesi na kusoteshwa rumande kwa kipindi cha muda mrefu
Mkuu Bana likasi ndiyo sababu tunamwambia Magufuli kuwa sheria haiaangalii sura ya mtu, ni kama msumeno unakata huku na kule........Sabaya,muro,bashite,happy,chalamila,gambo,mnyeti wanna kinga ya utumbuzi hata waboronge vipi
Point muhimu sana hii.Kosa linategemea kafanya nani na dhidi ya nani!Nchi hii imefikia hapo!
Absolutely trueKosa linategemea kafanya nani na dhidi ya nani!Nchi hii imefikia hapo!
Kuna tetesi mh Rais atakuwa Hai mwezi Feb 2020, ni nafasi nzuri ya kwa wananchi wa Hai , muweze kutumia nafasi hiyo kumueleza ukweli kuhusu DC sabaya, anabambkizia watu kesi, anakusanya fedha kwa wafanyabiashara kwa nguvu, anaomba fedha kwa nguvu kutoka kwa wafanyabiasha wakubwa,anatumia waandishi wa habari na vyombo vya habari vibaya, mwenge wa Uhuru ni mradi wake kwa mfano Kuna mfanyabiasha alimpatia TSH 52,000,000 ya fedha za mwenge mwaka 2019 hakumpatia hata risiti Wala barua ya Asante kwa mchango alioutoa, sabaya ni mlevi mkubwa,anaiba wake za watu, sabaya ni kiongozi ambaye hujui protocol na maadili ya uongozi, ni DC anayefanya kazi Hai na anaishi Arusha kila siku, na akikuomba fedha ukamnyia anakuundia kesi .haya yote yaelezwe hadharani.DC Sabaya ni miungoni mwa viongozi wenye sifa za kuongoza Awamu hii ya Tano. Hivyo si rahisi kutenguliwa.
Ndiyo maana tunasema kuwa Jiwe hatufai, kwa kuwa unapokuwa mkuu wa nchi ni LAZIMA utende haki kwa wananchi wako wote bila kujali itikadi zao za kisiasayupo hai kudhohofisha matajiri
hisia mbaya tuuu
wanaamin matajiri wa hai wanadhamin upinzani
anachokifanya kinapewa baraka zote na jiwe
atapanda na cheo soon
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili swali linamuhusu Pascal,maana yeye ndio aliyemchoma kabenderaTunao kina Kabendera ambao wamefunguliwa kesi za kubambika za kuhujumu uchumi, huku wakiendelea kusota mahabusu.........
Ambapo sasa ni zaidi ya miezi 6 kesi hiyo inaendelea tu kuahirishwa huku Polisi hao walioipeleka "chap chap" kesi hiyo mahakamani, wakidai kuwa uchunguzi wa kesi hiyo bado haujakamilika!
Hivi unawezaje kumpekeka mtuhumiwa "chap chap" mahakamani hapo wakati ukijua kuwa upelelezi bado haujakamilika?
Kama huyu alifoji kitu hii na bado yupo.Wateule wa rais, hawafanani, kuna ambao hata wakikoseshwa wanatumbuliwa na wengine hata wakosee vipi wataendelea.
PWateule wa Rais: Je, wanafanana? Kuna wengine kama wameokotwa tu, na wengine ni wapakwa mafuta Msijilinganishe
Wanabodi, Declaration of Interest. Paskali ni raia mwema wa nchi hii, na kila raia mwema wa nchi yake, atahitaji kuona sheria, taratibu na kanuni zikifuatwa ikiwemo ulipwaji kodi ambazo ndizo fedha za kuendesha serikali, hivyo hili sio bandiko la kuchochea ukwepaji kodi!. Tena mimi nimejibanisha...www.jamiiforums.com
Nilishangaa sana aise mkuu mtu kama lim alivyo smat leo hii akafanye ujinga huoKumbukeni mteule wa bodi ya VETA hapa majuzi alikuwa na tuhuma nzito za uhujumu na utakatishaji fedha lakini kesi iliondolewa mahakamani kwa amri ya DPP.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu DC hafai kuwepo kwenye nafasi hiyo, kama Rais ataweka pamba masikioni na kutotaka kusikiliza kilio hicho, basi asubiri kile kishindo kikuu........Nilishangaa sana aise mkuu mtu kama lim alivyo smat leo hii akafanye ujinga huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba mwenye CV ya sabaya atuwekee hapa.watanzania tunahamu ya kuijua ,kuisoma na kuitafakari.je DC sabaya amefanyiwa vetting?Kama huyu alifoji kitu hii na bado yupo.
View attachment 1333780
Na sabaya atakuwa na maadui wengi sana maana wale watu ni watu wameajiri vijana wengi sana kutokana na hizo biashara zaoHuyu DC hafai kuwepo kwenye nafasi hiyo, kama Rais ataweka pamba masikioni na kutotaka kusikiliza kilio hicho, basi asubiri kile kishindo kikuu........