Ni kwanini DC Sabaya hajawajibishwa baada ya kubainika kuwa tuhuma alizotoa kwa wamiliki wa mabasi kuhujumu miundo mbinu ya reli ni za uongo?

Inaelekea CP Hamduni anafahamu unyama mwingi sana wa huyu mwanaharamu maana alikuwa RPC wa Kilimanjaro.

Dogo amekwisha maana mbuzi kafia kwa muuza supu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…