Ni kwanini hatumuelewi Mzee Magoma?

Ni kwanini hatumuelewi Mzee Magoma?

Je Engineer Hersi alichaguliwa na nani na anawakilisha upande upi ? Wa GSM au Wanachama

Je mafanikio inayopitia yanga ndio yanatupumbaza...
Vijana tujitume sana wakati umri bado una ruhusu unacho kipata kitunze kitakufaa uzeeni hii ni njaa inasumbua huyu Mzee
 
Kibongo bongo hatupendi kuongozwa na mifumo.
Sisi tuna enjoy kuongozwa na individuals ambao muda wowote, lolote linaweza kuwakuta. Tukipata leo inatosha, kesho itajisumbukia
Hata katiba ikibadilshwa haituhusu magoma anatumia katiba ya 2010 kama sikosei, yanga fc wanatumia katiba mpya zaidi kuliko ya 2010, (new version)
 
Je Engineer Hersi alichaguliwa na nani na anawakilisha upande upi ? Wa GSM au Wanachama

Je mafanikio inayopitia yanga ndio yanatupumbaza ?

Je Pesa za usajili za GSM ndizo zinafanya tusimuelewe mzee magoma?

Kama huna pesa kweny family,,
Halafu unajaribu kuchangia mawazo yako kwenye kikao cha family unaonekana unataka kuleta vurugu kwenye kikao
🤣🤣🤣..
 
Je Engineer Hersi alichaguliwa na nani na anawakilisha upande upi ? Wa GSM au Wanachama

Je mafanikio inayopitia yanga ndio yanatupumbaza ?

Je Pesa za usajili za GSM ndizo zinafanya tusimuelewe mzee magoma?

Yule Mzee ana hoja za msingi sana. Siku likiwakuta yanga watamkumbuka. Leo hii likitokea la KUTOKEA Hersi atalinda maslahi ya GSM na sio ya club...ndo hivyo wabongo wengi vichwa maji na hawawapendi watu wenye maono na akili.
Na hii ipo Kila mahala na ndo MAANA tuko hapa tulipo.
Magoma alindwe na ajilinde asije akapotea...anagusa maslahi ya marenga
 
Inawezekana Magoma ana point ila anatumia tumbo lake kuongea. Magoma hataki haki ya Yanga, Magoma anataka share ya asali toka Yanga.

Ikitokea leo akapewa hata kitengo cha ulozi pale Yanga na kutengewa budget yake, gari na kijumba kizuri hutosikia tena akibwabwaja.

Hii ni vita ya kimaslahi kwa Bw. Magoma. Kapiga mishe ujanani ila hazikutiki sasa anatafuta pakulalia salama uzeeni.
Ameamua kuwa nzi kwenye kidonda mpaka asikilizwe.
 
timu zetu bado sana kwenye kujiendesha, tunahitaji matajiri ili watuletee wachezaji wakubwa na wawalipe wao

Raha ya shabiki si timu inaingiza shillingi ngapa bali inaingiza magoli mangapi

Kipindi cha Wenger pale Arsenal ilikuwa ni timu inayoingiza faida sana kuliko Man Utd, Chelsea n.k.
Lakini kwa upande wa vikombe walikuwa wanazidiwa na hawa wapinzani wao

Je, ni mashabiki gani walikuwa na furaha zaidi?
 
Mimi mshabiki wa yanga ila nachofurahia ni burudani ya yanga hayo mengine hayanisaidii..ninachoona Eng anafanya vema..na ktk hilo gharama ni kubwa..mzee magoma anaweza kuwa na hoja lakin kwangu mm binafsi timu ifanye vema , Rais alichaguliwa na mkutano wa wanayanga kwa katiba gani wanajua hukohuko ..wakija kuharibiana ili yanga ianze mabakuli watajua wenyewe ..sitaki kuingia ktk mfumo wa kujitesa sabb ya club.
 
Huyu mzee ovyo sana avuliwe uanachama na mkutano mkuu wa wanachama kwa kuleta sintofahamu. Siku zote alikuwa wapi wakati Yanga ikitembeza bakuli na kufungwa na Simba.

Hawa wazee hawaendi na wakati si ajabu bado anaamini Rais bado ni Nyerere!!

Njaa kali inamsumbua tu atafute chaka jingine sio Yanga! Kwani mapori si yamejaa akalime mpunga huko Moro.

Hawa ndo virusi na mamluki wa kolowizard lazima atolewe klabuni haraka, kuendelea kumchekea itaharibu soka letu na akili zake za kwenda mahakamani zinaweza kusababisha nchi nzima kufungiwa na FIFA kushiriki michuano ya kimataifa.
 
Yule Mzee ana hoja za msingi sana. Siku likiwakuta yanga watamkumbuka. Leo hii likitokea la KUTOKEA Hersi atalinda maslahi ya GSM na sio ya club...ndo hivyo wabongo wengi vichwa maji na hawawapendi watu wenye maono na akili.
Na hii ipo Kila mahala na ndo MAANA tuko hapa tulipo.
Magoma alindwe na ajilinde asije akapotea...anagusa maslahi ya marenga
Kuna kitu Yanga wanahitaji zaidi ya mafanikio? Kama wanatapata wahangaike kutafta nini? Hizo juhudi angewekeza kwenye familia yake hata kama ni kweli yupo sahihi wenzake wamekubaliana yeye ni nani mmoja abadili mawazo ya wengi? Mfano Mzee Kilomoni alikua sahihi lakini sauti ya wengi ilimshinda akatulia, umri huo angekua busy na wajukuu apumzishe mwili hizo pirika za mahakamani anachosha mwili wake kwa vitu visivyo na faida kwakwe na kizazi chake
 
Yule Mzee ana hoja za msingi sana. Siku likiwakuta yanga watamkumbuka. Leo hii likitokea la KUTOKEA Hersi atalinda maslahi ya GSM na sio ya club...ndo hivyo wabongo wengi vichwa maji na hawawapendi watu wenye maono na akili.
Na hii ipo Kila mahala na ndo MAANA tuko hapa tulipo.
Magoma alindwe na ajilinde asije akapotea...anagusa maslahi ya marenga
Mbona mzee Kilomoni aliyekuwa analinda maslahi ya Simba mlimuona takataka? Ukiona jambo la Yanga, Simba wanalisapoti ujue lina manufaa kwao Simba na ukiona jambo la Simba, Yanga wanalisapoti ujue lina manufaa kwao Yanga. Hivi vilabu vuwili hakuna anayefurahia kufanikiwa kwa mwenzie.

Ni kweli Hersi anapigania maslahi ya GSM, ila Yanga ipo hapa sababu ya GSM na mashabiki na wanachama wameridhika kwasababu wanaamini katika mchakato uliopo chini ya GSM.

Hatua ya kwanza ilikuwa namna ya uendeshaji wa klabu hilo limefanyika kwa msaada wa La Liga.
Hatua ya pili ni uadaji wa katiba hilo tayari na imepitishwa na hiyo katiba ndiyo inayotoa kibali kuwe na raisi, na raisi alichaguliwa kupitia mkutano mkuu wa wanachama.
Hatua inayofuata ni kuisajili Yanga kuwa kampuni na kuithaminisha Yanga ili kupata wawekezaji wasiopungua watatu.

Wakati mchakato wa transformation unaendelea kufanyika, GSM wanaendelea kuisimamia klabu ila mimi kama shabiki sioni jambo baya mpaka sasa hata kama GSM na Hersi wakiwa wanapata maslahi. Sababu ya kusema hivyo ni
1) Yanga wameipandisha thamani Africa hata ikitokea wawekezaji wakaja, wanakuja kuikuta Yanga ikiwa ni brand kubwa Africa. Saivi ukienda Africa kusini wanaijua Yanga na wanaizungumzia Yanga, ukienda Congo hivyo hivyo tofauti na zamani.

2) Kufanya vizuri katika mashindano ya CAF hakuna shabiki wa Yanga na mwanachama asiyependa, hakuna shabiki anayetegemea apate mgawo wa pesa kupitia timu bali ni mataji na kufanya vizuri kwenye mashindano mbalimbali ikiwemo ya kimataifa.

3) Tunaona wachezaji wenye viwango na ubora pamoja na benchi la ufundi lenye ubora. Hata kama mtu anaiba ila anazingatia kufanya kitu kwa usahihi kwa zaidi ya asilimia 75 sio mbaya kwasababu tuona pesa inatumika kufanya mambo mazuri na makubwa na matokeo yake tunayaona viwanjani.
 
Fact
 
Yule mzee hana lolote njaa tu inamsumbua
Wale ndio waliokuwa wanaitafuna Yanga miaka nenda rudi Kwa Sasa anatamani sana Yanga ivurugike Ili ziundwe zile kamati zao za fundi wapate kupiga pesa

Mambo ya kamati za ufundi katika vilabu vyetu zimeshapitwa na wakati atafute kazi nyingine ya kufanya
 
Back
Top Bottom