Nimejiuliza sana sijapata jibu. Kama ni kwaajili ya mechi za Caf mbona wote wanacheza wiki hiyohiyo??
Anyway, inawezekana ni Yanga iliyoomba , na Simba ikaona yenyewe icheze tu.
Na katika hili hakika Simba inaonekana haina pressure na mashindano ya Caf tofauti na Yanga.
Pia Yanga mkifungwa game ya Caf siku ya jumanne MTAKUWA HAMNA KISINGIZIO CHA UCHOVU. PIA MSIJE KUWEKA KISINGIZIO CHA KOCHA MPYA, TUNACHOJUA SISI NI KWAMBA WACHEZAJI WOTE SIO WAPYA