round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Nahisi sikuhizi wadau wa haya mambo hawaingii kwenye zile sites zao, wananyooka moja kwa moja twitter
MADHARA YAKE
Porn inamaliza pesa, ni sembe ya kidijitali, mtu yupo radhi ale maandazi usiku ili anunue kifurushi cha elfu mbili
Porn inachochea kujichua
ukiwa mraibu wa kujichua kwa muda mrefu inaleta usahaulifu (akili inakuwa na mawingu)
Kujichua kunalegeza misuli na kuuingiza uume ndani hupunguza maumbile na ni sababu kubwa ya kupoteza nguvu za kiume