Mechi za team zote mbili ziliahirishwa isipokuwa simba wenyewe baade ndo waliomba wacheze mechi yao na pamba kama ilivyokuwa kwenye ratiba ya awali.Nimejiuliza sana sijapata jibu. Kama ni kwaajili ya mechi za Caf mbona wote wanacheza wiki hiyohiyo??
Anyway, inawezekana ni Yanga iliyoomba , na Simba ikaona yenyewe icheze tu.
Na katika hili hakika Simba inaonekana haina pressure na mashindano ya Caf tofauti na Yanga.
Pia Yanga mkifungwa game ya Caf siku ya jumanne MTAKUWA HAMNA KISINGIZIO CHA UCHOVU. PIA MSIJE KUWEKA KISINGIZIO CHA KOCHA MPYA, TUNACHOJUA SISI NI KWAMBA WACHEZAJI WOTE SIO WAPYA
nadhani ni kwasababu ya jukumu zito na kubwa zaidi ya wengine la kimataifa 🐒Nimejiuliza sana sijapata jibu. Kama ni kwaajili ya mechi za Caf mbona wote wanacheza wiki hiyohiyo??
Anyway, inawezekana ni Yanga iliyoomba , na Simba ikaona yenyewe icheze tu.
Na katika hili hakika Simba inaonekana haina pressure na mashindano ya Caf tofauti na Yanga.
Pia Yanga mkifungwa game ya Caf siku ya jumanne MTAKUWA HAMNA KISINGIZIO CHA UCHOVU. PIA MSIJE KUWEKA KISINGIZIO CHA KOCHA MPYA, TUNACHOJUA SISI NI KWAMBA WACHEZAJI WOTE SIO WAPYA
Mimi ni shabiki lialia wa Simba, huu ushabiki umevuka kiwango. Kutuhumu wachezaji wa timu pinzani eti wanatumia dawa za kusisimua misuli sio sahihi. Na kama ni kweli, basi tatizo lipo TFF na CAF! Tuache ushabiki wa kishamba!Dose Za sindano za kusisimua misuli wachezaji inabdi wachome week moja kabla ya game masharti yake inabdi kusiwepo na game yoyote hapo katikatiView attachment 3159298
Yanga inashiriki kombe kubwa la CCL simba anashiriki kombe dogo la wamama ndio maana inabidi ajiandae kikubwa. PeriodNimejiuliza sana sijapata jibu. Kama ni kwaajili ya mechi za Caf mbona wote wanacheza wiki hiyohiyo??
Anyway, inawezekana ni Yanga iliyoomba , na Simba ikaona yenyewe icheze tu.
Na katika hili hakika Simba inaonekana haina pressure na mashindano ya Caf tofauti na Yanga.
Pia Yanga mkifungwa game ya Caf siku ya jumanne MTAKUWA HAMNA KISINGIZIO CHA UCHOVU. PIA MSIJE KUWEKA KISINGIZIO CHA KOCHA MPYA, TUNACHOJUA SISI NI KWAMBA WACHEZAJI WOTE SIO WAPYA
Mechi zote ziliahirishwa, Simba wakaomba mechi yao ichezwe baada ya kufanya analysis na kuona faida zaidi wakiicheza kuliko kuiacha. Mimi Yanga kindakindaki hapa nawapongeza Koloz kwa walichokifanya.Nimejiuliza sana sijapata jibu. Kama ni kwaajili ya mechi za Caf mbona wote wanacheza wiki hiyohiyo??
Anyway, inawezekana ni Yanga iliyoomba , na Simba ikaona yenyewe icheze tu.
Na katika hili hakika Simba inaonekana haina pressure na mashindano ya Caf tofauti na Yanga.
Pia Yanga mkifungwa game ya Caf siku ya jumanne MTAKUWA HAMNA KISINGIZIO CHA UCHOVU. PIA MSIJE KUWEKA KISINGIZIO CHA KOCHA MPYA, TUNACHOJUA SISI NI KWAMBA WACHEZAJI WOTE SIO WAPYA
Sasa wewe bravos nayo ni timu ya kufanya uairishe mechi? Pamba ni Bora kuliko ata hao bravos unailinganisha na mechi za wanaume?Nimejiuliza sana sijapata jibu. Kama ni kwaajili ya mechi za Caf mbona wote wanacheza wiki hiyohiyo??